Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Gwajima anajitoshereza ahitaji kutegemezwa ,safi sana Gwajima.
 
Gwajima kuwepo bungeni inakwenda kuonesha rangi yake halisi kuwa wala yeye sio mtumishi wa Mungu na nadhani hata wale misukule wake wanaomuabudu safari hii watafanya maamuzi sahihi
 
Mmekuja kumfichia aibu kwa kuropoka kwake, poleni sana.
 
Hakika mwaka huu tujiandae na sredi za Gwajima...na hii ndio ya kwanza
 
inategemea wewe unaemuta mwenzio smart upoje kichwani. anaweza akawa smart kwako lakini akawa mbumbu kwa mwengine.
 
..naona Askofu Gwajima kamchongea Nape Nnauye kukejeli hotuba/mawazo ya Raisi.🤣

 
Anaongea kiswahili kichafu kwa kuchanganya na maneno ya kiingereza ili aonekane msomi. Nimecheka kwa nguvu baada ya kusikia huo utoto wake wenye mtiririko wa kiswanglish.
 
Ukitaka mbwa asibweke mpe mnofu...
 
Ni aibu kwa mtoa mada kumsifia "Mbunge" Gwajima kwa vijimaneno vya KIUWENDAWAZIMU. Gwajima anayedai ni Askofu kwa wale MISUKULE wake wa Tanganyika Packers ni zao la UVUNJAJI KATIBA lililofanywa na Jiwe.

Hakuna wana Kawe waliyemchagua Gwajima kiukweli. Bali ni huo mchezo wa TISS na NEC ya Mahera
 
Watu wa kawe tumepigwa[emoji16][emoji16]hakuna mbunge pale kuna ujinga ujinga tu
Mkuu acha wivu ukaugua presha na magonjwa ya moyo bure. Alafu wew sijui kama uko kawe. Kawe tupata jembe Gwajimakawempya
 
Mimi Nina akili timamu ndo mana nimeona kuwa hajaongea chochote bali ni upuuzi tu. Wewe uliyeyeyusha ubongo wako ndo inabidi ujitafakari. Sio kuleta upuuzi wako humu kwa watu wasomi na wenye exposure zetu.
Watu wa Lumumba achana nao ,huyo jamaa dish limeyumba
 
Ni upuuzi mtupu.
 
Huyu huyu anayewatukana makadinali na kutaka kugeuza misikiti kuwa Sunday School ndio mwenye akili?
Acha udini mkuu mbona hayo alisema akiwa kanisa kwake, saizi ni mbunge amesema wapi? Acha udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…