Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

Mtu anayependa kusifiwa kiasi hiki ni mgonjwa wa akili. Hakuna mtu timamu anayeweza kufurahia kusifiwa hata vitu visivyo na maana. Na wazee wa ukoo wameshajua Mwenyekiti wetu wa ukoo anapenda sana sifa, kwa hiyo wanamjaza tu nae anaingia kingi kirahisi kabisa. Ukitaka jambo lako lifanikiwe we mjaze tu. Mwambie mnatamani awe Mwenyekiti wa ukoo milele.

Tena mwambie wenyeviti wa ukoo waliopita hakuna kitu walifanya, na hamjui mwenyekiti atakayekuja baada yake kama ataweza kuvaa viatu vyake. Yani mnatamani akifa aende na ukoo wote ahera akaongoze pamoja na malaika. Ukifanya hivyo umeula. Utakua umejihakikishia kuwepo kwenye baraza la wazee wa ukoo kwa muda wote wa uenyekiti wake.!

By Malisa GJ
 
Nasikia katuita Mbwa, sasa tutabweka hadi chumbani kwake, ndio ataelewa
Upo wakati Baba wa Taifa wakati amestaafu na tunajiandaa na uchaguzi mkuu wa vyama vingi vya siasa ilikuwa mwaka 1995 nadhani mwezi Mei au Juni mwaka huo Nyerere alisema kwenye press conference kuwa " I can't leave my country to the dogs"...wale wasioujua misemo ya kiingereza na kwa bahati mbaya wakiwemo baadhi ya waandishi wa habari wachache wakaanza kutafsiri kuwa kuwa Nyerere amewaita wapinzani mbwa....dah...aisee..ilikuwa ni aibu kubwa kwa fani ya uandishi wa habari..
 
Rudi shule kwanza ujue kuandika usituletee usukuma wako hapa
 
Waumini wenye akili sitegemei kuwaona kwenye ule mkanisa wake
 
Mapopoma yanayomsifia huyu tapeli yote ni "member". Ajira mpya ya kumsifu msanii aliyeshindwa kujenga Kanisa la kusalia waumini wake kwa miaka yote.
 
Ni zaidi ya mbunge. Ni nadra sana kupata mtu design hii kwa siku zetu za leo.

He is incredibly brilliant!

he is wise, ingekua yule mdada kwanza sauti ingekua haiskiki vizuri na ingesababisha speaker nyingi za tv kuharibika, nadhana wangesema bunge live hakuna tena
 
Kwa michango mingi inayotolewa na wachangiaji, nimthibitisha pasipo shaka JF imevamiwa na viwavi kwa jina la upinzani!.....
Hii laana ya imuendee Mbowe na wenzake kwa kuzalisha kundi la vijana ambao hawawezi kutafakari jambo...sio lazima ukubali alichoandika mtoa mada, unaweza kupinga lakini kwa hoja! Mtu anaandika eti.."haramu haiwezi kuwa halali" amemaliza! Huyu anaweza kumshawishi mtu kuhusu bidhaa yake anayouza au hata kumshawishi ajiunge na chama chake kweli?
 
Mmesahau gwajima Ni askofu na Ni muhubir kwahyo ana ozoefu wa kutosha wa kuongea mbele ya kadamnasi na hata kufundsha pia..
Big up Sana kwake.
2025,.mzee wa upako tutamuhitaj pia
 
Hakushinda kura za Kawe!
 

😂😂😂
 
Huyu ndo ataleta hoja binafsi ya kumuongezea Magufuli muda mpaka 2045.
 
Kuna msemo unasema Kwenye nchi yenye vipofu mwenye chongo ndio mfalme! tafakari hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…