Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Smart sana wa kutukana watu na dini za wenzake mbwa huyu tapeliGwajima ni smart Sana alafu amezoea bunge Kama amekaa miaka 10 kumbe ndio Mara ya kwanza keep going Gwajima
Upo wakati Baba wa Taifa wakati amestaafu na tunajiandaa na uchaguzi mkuu wa vyama vingi vya siasa ilikuwa mwaka 1995 nadhani mwezi Mei au Juni mwaka huo Nyerere alisema kwenye press conference kuwa " I can't leave my country to the dogs"...wale wasioujua misemo ya kiingereza na kwa bahati mbaya wakiwemo baadhi ya waandishi wa habari wachache wakaanza kutafsiri kuwa kuwa Nyerere amewaita wapinzani mbwa....dah...aisee..ilikuwa ni aibu kubwa kwa fani ya uandishi wa habari..Nasikia katuita Mbwa, sasa tutabweka hadi chumbani kwake, ndio ataelewa
Rudi shule kwanza ujue kuandika usituletee usukuma wako hapaZungumzia usmart wake kwa kina sio smart tu ,maana kila binadam smart katika nyanja inayomhusu mfano Gwargima amekua mtu wa mahubiri so uwezo wa wakusimama sehem yoyote na kuongoea ni rahisi but wapo watu smart ila uwezo wakuongea kwa kandamnasi kwao ni shida so uwezo Gwajima ni hupi?
Kunukuhuu maneno ya watu walioumiza kichwa na kuyataja kwa manzingira husika na sehem husika na kwa kipindi husika,tena yenye ukakasi ( mbwa wanaobweka ) ndo uwezo unaosema au ,
Mkuu kila Jambo na wakati wake na kila neno Lina wakati wake hata Kama wanukuhu kwa mfano huu
Leo ukutanapo na dactari atakupa dawa meza Mara nne kwa ugonjwa husika na ukikutanae nae tena atakwambia meza dawa hiyo hiyo kwa Mara moja,japo yatibu magonjwa yote kwa Mara moja ,
Gwajima kapotoka ,asema Mbatizaji wa 4 7 japo alisha futwa siku nyingi
Watu wa kawe tumepigwa[emoji16][emoji16]hakuna mbunge pale kuna ujinga ujinga tu
Wafuasi wake haoNimeamini ukiwa na pesa na madaraka, watu watakuita Mungu.
Waumini wenye akili sitegemei kuwaona kwenye ule mkanisa wakeSalamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma.
Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa niaba ya wabunge wenzangu. Ninajua kwamba leo kuna mabunge mawili humu ndani; upo wewe Mheshimiwa Spika lakini pia yupo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa sababu hiyo nimezingatia protokali.
Lakini tu niseme kwamba hotuba ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa overwhelming wazungu wanasema. Ni hotuba ambayo akili ya kawaida ya binadamu haiwezi kubeba unless umepata ufunuo kutoka kwa Mungu wa mbinguni. Na kwa sababu hiyo inanipelekea kutoa shukrani kwako wewe Mheshimiwa Spika kwanza, kwa jinsi ulivyochaguliwa kwa kura nyingi na bunge hili kuwa Spika wa bunge la 12; pokea hongera za waheshimiwa wabunge. Lakini pia nimshukuru Mheshimiwa Rais kwa namna alivyochaguliwa kwa kimbunga cha kura nyingi na akaidhihirishia Tanzania na dunia kwamba muelekeo wake ni muelekeo salama.
Pia, nimpongeze sana kaka yangu, ndugu yangu, Mheshimiwa Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi kwa jinsi alivyowageuza wapinzani wake miguu chini kichwa juu kule Zanzibar na akatudhihirishia kwamba yeye ni nguli, ni jabali na hakika ni Daktari, si tu wa watu lakini ni daktari wa siasa pia. Asante sana Mheshimiwa Mwinyi.
Na kwasababu hiyo niseme maneno machache ambayo waziri mkuu wa zamani wa uingereza, Sir Winston Churchill aliwahi kusema, “If you have a destiny and you stop everywhere throwing stones to the dogs that are barking at you, you won’t arrive to your destiny.” Maana yake ni hii kwa wagogo labda hawatanielewa nifafanue, “Ukiwa unasafiri halafu ukawa unasimama kila mahali kumtupia mawe kila mbwa anayebweka, hutafika safari yako.” Mheshimiwa Rais waache mbwa wabweke, tuendelee na safari yetu ya kutimiza ilani ya kurasa mia 303. Waziri mkuu Winston Churchill alisema, “Let them bark for their own enjoyment but keep your course.” Maana yake ni kwamba, “Waache wabweke kwa raha zao lakini wewe kaza mwendo.”
Lakini pia kwa projection hii ya hotuba yako Mheshimiwa Rais ni muhimu niseme na nikiri wazi kwamba, hakuna beberu atakayekupenda kwa projection hii uliyoipanga kwa ajili ya nchi yetu. You have just made a blueprint kwa ajili ya nchi yetu na ni kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu kuweza kujitegemea kufinance uchaguzi wake na kuzuia fedha inayotoka nje inayotupa masharti ya mambo ya kufuata kinyume na tamaduni zetu za kiafrika. Mheshimiwa Rais is a blueprint not only for Africa but for the whole world as well. Umefanya jambo ambalo dunia yote imestaajabu na mabeberu wote umewaacha mdomo wazi. Asante sana Mheshimiwa Rais.
Umeongea mambo ya ajabu katika hotuba yako. Wakati unazungumza uliposema kwamba maduka yafunguliwe na dawa za kienyeji zianze kuuzwa, Mheshimiwa Nape hapo akawa ananikonyeza ananiambia inawezekana na nyungo za kuruka za wachawi zitaanza kuuzwa, nikamwambia hapana. Mheshimiwa Rais, nikwambie wewe ni muafrika na umetufanya sisi waafrika dunia yote tusione aibu kusema Rais wetu ni John Pombe Magufuli.
Wakati Mheshimiwa Spika anawakaribisha wageni jana hapa; alipowakaribisha wageni wa Mheshimiwa Mpina, akasema kwamba, ninajua wasukuma ni washamba kwa hiyo angalieni msigongwe na magari lakini sasa Mheshimiwa Spika, nikakumbuka ule usemi wa mwalimu mwaka 1978, alipokuwa anasisitiza watu wapanue mashamba, alipofika hapa Dodoma akawaambia wagogo panueni mashamba, wakashindwa kumuelewa na badala ya kupanua mashamba wakapanua masikio. Jamani Mheshimiwa Spika ni mtani wangu kwa hiyo msiwe na shaka, msiogope.
Kwa hiyo ninataka niseme kwa dhati, sisi wabunge tulioingia bungeni kwa mara ya kwanza, pamoja na wabunge wengine ambao wamekuwepo hapa bungeni kwa muda mrefu, tunachukua nafasi hii kukushukuru Mheshimiwa Rais. Performance yako ya miaka mitano iliyopita imetubeba wabunge wote kwenye majimbo yetu na bila shaka tumepata kura kupitia wewe. You have just become a beacon for our victory; you became a reference for our victory. Ulikuwa ndio tofali la ushindi wetu.
Kuna sehemu zingine Mheshimiwa Rais hatukuhitaji kupiga kampeni, tulihitaji kutaja jina lako tu na kura zikapatikana, asante sana Mheshimiwa Rais. Pia, kwa niaba ya wabunge wenzangu kwa sababu nimepewa nafasi ya kutoa shukrani; nikushukuru sana Mheshimiwa Rais, nishukuru pia halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi kwa namna ilivyochagua wabunge wote majabali! Mheshimiwa Rais, wabunge wako wote ni majabali na hakuna mbunge mnyonge hata mmoja hapa. Kwa namna hiyo umejipa urahisi sana wa kutengeneza serikali yako, hauhitaji vetting kubwa sana, chukua yote Mheshimiwa Rais utafanya vizuri. Umewapeleka likizo isiyo na malipo watu wa vetting kwa sababu kutoka kaskazini mpaka kusini mashariki mpaka huko, wabunge wote wanafaa kwa ajili ya kuitumikia Serikali yako na kwenda na mwendo wako Mheshimiwa Rais.
Nimalizie kwa kusema, umetupa heshima kubwa sana hasa sisi wabunge ambao ni mara yetu ya kwanza kuingia katika bunge hili. Umetupa heshima kubwa sana na ushindi wako wa kimbunga, umeonyesha dhahiri kwamba kesho yako inang’aa kuliko jana yako na kwa namna hiyo nikushukuru sana na kusema maneno machache kwamba tufani imekoma katika nchi, sasa ni majira mapya! Asante sana Mheshimiwa Rais.
Ni zaidi ya mbunge. Ni nadra sana kupata mtu design hii kwa siku zetu za leo.
He is incredibly brilliant!
Hakushinda kura za Kawe!Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma.

Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma.