Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Gwajima usiseme baba msamehe samia
Kwamba yale ni manyunyu, mvua ya kimbunga bado!Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, Nitasema vitu utatoka moshi hutafungua macho
Watu watatoka hadharani uchi wakijiona wamevaa kumbe hamnaSasa itakuwaje?Maana yalianza masikio kuwa kiziwi.Sasa tukija kwenye macho tena haitaleta mtafaruku kweli?
Kuu la MakengeKama namuona View attachment 3352703
Mambo ya ufufuo na ya CCM ni vitu viwili tofauti. Kaongelea utekaji tu imekua nongwa. Labda sasa walifungie kabisa kabisa.Hana lolote huyu pimbi,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
Hiv unawajua vzr watu wa pwani ataongea atachokaVita hii ni ngumu Sana kwa mama Abdul atokaa alale Tena!!
😁😁😁Mtu umefeli form four, unawezaje kuongoza nchi?
Anafaa kufanywa nn 😎Toto Hilo lalegeza jicho vzr had raha mmmmmwaaaaaaa
Tafuta kazi ya kufanya mzeeSawa rudi jimboni kwako ukawaeleze ahadi ya kuwapeleka wananchi wako Birmingham kujifunza uvuvi unaitekeleza lini
Huyu jamaa anajiamni kitu gani?, ni swali nafikiria kila muda...
Shingo yako inakazi sana, kubeba useless fuvu!Hana lolote huyu pimbi,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
Sio muhimu kwa sasa.l!Sawa rudi jimboni kwako ukawaeleze ahadi ya kuwapeleka wananchi wako Birmingham kujifunza uvuvi unaitekeleza lini
Daddy muache samia wangu, baki na mimi unitafune mbunye yangu.Anafaa kufanywa nn 😎