PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii vita bado mbichi sana tena inavuja damu, japo Kuna upande utaweka mpira kwapani soon.
 
Hana lolote huyu, kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
JPM alituchagulia makamu wa hovyo haswa
 
Endeleeni kusifu na kuabudu hadi pale mtakapo anza kunyonywa mikundu ******* ni nyi.
Umejinasibu kuwa wewe ni msomi ,naomba tu unijibu kwa lugha uliyosemea kwa sentensi mbili tu.
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"



Kitu gani kinamshinda kueleza hivi sasa ?? Mbona anatia wasiwasi wa yeye kuwemo na hii yote ni Tamthilia tu

Hatujamsikia kusema chochote wakati wazanzibari kwa mamia wakitekwa na kuuawa na hicho chama chake cha CCM
 
Hana lolote huyu,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
wewe unahisi wanaoteka ni akina nani?
 
Hana lolote huyu ,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
We utakua ponjoro tu na semeni suuuu muone Gwajinism akiliamsha unatetea utekaji na uuaji unafaidika nini wewe?
 
Back
Top Bottom