PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

PreGE2025 Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi huwezi kufungua Macho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwashambwa njoo hukuu...muimba taarab kapigwa bit eti afunge bakuli au aaibishwe!!!.
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"

Huyo bwege Samia anamchekea atakuja kujuta, Rais anakwama wapi? Km hawezi kutumia madaraka yake aachane na urais. Wakati wa Magu angejaribu ht kukohoa? Inajulikana kabisa anamshambuliabRais, anamtishia Rais, hapambani na mtu mwingine ni Samia, kila anachosema anamlenga Rais, hiyo press itaachiwa tena ifanyike? Siamini itafika wakati nchi haitawaliki
 
Hana lolote huyu pimbi,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
Shida yenu hua ipo hapa. Imani ya mtu na hoja za watanzania, ambao ni ukweli mtupu ausemao Gwajiboy, vinaambatana kivip?

Mjibuni hoja zake. Mambo ya dini sijui kimeenda kufufua kimeshindwa ni uzwazwa.

Ni sawa na wale wavaa balaghasi, mtu akiambiwa ukweli, unasikia huyu mnamwambia kwa kua ni muslim.

Hoja ijibiwe kwa hoja au facts.
 
Si chadema mumsajili ili mmpate nguvu ?🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Nakuombea Gwagima ili usikutane uso kwa uso na wasiojulikana.
Mkuu hafanyi kwa bahati mbaya hiyo ni agenda.
Watu wanapaswa kuwa na macho tutazungumza habari za gwajima na habari za lisu zinazimwa.
Kumbuka bado ni mwanachama wa CCM na kasisitiza hilo.
Na hajafukuzwa na CCM.
 
Watanzania tuzidishe maombi kunakaribia kupambazuka.akina mwashambwa ndo watekaji.
 
0
Hana lolote huyu pimbi,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
Jibu hoja zake
 
Mkuu hafanyi kwa bahati mbaya hiyo ni agenda.
Watu wanapaswa kuwa na macho tutazungumza habari za gwajima na habari za lisu zinazimwa.
Kumbuka bado ni mwanachama wa CCM na kasisitiza hilo.
Na hajafukuzwa na CCM.
Nyumbu hawatakaa watoke kwenye USINGIZI wa pono,imagine hata yule Nyumbu mkubwa (LEMA) ,nae ameshaingilia kati issue za Ngwajima?🙆‍♂️☝️
 
Back
Top Bottom