KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
The jokes just write themselves .. bunge hili lina Hadhi 🤣🤣🤣 .WTF!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unakipi cha kumfanya ndugai weweMwambieni tu awafukuze Ubunge ndo ndo atajua kilichokunja mkia wa mbwa.
Yeye mwenyewe Kongwa alibebwa na JPM,leo kaanza mdomo ili tu kulinda kibarua chake.
Bunge la wizi ,hata mimi sion hadhi yake ...Kwani lini bunge lilikuwa na hadhi.
Inapotokea wameitwa km hv huwa wanapewa nauli na pesa ya kujikimu km wanavyofanyiwaga ktk vikao vya kawaida???Spika wa Bunge amewaita Mbunge Josephat Gwajima na Jerry Slaa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya bunge
Wanatakiwa kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya bunge
Gwajima ametakiwa afike Dodoma Agosti 23 saa saba mchana, Slaa ametakiwa afike Agosti 24 Saa saba mchana
View attachment 1901574
Mbunge wa Kawe (CCM), Josephat Gwajima pamoja na Mbunge wa Ukonga (CCM) Jelly Silaa wameitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Agosti 21, 2021 na Kitengo cha Mawasiliano Ofisi ya Bunge, imeeleza wabunge hao wameitwa mbele ya Kamati hiyo kwa agizo la Spika wa Bunge Job Ndugai.
“Wanatakiwa kufika mbele ya Kamati hiyo kwa mujibu wa kanuni ya 4 (1) (a) na (b) ya nyongeza ya nane ya Kanuni za Kudumu za Bunge, toleo la Juni 2020 ambayo inaipa mamlaka Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuchunguza mambo yanayohusu maadili ya wabunge yanayopelekwa na Spika” imesema taarifa hiyo.
Hata hivyo taarifa imeeleza kuwa, Mbunge Gwajima anatakiwa kufika kwenye Kamati hiyo siku ya Jumatatu Agosti 23, 2021 saa saba mchana na Mbunge Silaa anatakiwa kufika Jumanne Agosti 24 saa saba kamili mchana.
“Yeyote kati ya waliotajwa hatafika mbele ya Kamati kwa siku na muda uliotajwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yake kwa mujibu wa kifungu cha 17 na 34 (1) (a) cha sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge, Sura ya 296, Toleo la mwaka 2020” imesema taarifa hiyo
EwaaaKwani lini bunge lilikuwa na hadhi.
Kama nyie mnapigia kampen watu wachome...acha uf...aKwahiyo wewe umejigeuza mtetezi wa wapinga chanjo, na wasumbua wenye hiari ya chanjo sio, wao kukataa chanjo nu hiari yao ila sii kuwazuia wenye hiari au kuwapotosha wengine.
Alitishiwa kupotezwa, akawa mdogo kama piriton! Tangu siku alivyorudi akaenda Lumumba kukabidhi akili kwa Polepole yeye akabaki anatembea na kopo tu!Hii kamati ndio ndugu Pasco Mayalla aliwahi kuitwa nadhani, akabadilika sana toka aende huko