Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Umeshashiba Zako magimbi na uji Sasa unaanza kujifanya nawe mwana intelejensia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujuaji mwingi wa Bongo kavu tuuUmeshaona ID yangu ni Mightier halafu tena unaniuliza Mimi ni nani. Zinakutosha sawa sawa?
Faida ni Kumtia Adabu huyo Chizi Wenu.
Hahahaahaa anajikuta mjuaji kwa Sana hao ndio walewale kavu tuUmeshashiba Zako magimbi na uji Sasa unaanza kujifanya nawe mwana intelejensia
Hakika mkuuAnachopaswa kujua gwajima na hao unaowaita JJT ni kuwa kama siku zako zimefika hata ukwepe vipi utakufa tu
Na hao JJT kama siku za wanaye muwinda hazijafika hata wampige laser level (3x5000) bado mtu atatoka akiwa mzima kabisa.
Huyu Gwajiboy ataondoka kwa changamoto ya upumuaji kama mwendazake. Yule mdudu wa 19 hatakagi mtu anayemletea madharau. Na wale jamaa wa Jengo la Tai wanaweza kumwambukiza hugo mdudu au kumtengenezea msiba unaofanana na msiba wa ugonjwa wa mdudu wa 19...Katika Medani huwa kuna Kifurushi cha kukuondoa ndani ya Siku, Wiki, Mwezi, Miezi mitatu, Miezi 6, Mwaka Mmoja au hata Miaka Miwili hivyo inategemea ulichozawadiwa ni kipi ila Kuondoka ni lazima tu.
Alafu sialisema yeye HAOGOPI mtu wala kitu , mbona kaogopa kiti na Mic ? 😆😆😆😆 Maisha haya banaKama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania ( JTT ) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.
Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania ( JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?
Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai ( Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutenbea sana Ulaya na Marekani umeshondwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?
Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.
Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Sure,Anachopaswa kujua gwajima na hao unaowaita JJT ni kuwa kama siku zako zimefika hata ukwepe vipi utakufa tu
Na hao JJT kama siku za wanaye muwinda hazijafika hata wampige laser level (3x5000) bado mtu atatoka akiwa mzima kabisa.
Wamemgaia kirusi malangoni?Asicheze na Watu wenye kujua Kazi zao.
hii nchi banaa!Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania ( JTT ) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.
Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania ( JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?
Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai ( Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutenbea sana Ulaya na Marekani umeshondwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?
Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.
Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Kazi imeshamalizika Kitambo mno Ndugu.Wamemgaia kirusi malangoni?
Endeleeni kumpa Jeuri ili mumponze zaidi.hii nchi banaa!
yani gwajiboy kupinga chanjo n kitu kizito sanaa eeh
mbna tuko wengi tunaopinga na tumetulia tu
mwacheni gwajiboy apige neno la MUNGU
hujanielewa ndugu naonaEndeleeni kumpa Jeuri ili mumponze zaidi.
Tusubiri mavuno sasaKazi imeshamalizika Kitambo mno Ndugu.
Kwa alichofanyiwa atawakuta Wachanjaji Udongoni.hujanielewa ndugu naona
hata gwajiboy akisepa bado wenye msimamo n wengii , na ni mpaka MUNGU aamue sasa asipoamua hakuna chchte
HACHANJWI MTU HAPAAAAAAAA
Mbona juzi alikuwa Mpole na mwenye Huruma mno tofauti na nyuma? Tatizo ni nini?Wamechelewa sana kirusi cha Gwajiboi kishazagaa mtaani na vile vile anapokufa mgambo wanajeshi huzaliwa
mbna unaongea kwa uhakika sanaa wwKwa alichofanyiwa atawakuta Wachanjaji Udongoni.
.... Nao ni binadamu tu kama binadamu wengine.Gwajboy ni kama kirusi tu kinavyozaliana by means of multiplication, hata iwe deep state kumtowesha eti kwa kuwa anapingana na mipango inayopangwa ni shughuli pevu. Wenye fikra kama zake wako wengi ila hawana vyeo wala nyadhifa na hawajulikani. Deep state ni binadamu tu nao wana ukomo wa kufanya umafia wao
kuna mmoja humu ka comment kuwa umeshiba viazi na magimbiEndeleeni kumpa Jeuri ili mumponze zaidi.