Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania ( JTT ) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.

Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania ( JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?

Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai ( Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutenbea sana Ulaya na Marekani umeshondwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?

Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.

Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Ukikumbuka nothing last forever, unajua hizi ni mbwembwe za duniani tu..unaua ila kuna siku utakufa pia, its all nonsense.
 
kuna mmoja humu ka comment kuwa umeshiba viazi na magimbi

naoma n kweli
Kwani si hata nilipokuwa wa Kwanza kusema hapa hapa JamiiForums ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kuwa Haji Manara ni Kirusi ndani ya Simba SC na kwamba ni Yanga SC na wanamtumia mlinitukana na Kunidhihaki hivi hivi?

Je, kimetokea au hakijatokea? Na kwanini wengi wenu sasa mnanipigia Saluti katika hizo Threads zangu na hata katika PM yangu? Mightier sijawa " Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed " hivi kwa bahati mbaya. Najiamini 100%.
 
Mbona juzi alikuwa Mpole na mwenye Huruma mno tofauti na nyuma? Tatizo ni nini?

Kakumbuka shuka kukiwa Kumeshakucha. Kategwa patamu kweli kweli na kapaingia vile vile.
Kazi keshaimaliza kitambooo wamchukie tu
 
Kwahiyo mleta mada ndio kusema Jima karuka kojo kakanyaga nyesi na kudondokea hapo.
 
Unavizia kumuua mwanadamu mwenzako kama njiwa.this is a Satan in human uniform
Kuna mahala popote pale nimesema kuwa Askofu Gwajima anaenda Kuuawa / Kuuwawa? Nionyeshe tafadhali...!!!
 
Kama kuna Mtu ambaye nilidhani ni Mjanja tena wa Kukwepa Mitego ya Kimafia kutoka Jengo Tai Tanzania ( JTT ) basi alikuwa ni Askofu Gwajima ila baada ya Kutegwa Kitaalamu hatimaye kaingia mwenyewe Mtegoni.

Askofu Gwajima ni Mpuuzi gani alikudanganya na ukamuamini kuwa kama Watu wa Jengo Tai Tanzania ( JTT ) wakikutaka basi sehemu zao pekee za Kukukamatia ni katika Mic na Kiti pekee ambavyo ulivikataa kwa Maelekezo uliyopewa na uliodhani wako pamoja nawe kumbe ndiyo walikupeleka katika Mdomo wa Mamba Kiulaini?

Yaani Askofu Gwajima pamoja na Kujimwambafai ( Kujitapa ) Kwako kote kule na Kutenbea sana Ulaya na Marekani umeshondwa tu kujua kuwa Umafia wa Siku hizi umeshakuwa more advanced na kwamba unaweza Ukaondoka hata kwa Kalamu au Saa au Taa au Mvuke au Miale au Mkanda wa Kiunoni au Camera zinazokumulika?

Nimekudharau kuliko vile ambavyo unaweza kudhani japo hapo mwanzoni nilikuwa nakukubali. Kuna Kitu nilikiona ile Siku ya Kwanza ulivyokuwa Grilled na Kingine pia nimekiona Jana ambacho nasikitika pamoja na kujifanya Kwako Mtoto wa Mjini hukukishtukia ila wenye Kazi yao wameshamaliza Jukumu lao na sasa tunaanza kujiandaa kwa Breaking News nchini.

Mwenzako Slaa kachungulia na Kasepa!
Mjuaji saaaana af kichwani hola
 
Jumapili nitakuwa kiti cha mbele kabisa wanapokaa maUshers...kusikiliza namna baba Askofu atavyokuwa akisimulia kwa mbwembwe jinsi alivyopangua mitego ya adui...

🤭🤭🤭
 
Jumapili nitakuwa kiti cha mbele kabisa wanapokaa maUshers...kusikiliza namna baba Askofu atabyokuwa akisimulia kwa mbwembwe jinsi alivyopangua mitego ya adui...

🤭🤭🤭
Endeleeni tu Kumponza ila hatoamini...!!
 
Back
Top Bottom