Kwanza si kila mtu anamuunga mkono na hata wasio muunga mkono sidhani kama wanataka afe hivi kama kila mtu anaye enda kinyume na matakwa ya kundi flani akiuwawa unadhani nani atabakia maana hata hao wanasiasa wanaenda kinyume na matakwa ya wanachi kila siku je wananchi nao waanze kuwawinda na kuwauwa ili kufikisha ujumbe wao ? si sawa kuja ku brag hapa kwa kitu kama hiki kwa hali halisi kama una high level security clearance na unakuja hapa kuropoka tayari umeharibu mission yote,haina faida zaidi ya kuthibitisha kuwa ni genge la wahalifu ..ila kinyume chake nakuona kama wewe ndi mfuasi wa gwajima una backbite kwa kuitoa siri kama whistleblower na kama ni si hivyo basi ni wazi nchi hii haina think tank ina sim tank zimejaa maji kichwaniSi mlikuwa mnampa Jeuri na kumjaza Ujinga leo mbona mnaanza kumuonea Huruma? Ninachojua tu ni kwamba Mission Accomplished!!!