Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kuna jamaa anaitwa Wenceslao Moguel huko Mexico alihukumiwa kifo , firing squad ilimchapa risasi 9 na ya mwisho wanasema ni ya kichwani bado hakufašushawahi kusikia mtu anapona kitanzi au firing squad eti siku yake haijafika?