Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

Anachopaswa kujua gwajima na hao unaowaita JJT ni kuwa kama siku zako zimefika hata ukwepe vipi utakufa tu

Na hao JJT kama siku za wanaye muwinda hazijafika hata wampige laser level (3x5000) bado mtu atatoka akiwa mzima kabisa.
Hakika mkuu
 
Katika Medani huwa kuna Kifurushi cha kukuondoa ndani ya Siku, Wiki, Mwezi, Miezi mitatu, Miezi 6, Mwaka Mmoja au hata Miaka Miwili hivyo inategemea ulichozawadiwa ni kipi ila Kuondoka ni lazima tu.
Huyu Gwajiboy ataondoka kwa changamoto ya upumuaji kama mwendazake. Yule mdudu wa 19 hatakagi mtu anayemletea madharau. Na wale jamaa wa Jengo la Tai wanaweza kumwambukiza hugo mdudu au kumtengenezea msiba unaofanana na msiba wa ugonjwa wa mdudu wa 19...

Ndipo waumini wake misukule watakapojua hawajui
 
Huna jipya....unapenda ushabiki tu....
Tafuta tiba mzee hayo ni mawenge
 
Alafu sialisema yeye HAOGOPI mtu wala kitu , mbona kaogopa kiti na Mic ? 😆😆😆😆 Maisha haya bana
 
hii nchi banaa!
yani gwajiboy kupinga chanjo n kitu kizito sanaa eeh

mbna tuko wengi tunaopinga na tumetulia tu

mwacheni gwajiboy apige neno la MUNGU
 
Wamechelewa sana kirusi cha Gwajiboi kishazagaa mtaani na vile vile anapokufa mgambo wanajeshi huzaliwa
 
Wamechelewa sana kirusi cha Gwajiboi kishazagaa mtaani na vile vile anapokufa mgambo wanajeshi huzaliwa
Mbona juzi alikuwa Mpole na mwenye Huruma mno tofauti na nyuma? Tatizo ni nini?

Kakumbuka shuka kukiwa Kumeshakucha. Kategwa patamu kweli kweli na kapaingia vile vile.
 
Kwa alichofanyiwa atawakuta Wachanjaji Udongoni.
mbna unaongea kwa uhakika sanaa ww

anyway kama una uhakika sana
ipo hivi kama gwajiboy ana MUNGU kweli
hakuna cha kumtokea apo

ila kama anaigiza basi then cjui ila

HACHANJWI MTU HAPAAAAAA
 
.... Nao ni binadamu tu kama binadamu wengine.

Tofauti ya hiyo deep state na hao ndege Tai ni ipi? Au ndio kitu kimoja ni majina tu tofauti?

Mightier
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…