#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Mbona enzi za Magufuli aliufyata huyu ana mpima Samia, ngoja akinyooshwa tu kidogo atatulia
 
Gwajima 2025 anaweza kuchukua nchi jamani🤣
 
Mbona enzi za Magufuli aliufyata huyu ana mpima Samia, ngoja akinyooshwa tu kidogo atatulia
Ahaa cariha unaposema aliufyata kwa magufuli###
hauoni kinachoendelea je huyo magufuli aliruhusu chanjo?

Anacho kizungumza gwajima tusaidie kujibu wewe maana wataalamu wakiwa ndani ya ccm wanapotea sijui kwanini

Caria usijsahaulishe anachouliza gwajima hichi hapo chini wala usijitie upofu

Gwajima amehoji hoja za msingi sana haikufaa kumpiga biti ili kutetea ugali walifaa kujibu kwa hoja.

Fundamental questions:
1. Nikichanjwa naacha kuvaa barakoa?
WHO: Lazima uvae

2. Nikichanjwa sitaambukizwa?
WHO: Unaweza kuambukizwa

3. Nikichanjwa siwezi kuugua?
WHO: Utaugua

4. Nikichanjwa siwezi kufa?
WHO: Unaweza kufa

5. Nikichanjwa ikija Corona ya design nyingine siwezi ambukizwa?
WHO: Unaweza kuambukizwa.

Sasa Gwajima anahoji hii chanjo tunachanja ya nini???

Hili swali ndo inatakiwa wamjibu kwa niaba ya watanzania badala ya kumpiga biti.

Hoja hushindwa na hoja.
 
angetueleza kwanza yeye kilichofanya akabadili upepo kugombea ubunge ni nini?
 

Pana mambo hayana maswali wala hayahitaji majibu:

1. Majaliwa, Jaffo na Vigogo Afya Waachie Ngazi



2. Mawaziri waachie Ngazi kutoa Nafasi kwa Mwanzo Mpya



Ila mwenye majiko yake yule mwenyewe kabisa yuko Chatto.



Bila kuwaondosha japo hao safari bado sana.
 
Gwaji boy!
Hawa wataalamu walipokuwa wanajenga jiko Muhimbili ulipewa paper ya research ?
Were nawe ni mfuata mkumbo wa Mwendazake, vinginevyontupe paper ya hilo unalo liamini na kulitangaza. Msimamo wako huu ni waaliye kuingiza kwenye ubunge (Mwendazake)

Ni kweli viongozi na wataalam wetu ni wachumia tumbo. Wanaelekea upande wa anae wapa ugali, ndo mana tunataka Uhuru kwa kudai katiba inayo wapa Uhuru watu kuwa kinyume na anaye wapa ugali kama wanaona inafaa.

Hata wewe ni mmoja wao, isipo kuwa kwa huyu mama umekata tamaa ya kupewa chochote kama ulivyo ahifiwa na Msukuma mwenzio aliye kuingiza ubunge kwa kharamu.
 
Gwajima hana legitimacy ya kuwananga wenziwe juu a ukigeugeu.

Sote tu mashihidi - siku za huko nyuma hajajiingiza kwenye siasa aliwanangaga vibaya sana Waislamu na Wakatoliki lakini mwaka jana wakati wa kuomba kura za ubunge Kawe akafanya u-turn kama shemeji yake Doro alivyofanya kwenye korona - akawaita Wakatoliki na Waislamu ni watu wema sana na in fact eti walimlea alivyokuwa kijana hadi kupewa jina la Kiislamu Rashidi.

Huyu jamaa ni tapeli lililojificha ndani ya majoho ya kanisa!
 
Dodoma hapakalini. Pale wamemwaga Damu ya Lissu kila wakifika pale miguu inawasha.

Rejea mlima Gilboa alikouawa Mfalme Sauli palilaaniwa pakakosa Mvua na umande na hakuna mtu wa maana anapakaa.
Da Tanzania
 
Achana na Gwajima, hutomweza atakupoteza kwenye ulimwengu wa siasa kwa jina la Yesu. Kamuulize walichomfanya paulo.
Paulo walikuwa mtumishi wa Mungu, hakushiriki dhulma ya watawala kama ambavyo huyu alivyo shiriki kupata ubunge wa dhulma toka kwa Mwendazake.
Paulo hakuwa mkabila kama huu alivyo Sukuma gang.
Paulo alikuwa hawaongopei watu ila huyu anamengi anayo ongopa moja wapo nihili la chanjo na majigambo ya kumfufua Amina Chifupa.
Ni mengi anatofautiana na Paulo. Huyu anapenda mapato ya aibu.kama haya y ubunge. Pia waumini wake wananjaa yeye anaishinkwa Anasa kwa pesa zao, hivi sivyo kwa Paul.
 
Watu aina ya Gwajima nawakubali sana.
Lazima tuwe watu wenye misimamo isiyo yumbishwa, sio leo njano kesho nyekundu.
Ni kweli, sio leo sigombei ubunge ni sababu ni 'demotion' halafu kesho unagombea. Sio 'nafufua watu' halafu hufufui. Lazima uwe na msimamo, hahahahaaaaaa
 
Gwajima ni nabii wa uongo. Kalaghabahoo wanapigwa wajinga
 
Anachotaka ni nini jasa? Hayo mambo si yaliisha isha?

Amesahahu kama yenyewe iliiambia hiyo misukule yake kwamba haiwezi kugombea ubunge maana ni demotion?

nimeshagundua kinachoisumbua hii mbuzi inataka umaarufu wa kuongelewa mitandaoni
Hata yeye Gwajima ni kigeugeu na hana msimamo kama Haji Manara
 
Kuna wakati hata saa mbovu husema ukweli#gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…