Mbona enzi za Magufuli aliufyata huyu ana mpima Samia, ngoja akinyooshwa tu kidogo atatulia
Ahaa cariha unaposema aliufyata kwa magufuli###
hauoni kinachoendelea je huyo magufuli aliruhusu chanjo?
Anacho kizungumza gwajima tusaidie kujibu wewe maana wataalamu wakiwa ndani ya ccm wanapotea sijui kwanini
Caria usijsahaulishe anachouliza gwajima hichi hapo chini wala usijitie upofu
Gwajima amehoji hoja za msingi sana haikufaa kumpiga biti ili kutetea ugali walifaa kujibu kwa hoja.
Fundamental questions:
1. Nikichanjwa naacha kuvaa barakoa?
WHO: Lazima uvae
2. Nikichanjwa sitaambukizwa?
WHO: Unaweza kuambukizwa
3. Nikichanjwa siwezi kuugua?
WHO: Utaugua
4. Nikichanjwa siwezi kufa?
WHO: Unaweza kufa
5. Nikichanjwa ikija Corona ya design nyingine siwezi ambukizwa?
WHO: Unaweza kuambukizwa.
Sasa Gwajima anahoji hii chanjo tunachanja ya nini???
Hili swali ndo inatakiwa wamjibu kwa niaba ya watanzania badala ya kumpiga biti.
Hoja hushindwa na hoja.