#COVID19 Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

Watu aina ya Gwajima nawakubali sana.
Lazima tuwe watu wenye misimamo isiyo yumbishwa, sio leo njano kesho nyekundu.
Mbona hata yeye hana msimamo, alisema ubunge ni demotion leo yapo wapi?
 
CCM
 
Simpendi gwajima.

Ila kauli zake tuna la kujifunza, Nchi kua na wataalam na viongoz vigeugeu Ni HATARI Sana.

Tunajenga taifa la wanafiki na walamba viatu[emoji3525]
 
huyo askofu ni fala sana,
 
Simpendi gwajima.

Ila kauli zake tuna la kujifunza, Nchi kua na wataalam na viongoz vigeugeu Ni HATARI Sana.

Tunajenga taifa la wanafiki na walamba viatu[emoji3525]
gwajima yeye sio kigeugeu?
 
Gwajima gani?
 
Gwajiboy ungekuwa unatoa hoja nzito zakuwalazimisha waliokuwa wanampamba Magu kuhusu korona wajiuzulu kwa kumshauri vibaya ningekuelewa.
Habari ya research kuletewa were hapo umechemka kwani huna utaalamu wakisayansi kujua hiyo research.
Ni sawa na aliyepima Mapapai na Mafenesi
 
mpaka akasema yeye anaitwa Rashidi
 
paulo makonda😂😂😂😂😂😂
 
Kuna mdau aliwahi kuleta Uzi humu, NIMRI ifutwe TU.

Wanafanya KAZI ya kusambaza vyandarua, hamna tafiti ya maana waliwahi fanya ikasaidia jamii.

Hata hili la Corona,
Walituaminisha dawa ya madagaskar Ni KIBOKO ya Corona.

Sahv wamekaa kimya Kama sio wao.

Gwajima anapoint[emoji106]
 
lilikua ni shinikizo la mwendawazimu meko
 
Watu wanamshambulia gwajima in person, badala ya kujibu hoja zake[emoji2]
 
gwajiboy kada pekee wa ccm alieamua kubaki na akili yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
KABisa,
Sahivi naona na polepole nae Yuko na gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…