Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hata yeye hana msimamo, alisema ubunge ni demotion leo yapo wapi?Watu aina ya Gwajima nawakubali sana.
Lazima tuwe watu wenye misimamo isiyo yumbishwa, sio leo njano kesho nyekundu.
CCMUongo wa Gwajima ni upi hapo?
Katika Nchi yeyote iliyokuwa makini, wale viongozi waliokuwa advocates wa kijifukiza walipaswa wajiuzulu ili kupisha wengine ambao watakuwa advocates wa chanjo.
It doesn't make sense , mwezi wa pili mwaka huu ukatae katukatu chanjo na utoe sababu za kisayansi na mwaka huu huu mwezi wa sita uzikubali chanjo kwa sababu hizo za kisayansi, ni kitu gani kimebadilika ?
huyo askofu ni fala sana,Gwaji boy!
Hawa wataalamu walipokuwa wanajenga jiko Muhimbili ulipewa paper ya research ?
Were nawe ni mfuata mkumbo wa Mwendazake, vinginevyontupe paper ya hilo unalo liamini na kulitangaza. Msimamo wako huu ni waaliye kuingiza kwenye ubunge (Mwendazake)
Ni kweli viongozi na wataalam wetu ni wachumia tumbo. Wanaelekea upande wa anae wapa ugali, ndo mana tunataka Uhuru kwa kudai katiba inayo wapa Uhuru watu kuwa kinyume na anaye wapa ugali kama wanaona inafaa.
Hata wewe ni mmoja wao, isipo kuwa kwa huyu mama umekata tamaa ya kupewa chochote kama ulivyo ahifiwa na Msukuma mwenzio aliye kuingiza ubunge kwa kharamu.
gwajima yeye sio kigeugeu?Simpendi gwajima.
Ila kauli zake tuna la kujifunza, Nchi kua na wataalam na viongoz vigeugeu Ni HATARI Sana.
Tunajenga taifa la wanafiki na walamba viatu[emoji3525]
Gwajima gani?Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale muhimbili jiko la kujifukiza nyungu na waliwaaminisha wananchi kuwa chanjo hazifai
Gwajima anasema Leo ghafla wataalamu hao wanahubiri chanjo, Je wanamdanganya nani?
Gwajima anahoji lile jiko sasa wana alitumia kwa kazi gani pale muhimbili kwani waliokataa chanjo ndio hao vinara wa kusisitiza chanjo
Gwajima anasisitiza hao wataalamu wa ndani walete Papers au Research zao wamefanya lini na wapi kuhusu chanjo za korona?
Gwajima anasema waje wataalamu hao wa ndani waeleze Madhara ya muda mrefu na mfupi wa chanjo ndio hapo atakuja na Maswali magumu ya kufanya watawanyike
Anasema viongozi makini wangejiuzuru kazi hawafai kuongoza Taifa kwa kuwa vigeugeu kwa kuangalia nani anaongoza juu yao
mpaka akasema yeye anaitwa RashidiGwajima hana legitimacy ya kuwananga wenziwe juu a ukigeugeu.
Sote tu mashihidi - siku za huko nyuma hajajiingiza kwenye siasa aliwanangaga vibaya sana Waislamu na Wakatoliki lakini mwaka jana wakati wa kuomba kura za ubunge Kawe akafanya u-turn kama shemeji yake Doro alivyofanya kwenye korona - akawaita Wakatoliki na Waislamu ni watu wema sana na in fact eti walimlea alivyokuwa kijana hadi kupewa jina la Kiislamu Rashidi.
Huyu jamaa ni tapeli lililojificha ndani ya majoho ya kanisa!
paulo makonda😂😂😂😂😂😂Paulo walikuwa mtumishi wa Mungu, hakushiriki dhulma ya watawala kama ambavyo huyu alivyo shiriki kupata ubunge wa dhulma toka kwa Mwendazake.
Paulo hakuwa mkabila kama huu alivyo Sukuma gang.
Paulo alikuwa hawaongopei watu ila huyu anamengi anayo ongopa moja wapo nihili la chanjo na majigambo ya kumfufua Amina Chifupa.
Ni mengi anatofautiana na Paulo. Huyu anapenda mapato ya aibu.kama haya y ubunge. Pia waumini wake wananjaa yeye anaishinkwa Anasa kwa pesa zao, hivi sivyo kwa Paul.
Tujikite kwenye hoja zake badala ya yeye mwenyewe binafsi.gwajima yeye sio kigeugeu?
Gwajima yupo sawa chaguzi ni yakoMbona hata yeye hana msimamo, alisema ubunge ni demotion leo yapo wapi?
yuko sawa kwa wajinga wenzakeGwajima yupo sawa chaguzi ni yako
anahoja gani ya msingi? aliyekataa chanjo kashakufa na korona, sasa si akamuhoji marehemu?Tujikite kwenye hoja zake badala ya yeye mwenyewe binafsi.
Shemejiye uyo.Anamsema Dada yake Dorothy......ila kusema ukweli wataalamu wetu wakubali tu waliteleza
Piga malimao dogo acha kubugia michanjo ya hovyo hovyo ndo maana unakuwa shoga...View attachment 1885202
Kuna mdau aliwahi kuleta Uzi humu, NIMRI ifutwe TU.Hakuna virologists nchii hii, kuna makasuku tu ambao hawawezi kufanya lolote mpaka wasubiri kuona mzungu amefanya nini!
Kuwa virologist sio tu kukariri kariri hovyo majina ya vijidudu. Lazima elimu zao zionekane zinaisadia namna gani jamii.
Huu ni mwaka wa pili wa UVIKO, lakini hao virologists wako wamejificha uvunguni wamejikunyata hawajui la kufanya. Wanasubiri mabeberu yatengeneza chanjo kisha wao wadandie treni kwa mbele.
lilikua ni shinikizo la mwendawazimu mekoKuna mdau aliwahi kuleta Uzi humu, NIMRI ifutwe TU.
Wanafanya KAZI ya kusambaza vyandarua, hamna tafiti ya maana waliwahi fanya ikasaidia jamii.
Hata hili la Corona,
Walituaminisha dawa ya madagaskar Ni KIBOKO ya Corona.
Sahv wamekaa kimya Kama sio wao.
Gwajima anapoint[emoji106]
Watu wanamshambulia gwajima in person, badala ya kujibu hoja zake[emoji2]Ahaa cariha unaposema aliufyata kwa magufuli###
hauoni kinachoendelea je huyo magufuli aliruhusu chanjo?
Anacho kizungumza gwajima tusaidie kujibu wewe maana wataalamu wakiwa ndani ya ccm wanapotea sijui kwanini
Caria usijsahaulishe anachouliza gwajima hichi hapo chini wala usijitie upofu
Gwajima amehoji hoja za msingi sana haikufaa kumpiga biti ili kutetea ugali walifaa kujibu kwa hoja.
Fundamental questions:
1. Nikichanjwa naacha kuvaa barakoa?
WHO: Lazima uvae
2. Nikichanjwa sitaambukizwa?
WHO: Unaweza kuambukizwa
3. Nikichanjwa siwezi kuugua?
WHO: Utaugua
4. Nikichanjwa siwezi kufa?
WHO: Unaweza kufa
5. Nikichanjwa ikija Corona ya design nyingine siwezi ambukizwa?
WHO: Unaweza kuambukizwa.
Sasa Gwajima anahoji hii chanjo tunachanja ya nini???
Hili swali ndo inatakiwa wamjibu kwa niaba ya watanzania badala ya kumpiga biti.
Hoja hushindwa na hoja.
KABisa,gwajiboy kada pekee wa ccm alieamua kubaki na akili yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223]