johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Hahahaaaa........ Mmawia kajificha makongo juu kwa mbunge!
Unadhan andiko umelivumbua wewe?Ya Mungu na ya Kaisari anayapeleka vipi pamoja??
Wanaobadilika wengi wala siyo ajabu. Hata wapinzani walishawahi kuwaita Lowassa na Sumaye mafisadi kisha wakaja kuwaogesha na kuwakabidhi rehani za chama. Baadaye tena wakabadilika. Hata mawe hubadilika.Alishawahi kusema Kugombea Urais ,Ubunge ni kujishushia hadhi.
Leo kabadilika,!!!
Laana ya mungu haiji kwa maandiko, na hiyo laana itakapo kipiga hata wewe itakushtukiza tuu.Mpinge kwa maandiko vinginevyo unapiga kelele tu!
Anataka kuanza kubet uyu mzee hana loloteAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Kuna tofauti kubwa kati ya Mchungaji na Askofu!Hatakuwa peke yake. Hata Msigwa naye anatumikia mabwana wawili kwa muktadha huo.
Haya ndio mahubiri yake ya leo? ni vyema akumbushwe wajibu wake kama kiongozi wa kiroho, huku kwenye siasa ni kuvuka mipaka yake.
Ni vyema achague kubaki na kofia moja kati ya kiongozi wa kiroho au kiongozi wa kisiasa.
Naona ile heshima ya kisiasa na kidini aliyokuwa nayo Marehemu Getrude Lwakatare imewavutia kina Gwajima na Shilla hivyo wao pia wanatamani kuvaa kofia mbili.
We wait and see.Mungu ameshaniambia.
Lowasa na Sumaye ni Wanasiasa ,Gwajima ni Kiongozi wa Dini.hahaWanaobadilika wengi wala siyo ajabu. Hata wapinzani walishawahi kuwaita Lowassa na Sumaye mafisadi kisha wakaja kuwaogesha na kuwakabidhi rehani za chama. Baadaye tena wakabadilika. Hata mawe hubadilika.
We matako nini nimeweka haki miliki ya Biblia hapo? Kuwa mchungaji haimaanishi anajua kila kitu! Nipe quotation yoyote ktk Biblia Mungu aliyoruhusu mchungaji afanye siasa! Biblia anasema Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe kaisari maana achague sasa what are you saying? This YAHOO PASTOR kondoo anawalaUnadhan andiko umelivumbua wewe?
Lowasa na Sumaye ni Wanasiasa ,Gwajima ni Kiongozi wa Dini.hahaWanaobadilika wengi wala siyo ajabu. Hata wapinzani walishawahi kuwaita Lowassa na Sumaye mafisadi kisha wakaja kuwaogesha na kuwakabidhi rehani za chama. Baadaye tena wakabadilika. Hata mawe hubadilika.
Sijawahi kumuona au kumsikia Msigwa anahubiri kanisa lolote toka alipokuwa mbunge, hebu wewe niambie umewahi kumuona au kumsikia akihubiri wapi zaidi ya jina tu Mchungaji Msigwa?!Sasa nyie watu mnaamini katika demokrasia ipi? Akiwa mbunge Mch. Msigwa sawa. Mch. Israel yule wa Karatu sawa. Ila akiwa Gwajima inakuwa nongwa! Acheni ubaguzi. Kila mtu anayo haki ya kugombea na kuchaguliwa. Ikiwa anastahili atashinda na ikiwa hastahili atashindwa. Muache kujiona mnajua kila kitu.
Hapa hakuna suala la kusomea siasa, usikuze mambo, huyu mtu ni kiongozi wa kanisa lake anawaumini ambao kimsingi nao wana itikadi zao tofauti, sasa unapokuwa na kiongozi wa aina hii hao kondoo wataacha vipi kutawanyika?!Ni sawa ana wajibu wake kiroho huko kanisani kwake lakini yeye ni mtanzania ana haki sawa na watanzania wengine.
Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake lakini hatuwezi kuhoji haki yake ya msingi ya kiraia. Marehemu Rwakatare na Mchungaji Msigwa wote walikuwa wabunge hatukuwahi kuhoji haki zao.
Watanzania tusome zaidi siasa hata kama hatutaki kuwa wanasiasa ili tunapojadili tujadili mambo kwa kufuata misingi badala ushabiki.
Kwa hiyo yeye ni nani kati ya hayo majina?Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Na huyu wa CHADEMA Nabii kijana Bilionea Shillah je? Nasikia ametia nia jimbo la KilomberoSijawahi kumuona au kumsikia Msigwa anahubiri kanisa lolote toka alipokuwa mbunge, hebu wewe niambie umewahi kumuona au kumsikia akihubiri wapi zaidi ya jina tu Mchungaji Msigwa?!
Huu mwaka tutashuhudia mengi sadaka zimeporomoka sana!Na huyu Nabii kijana Bilionea Shillah je ambNa huyu wa CHADEMA Nabii kijana Bilionea Shillah je? Nasikia ametia nia jimbo la Kilombero
Huyu si Askofu, ni mtu wa mshahara!Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Nisome juu kabisa ya huu uzi msimamo wangu kuhusu watu wa aina hii.Na huyu Nabii kijana Bilionea Shillah je ambNa huyu wa CHADEMA Nabii kijana Bilionea Shillah je? Nasikia ametia nia jimbo la Kilombero