Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

Alishawahi kusema Kugombea Urais ,Ubunge ni kujishushia hadhi.
Leo kabadilika,!!!
Wanaobadilika wengi wala siyo ajabu. Hata wapinzani walishawahi kuwaita Lowassa na Sumaye mafisadi kisha wakaja kuwaogesha na kuwakabidhi rehani za chama. Baadaye tena wakabadilika. Hata mawe hubadilika.
 
Mpinge kwa maandiko vinginevyo unapiga kelele tu!
Laana ya mungu haiji kwa maandiko, na hiyo laana itakapo kipiga hata wewe itakushtukiza tuu.

Kumuunga mkono Shetani ni kutafuta kipigo cha mungu, mtaanza kukiona kuanzia kesho
 
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.

Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.

Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.

Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.

Maendeleo hayana Vyama!
Anataka kuanza kubet uyu mzee hana lolote
 
Haya ndio mahubiri yake ya leo? ni vyema akumbushwe wajibu wake kama kiongozi wa kiroho, huku kwenye siasa ni kuvuka mipaka yake.

Ni vyema achague kubaki na kofia moja kati ya kiongozi wa kiroho au kiongozi wa kisiasa.

Naona ile heshima ya kisiasa na kidini aliyokuwa nayo Marehemu Getrude Lwakatare imewavutia kina Gwajima na Shilla hivyo wao pia wanatamani kuvaa kofia mbili.

Hakuna mipaka ya Kiroho, haipo, kama ipo nionyeshe.

Kuwa kiongozi serikalini sio dhambi, kama ni dhambi pia nionyeshe.

Kipindi kile yuko Chadema mlikuwa hamuoni hilo?

Anyways, tuone itakavyo kuwa.
 
Wanaobadilika wengi wala siyo ajabu. Hata wapinzani walishawahi kuwaita Lowassa na Sumaye mafisadi kisha wakaja kuwaogesha na kuwakabidhi rehani za chama. Baadaye tena wakabadilika. Hata mawe hubadilika.
Lowasa na Sumaye ni Wanasiasa ,Gwajima ni Kiongozi wa Dini.haha
 
Unadhan andiko umelivumbua wewe?
We matako nini nimeweka haki miliki ya Biblia hapo? Kuwa mchungaji haimaanishi anajua kila kitu! Nipe quotation yoyote ktk Biblia Mungu aliyoruhusu mchungaji afanye siasa! Biblia anasema Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe kaisari maana achague sasa what are you saying? This YAHOO PASTOR kondoo anawala
 
Wanaobadilika wengi wala siyo ajabu. Hata wapinzani walishawahi kuwaita Lowassa na Sumaye mafisadi kisha wakaja kuwaogesha na kuwakabidhi rehani za chama. Baadaye tena wakabadilika. Hata mawe hubadilika.
Lowasa na Sumaye ni Wanasiasa ,Gwajima ni Kiongozi wa Dini.haha
 
Kwa hiyo ndo utetezi alioleta huu, kwa kweli hii korona itakuwa imeathiri makusanyo ya sadaka na sasa anatafuta kula kwenye ubunge, unafanya mchezo na njaa..
 
Sasa nyie watu mnaamini katika demokrasia ipi? Akiwa mbunge Mch. Msigwa sawa. Mch. Israel yule wa Karatu sawa. Ila akiwa Gwajima inakuwa nongwa! Acheni ubaguzi. Kila mtu anayo haki ya kugombea na kuchaguliwa. Ikiwa anastahili atashinda na ikiwa hastahili atashindwa. Muache kujiona mnajua kila kitu.
Sijawahi kumuona au kumsikia Msigwa anahubiri kanisa lolote toka alipokuwa mbunge, hebu wewe niambie umewahi kumuona au kumsikia akihubiri wapi zaidi ya jina tu Mchungaji Msigwa?!
 
Ni sawa ana wajibu wake kiroho huko kanisani kwake lakini yeye ni mtanzania ana haki sawa na watanzania wengine.

Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake lakini hatuwezi kuhoji haki yake ya msingi ya kiraia. Marehemu Rwakatare na Mchungaji Msigwa wote walikuwa wabunge hatukuwahi kuhoji haki zao.

Watanzania tusome zaidi siasa hata kama hatutaki kuwa wanasiasa ili tunapojadili tujadili mambo kwa kufuata misingi badala ushabiki.
Hapa hakuna suala la kusomea siasa, usikuze mambo, huyu mtu ni kiongozi wa kanisa lake anawaumini ambao kimsingi nao wana itikadi zao tofauti, sasa unapokuwa na kiongozi wa aina hii hao kondoo wataacha vipi kutawanyika?!

Unaleta habari ya Msigwa, binafsi toka nimjue Msigwa kama mchungaji sijawahi kumuona au kumsikia kanisani akihubiri, labda wewe uniambie uliwahi kumuona wapi Msigwa akihubiri baada ya kutoka bungeni?

Kuhusu Lwakatare ndio yaleyale, kila jambo linazungumzwa kwa wakati wake, most importantly two wrongs can't make it right, Lwakatare alipotoka so as Gwajima.

Ukishasema huyu mtu anawajibu wake kiroho maana yake ya ulimwengu ayaache, na alijua hili mapema ndio maana kuna video yake ikimuonesha yeye kwa kinywa chake akikiri kazi yake ya Uaskofu ni kubwa zaidi ya ubunge, uwaziri, hata urais, sasa kipi kimembadilisha?
 
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.

Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.

Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.

Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.

Maendeleo hayana Vyama!
Kwa hiyo yeye ni nani kati ya hayo majina?
 
Na huyu Nabii kijana Bilionea Shillah je amb
Sijawahi kumuona au kumsikia Msigwa anahubiri kanisa lolote toka alipokuwa mbunge, hebu wewe niambie umewahi kumuona au kumsikia akihubiri wapi zaidi ya jina tu Mchungaji Msigwa?!
Na huyu wa CHADEMA Nabii kijana Bilionea Shillah je? Nasikia ametia nia jimbo la Kilombero
 
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.

Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.

Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.

Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.

Maendeleo hayana Vyama!
Huyu si Askofu, ni mtu wa mshahara!
 
Na huyu Nabii kijana Bilionea Shillah je ambNa huyu wa CHADEMA Nabii kijana Bilionea Shillah je? Nasikia ametia nia jimbo la Kilombero
Nisome juu kabisa ya huu uzi msimamo wangu kuhusu watu wa aina hii.
 
Back
Top Bottom