Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Naweza kufanya kazi yoyote ambayo haijakatazwa kibiblia, Mungu alijitambulisha kwa majina tofauti!

Ni sawa ana wajibu wake kiroho huko kanisani kwake lakini yeye ni mtanzania ana haki sawa na watanzania wengine. Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake lakini hatuwezi kuhoji haki yake ya msingi ya kiraia...

1. Rwakatale uliwahi muona anachangia chochote bungeni? Zaidi ya kushangilia na kupiga makofi zito auwawe ?

2. Unaweza kutueleza uchungaji wa msigwa ndani ya siasa upo vipi na kabla ulikuwaje
a) kanisa la msigwa linaitwaje? Tunajuwa la kwajima lipo

b) Gwajima ataendelea kushiriki na kutoa huduma kanisani kila siku? Atamwachia nani kondoo wake?

C) aliposema kwake siasa nikujishusha na hawezi kujidhalisha alimaanisha nini nasasa anafanya nini? Je anafaa kuaminiwa?
 
Haya ndio mahubiri yake ya leo? ni vyema akumbushwe wajibu wake kama kiongozi wa kiroho, huku kwenye siasa ni kuvuka mipaka yake.

Ni vyema achague kubaki na kofia moja kati ya kiongozi wa kiroho au kiongozi wa kisiasa.

Naona ile heshima ya kisiasa na kidini aliyokuwa nayo Marehemu Getrude Lwakatare imewavutia kina Gwajima na Shilla hivyo wao pia wanatamani kuvaa kofia mbili.
 
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.

Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu mwenyezi, Bwana wa majeshi nk
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.

Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Kawe wilayani Kinondoni.

Maendeleo hayana vyama!
Awadanganye wanaoelewa polepole. Kwanza, ni kweli kabisa mtumishi wa Mungu anaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo sio katazo la Mungu. Na katika context ya hoja yake sisi waumini pia inatuhusu. Hapa, tafsiri sahihi ya 'mtumishi wa Mungu' inapaswa kuwa kila anayeliitia jina la Yesu ni mtumishi wa Mungu, yaani sisi waumini wa Kikristo, kwa mujibu wa Biblical perspective, ni watumishi wa Mungu pia.

Kazi moja ya muhimu sana, ambayo Mungu amewapa watumishi wa Mungu kwa tafsiri ile ya wachungaji, maaskofu (hata mitume na manabii) ni kufanya "checks and balance". Hii ndio kazi ambayo akina Gwajima wanapaswa kuifanya. Na ili uweze kufanya "checks & balance" ni lazima ujiweke kando na vyama siasa. Kwa wanaolisheshimu jukumu hili la Kimungu, wanapopata msukumo wa kuingia kwenye siasa, jambo la kwanza na la haraka kufanya huwa ni kujivua uchunga kondoo wa Bwana. Hii ni kwa sababu maisha ya siasa yanazalisha dhambi kila siku.

Makanisa mengi yameweka kwenye Katiba zake marufuku kwa wachungaji wake kujiingiza kwenye siasa. Kwa wasiojua, hata marehemu Mama Rwakatare alipopata msukumo wa kuingia kwenye siasa, alihangaika kutaka kulikabidhi kanisa lake TAG ili yeye ajikite moja kwa moja kwenye siasa, lakini ilishindikana kwa sababu mbalimbali ambazo sio muhimu sana kuzitumia hapa.

Dk. Chakwera, president elect wa Malawi alikuwa Askofu Mkuu wa Malawi Assemblies of God kwa miaka mingi mpaka aliposikia wito wa kuingia kwenye siasa kwenye mwaka 2013. Alijiuzulu uongozi wa kanisa la kujiunga na chama cha upinzani ambako alienda kugombea uenyekiti na kushinda kwa kishindo, kabla ya mwaka 2016 kujitosa kugombea urais. Kwa hiyo wanaotumia mfano wa Dk. Chakwera katika suala hili la Gwajima watakuwa wanafanya fallacy!

Labda tukumbushane hili. Mfumo wa makanisa haya ya akina Gwajima, ni mfumo ambao unafanya makanisa yale kuwa sawa na kampuni binafsi. yaani, kanisa la 'Ufufuo na Uzima' ni mali binafsi ya Gwajima. Kwahiyo, anaweza kulitumia anavyotaka yeye mwenyewe hata kama Katiba inamzuia. Anayetaka kunibishia kabla hajafanya hivyo, akaulize 'Ufufuo na Uzima' ni lini wachungaji waliwahi kufanya uchaguzi wa Askofu Mkuu wakamchagua Gwajima! Ni imani yangu kwamba hata jambo hili la kujiiingiza kwenye siasa litakuwa sio shirikishi, amua mwenyewe! Kwa wenye akili nyingi wanaweza kujua haraka athari yake..

Je, Gwajima ameingia kwenye siasa na matumaini gani? Swali hili ni muhimu sana. Nimesikiliza interview yake na kitivi kimoja cha mtandaoni. Muelewe pia watu wajanja wajanja wa aina ya Gwajima, interview zao sasa hawafanyi na media serious, wanajua watabanwa maswali magumu watatibuliwa deal. Katika mahojiano yale amepigapiga siasa, na hajaweza kujieleza katika namna ambayo inamwingia haraka mtu ambaye yuko bold na kichwa chake kinaweza kuchekecha!

Tafakuri yangu inanituma kwenye hitimsho hili: Gwajima anaweza kuwa ametumwa au amejituma kugombea, kwa nia ya kwamba jina lake lisikike ndani ya CCM kuwa naye ni "mkerereketwa". Kwa wanaofuatilia siasa za CCM za hivi karibuni, watakubaliana na mimi kwamba makada na wasaka fursa wengi, wamegundua kuwa ukitia nia kwenye uchaguzi wa ubunge hata ukishindwa kuna uwezekano huko mbele ukapata uteuzi.

lakini, naamini Gwajima anafahamu kwamba kama JPM atashinda kwenye urais, Bunge linawasubiri akina Kessy kutimiza ile ahadi ambayo inasubiriwa kwa hamu na Ndugai, na Gwajima anafaa sana akiungana na Kessy kwenye huu mchezo! Sasa kwanini asipate hata ubunge wa kuteuliwa?
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.

Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.

Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.

Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.

Maendeleo hayana Vyama!
Yesu alisema "huwezi kutumikia mabwana wawili: mali na Mungu" na unaweza kuongeza 'political power na Mungu' kwani kwa maneno ya Bwana Yesu 'utampendeza huyu na kumchukiza yule au utamchukiza huyu na kumpendeza yule.' Kwa mfano, inapotokea 'conflict of interest' kati ya kanisa lake na siasa (nafasi yake kama mbunge/mwakilishi wa wananchi wa jimbo lake) atafanyaje?
 
Gwajima na wapambe wake wote ni wezi, ma Rapist/wabakaji, tapeli, muongo, wauuza Drug na walaghai.

Na wewe John mtumwa wa huyu mzinzi na mwizi anayeibia walala hoi. Hata wewe unakuwa kafiri na haramia.
 
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.

Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.

Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.

Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.

Maendeleo hayana Vyama!
Awali ya yote, ana haki zote za kikatiba ktk kufanya uamuzi alioufikia. Pili itakuwa ni kupigania kupata baraka zote ndani ya chama chake ili aweze kuaminika kupeperusha bendera. Tatu, na muhimu kupita yote, itampasa apambane vyema ktk kampeni ngumu za jimbo la Kawe ili aweze kuibuka kidedea na hatimaye kutangazwa kuwa ndiye mbunge mteule.
 
Aache utapeli, naona sasa anapeleka siasa kanisani na waumini wake watakuwa wanamshangilia kama kawaida yao.

Mbona wale wakina Petro, Paulo, Mathayo, Luka na wengine wao hawakujigeuza Wanasiasa?

Utawala wa Mungu wa kweli sio wa dunia hii, utawala wake ni wa mbinguni, hii dunia inamtawala wake mwingine tofauti, ndio maana Yesu alipowachukua wale wanafunzi wake aliwaambia wayaache yote ya ulimwengu wamfuate yeye.
Sasa nyie watu mnaamini katika demokrasia ipi? Akiwa mbunge Mch. Msigwa sawa. Mch. Israel yule wa Karatu sawa. Ila akiwa Gwajima inakuwa nongwa! Acheni ubaguzi. Kila mtu anayo haki ya kugombea na kuchaguliwa. Ikiwa anastahili atashinda na ikiwa hastahili atashindwa. Muache kujiona mnajua kila kitu.
 
YAANI HUYU JAMAA KAMA AMEWALOGA VILE WAUMINI WAKE.. .

ANAWAPELEKA VYOVYOTE ANAVYOTAKA.. . .

ANAGEUZA GEUZA KAMA CHAPATI.. .
Kama dj mwamba anavyoliendesha genge lake la kuchumia ruzuku.
 
Ni sawa ana wajibu wake kiroho huko kanisani kwake lakini yeye ni mtanzania ana haki sawa na watanzania wengine.

Tunaweza kuhoji dhamira na integrity yake lakini hatuwezi kuhoji haki yake ya msingi ya kiraia. Marehemu Rwakatare na Mchungaji Msigwa wote walikuwa wabunge hatukuwahi kuhoji haki zao.

Watanzania tusome zaidi siasa hata kama hatutaki kuwa wanasiasa ili tunapojadili tujadili mambo kwa kufuata misingi badala ushabiki.
Wanaohubiri demokrasia ndiyo hao wa kwanza kuinyonga.
 
Gwajima na wapambe wake wote ni wezi, ma Rapist/wabakaji, tapeli, muongo, wauuza Drug na walaghai.

Na wewe John mtumwa wa huyu mzinzi na mwizi anayeibia walala hoi. Hata wewe unakuwa kafiri na haramia.
Mpinge kwa maandiko vinginevyo unapiga kelele tu!
 
Aaache unafiki, anajifanya kusafisha kauli aloisema mwanzoni kua yy ni zaidi ya mbunge.....ila anyway Kwani mbona alikata mauno juu ya kondoo wakati Biblia imekataza Uzinzi?? Gwaji miunoo akae kando, Siasa awaachie magabachori
Hivi nani anayeruhusiwa kuzini? Unaongea kama kuna watu maalum kwa issue hiyo
 
Back
Top Bottom