Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na yule mkewe pamoja umati wote ule...akasema zile picha si mchungaji gwajima' AibuuuAaache unafiki, anajifanya kusafisha kauli aloisema mwanzoni kua yy ni zaidi ya mbunge.....ila anyway Kwani mbona alikata mauno juu ya kondoo wakati Biblia imekataza Uzinzi?? Gwaji miunoo akae kando, Siasa awaachie magabachori
Gwajima oyeeeYAANI HUYU JAMAA KAMA AMEWALOGA VILE WAUMINI WAKE.. .
ANAWAPELEKA VYOVYOTE ANAVYOTAKA.. . .
ANAGEUZA GEUZA KAMA CHAPATI.. .
Anakosea sana huyu baba AskofuAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Aache utapeli, naona sasa anapeleka siasa kanisani na waumini wake watakuwa wanamshangilia kama kawaida yao.
Mbona wale wakina Petro, Paulo, Mathayo, Luka na wengine wao hawakujigeuza Wanasiasa?
Utawala wa Mungu wa kweli sio wa dunia hii, utawala wake ni wa mbinguni, hii dunia inamtawala wake mwingine tofauti, ndio maana Yesu alipowachukua wale wanafunzi wake aliwaambia wayaache yote ya ulimwengu wamfuate yeye.
Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Huyo Baunsa Mandingo asituzengue alishasema hawezi kugombea ubunge maana mtumishi ni zaidi ya ubunge hivyo ni kujishusha.Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Hakika Ni sawa kabisaa # Dunia Imepufushaa Akili za watumishi wa Mungu kuwa hurusiwi Kuchukua nafasi za kiserikali # Gwajima keep GoingAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Hapa lazima uwe Mtu mzima KWENYE Mambo ya Mungu ndo Utamuelewa Gwajima # lakini wachanga wote Hawatamuelewaaa #Askofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
HapaAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Hakika GWAJIMA Yuko Vizuriii na MunguAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Usijifananishe na Mungu mkuu Mungu atakuadhibuAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Wajinga siku zote ndio waliwao kuna wapumbavu wengi sana wanadanganywa miaka yoteYAANI HUYU JAMAA KAMA AMEWALOGA VILE WAUMINI WAKE.. .
ANAWAPELEKA VYOVYOTE ANAVYOTAKA.. . .
ANAGEUZA GEUZA KAMA CHAPATI.. .
huyu akipitishwa anapigwa saaa 4 hasubui na akitoka huko ana kuta kanisani kwake hata mumin mmoja hayupo,anafikili bado mahalufu? umaalufu wake ulisha isha kitamboAskofu Gwajima amesema Mungu anayemtumikia alijitambulisha kwa majina tofauti tofauti kulingana na nyakati na jukumu husika.
Alijiita Jehova, Niko ambaye Niko, Mungu Mwenyezi, Bwana wa Majeshi nk.
Hivyo mtumishi wa Mungu unaweza kufanya kazi yoyote ilimradi tu kazi hiyo siyo katazo la kibiblia.
Askofu Gwajima ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika jimbo la Kawe Wilayani Kinondoni.
Maendeleo hayana Vyama!
Aache utapeli, naona sasa anapeleka siasa kanisani na waumini wake watakuwa wanamshangilia kama kawaida yao.
Haahaa, muda utasema.Gwajima ni mbunge tayari,bado kuapishwa tu.