#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Basi tumpongeze kwa kupambania mali za ndugu yake ambazo zilitaka kuporwa na wazambia.
 
Mimo sitakegi ujinga. Mapema sana naenda kuchanjwa. Wanaofikiria kuendelea kumwamini Magufuri waendelee. Kwa kweli ujinga ni tatizo kubwa sana.
 
Mjinga anaelimishwa na sio kutishwa, ilikuwa inasemwa kwamba akifa Magufuli ndio wataelewa haya Magu kafa ila bado hao watu wapo. Tuelimishane tusitishane wala kutumia hisia mfano kusema subiri mpaka ufiwe ndio utajua corona ipo.

wajinga wengi mno kuelewa vitu kama hivi..kila kitu wanachoambiwa na mzungu kwao sawa.
 
Kuna jamaa mmoja amewahi kunisimulia kisa cha Askofu Gwajima na kaka yake jamaa. Alisema Gwajima aliletwa na kaka ake hapa mjini wakiwa watatu, kisha kasema kaka yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, akimiliki hotels na biashara asizozijua. Akasema kaka yake huyo hakutaka kabisa kuwashirikisha ndugu zake kwenye biashara yake ili na wao wajikwamue kiuchumi.

Akazidi kusimulia kuwa wakati kaka ake akiumwa, alirudi hapa na kuuguziwa Tanzania na Askofu Gwajima mpaka mauti ilipomkuta. mali alizoziacha kaka yake ni pamoja na Gari mpya aina ya Hummer ambayo anadai ndio iliyobeba mwili wa marehemu kaka yake kuupeleka mazikoni Koromije. Anadai ASKOFU amepiga mali nyingi za kaka yake ikiwa ni pamoja na lile li Hummer.

Anasema kaka yake aliacha mtoto wa kiume ambapo Askofu Gwajima, mbele ya familia aliomba kumlea yule mtoto ambacho jamaa anadai Askofu alikuwa anahalalisha mipango yako kupitia ulezi huo.

Mwisho wa siku ni kuwa, mmoja wa marafiki wa kaka yao ndio alimtobolea siri hiyo kuwa kaka yao ana mali nyingi ambazo wao hawazijui na kuna mtu ana-plan kuzipiga. Jamaa anadai alifika mpaka Zambia kufatilia, akafikishwa mpaka kwenye moja ya Hotel alizomiliki kaka yake. Huko ndipo alipoenda kutobolewa Siri kaka yake ni mmoja wa genge la wauza unga (Dawa za kulevya) Zambia chini ya Mwiya Bale Malumo.

Mwaka 2015 Gwajima alikuwa anahaha kwenye uchaguzi sababu alikuwa hamjui yoyote kwenye system baaada ya kutoswa kwa Lowassa CCM.

Ndipo alipo asisi Nsumba Ntale (Sukuma Gang). Na Magufuli alimpokea Gwajima kutoka kwa Marehemu Mfugale wa Tanroad ambaye alikuwa rafiki Na Gwajima kipindi kile.
Tueleze unataka kutueleza nini maana mpaka unamalizia urafiki wa Gwajima na Mfugali kwenda kwa Magufuli umecheza nje ya key sana!!
 
Hayo sasa ni mawazo yako!! Wewe kachome sindano na familia yako, sisi wengine tunaendelea kudunda ndani ya Yesu!! Wala hatufikiri hayo machanjo yenu wala mabarakoa yenu hayo
Kwahiyo Sasa hapa umetumia akili kushindwa kujibu na kutetea hoja na umeamua kutumia akili kumsingizia yesu kuwa yeye ndiye atakayekusaidia kutumia akili zake kwa wewe uliyeshindwa kutumia zako. Huoni kuwa wewe ni mzigo tu usiyobebeka mbele ya yesu Kama umepewa kichwa.macho na masikio
 
Una kiwango gani cha elimu
Sio kwamba sikuona comment yako huko nyuma kuhusu mchango wangu na elimu yangu, nilikupuuza cause your IQ is so revealing. Anyways sababu unarudia kuuliza uliza na kufuatilia comments zangu let me tell you this...huwa sihangaiki kujibu watu wajinga...you have been told una hiari ya kuchanja...nenda ka chanje wewe, mkeo, watoto na ukoo wako hamna anaekuzuia...as the rest of us we'll keep watching and learning from stupid people like you.
 
Sio kwamba sikuona comment yako huko nyuma kuhusu mchango wangu na elimu yangu, nilikupuuza cause your IQ is so revealing. Anyways sababu unarudia kuuliza uliza na kufuatilia comments zangu let me tell you this...huwa sihangaiki kujibu watu wajinga...you have been told una hiari ya kuchanja...nenda ka chanje wewe, mkeo, watoto na ukoo wako hamna anaekuzuia...as the rest of us we'll keep watching and learning from stupid people like you.
Mbona una panic?.
 
Kuna kuongea na facts, na kuongea na mihemko...kila unachorudia kuuliza nimeshakijibu mwenye post yangu uliyoiquote na kusema tu "toa ujinga wako" kama nilichoandika ni "ujinga" basi wewe majibu yako yana "ujinga" wakipekee ni "ujinga" uliokithiri na usio na kikomo !
Ww ni pungu kweli kuamini upuuzi huo uliouleta kana kwamba unefanya chemical analysis mwenyewe 🤔! Sina haja ya kuendelea kujadiri na ww! Pungu1!
 
wajinga wengi mno kuelewa vitu kama hivi..kila kitu wanachoambiwa na mzungu kwao sawa.
Ndio hivyo mkuu yani kuna watu wao wameamua kusikiliza yale tu yanayosemwa kwa watu waliyowachagua kuwasikiliza na ndio huona ujanja kinyume na hivyo wanaona ujinga.
 
Hebu nendeni mkachanje kwA amani,uzima wenu nyie baada ya kuchanjwa ndio utawapa watu imani ya kuchanjwa, fanyeni kama Kigwangalla..

Tatizo si kwenda au kutokwenda kuchanjwa. Tatizo ni kupotosha wengine ambao wangaliweza kupewa maelekezo sahihi.

Mwenye dhamana na maisha ya watu ni serikali inayowajibika, si gwajima.
 
Tatizo si kwenda au kutokwenda kuchanjwa. Tatizo ni kupotosha wengine ambao wangaliweza kupewa maelekezo sahihi.

Mwenye dhamana na maisha ya watu ni serikali inayowajibika, si gwajima.
Ndugu, mwenye dhamana ya maisha yako ni wewe mwenyewe si serikali.
 
Mm kwenye swala la chanjo, namwamini, serikali wanatudanganya kwa hili, huyohuyo waziri wa afya gwajima alikuepo kipindi cha mwendazake na alituhimiza kutokuchanjwa leo ndo anahamasisha baada ya mwendazake kufariki, hawana msimamo ni unafiki tu!!
Viongozi wa Tz ni WANAFIKI kuanzia kijijini mpaka ofisi kuu
 
Mama keshazidiwa nguvu na hana ujanza ila kujisalimisha kwa sukuma gang aweze walau kutoboa 2025 ambapo kimsingi wana uhakika wa kuweka mtu wao kugombea urais miongoni mwa wale waliotaka kupindua katiba mama asiapishwe kuwa rais.
Kwa upande wa gwajima kama ni propaganda za kisiasa hapo naweza kusema yuko sawa ila kama ni suala la imani katika Mungu, huyu ni bonge la tapeli Na wale wanaomwamini ndio misukule yake.
Maana kila anapowadanganya hawana tena uwezo wa kupambanua .
Aliwadanganya kwamba korona haitaingia nchini ikaingia na imeua maelfu.
Alidanganya juu ya ile video yake ya ngono ambayo ndio chanzo cha yeye kuwa mateka wa ccm na ubunge wa wizi bado wanamwamini.
Alidanganya kuhusu kufufua wafu wakati uwezo huo hana na ni yeye mzika waumini wake kwenye ibaada ya mazishi yao.
Ana mengi tu ya kitapeli kuanzia la Kumtuhumu pengo na baada ya kutumbukia kwenye mtego wa ile video alienda kuungama kwa pengo akatubishwa.
Sasa hivi ana madai ya kutumwa na Mungu yule yule ambae amemwambia kuwa korona haitafika Tanzani ila ishafika na taarifa za kitibabu zinaonyesha wamekufa wengi. kuwa yeye ni mvushaji atakae wavusha watanzania kwenye janga la korona.
Ipi sasa? Kwamba ipo nchini?
Atubu na kuungama kwamba pale mwanzo Mungu hakumtuna na ilikuwa hila ya kiulaghai.
Lakini tanzania hi hii ndiyo ya watu walio unga foleni kwenda kwa babu kupata kikombe hata baadhi yao kufia kwenye foleni kwa msongamano wakisubiria. Ndio hii jamii ya kishirikina inayowekeza kwenye uchawi kama huu wa babu wa Loliondo na kina Gwajima dhidi ya sayansi.
Ingelikuwa enzi za agano la kale la kupima kauli ya mtumishi kwa urimu na thumimu iliyokuwa katika naivera ya Haruni kina Gwajima na babu walipaswa kifo cha kupigwa mawe hadi wafe.
 
Sayansi inapoingizwa SIASA huwa ni MAJANGA......

Mh.Mbowe alitahadharisha VYEMA TU halafu anatokea ndg.yetu askofu Gwajima anaongea mambo ya "kushangaza mno".....hayaishii tu kushangaza bali KUSIKITISHA MNO.....

Gwajima ameendelea kushangaza UMMA.....

ILA....

Mwisho wa siku DHAMANA YA TAIFA...TAIFA...TAIFA....iko katika DOLA na haipo kwa waheshimiwa viongozi wetu wa DINI......

Ni imani yetu kuwa SERIKALI yetu adhimu chini ya mh.Rais SSH itayachukua mawazo chanya na mema kutoka kila UPANDE ili kuendelea kulilinda TAIFA dhidi ya UGONJWA HUU....

#NchiKwanza
#KaziIendelee

Awamu ya tano ilifanya makosa makubwa kuingiza siasa kwenye ugonjwa huu:


Kwa hakika tathmini hii haikuwa mbali na ukweli:

IMG_20210711_205649_038.jpg


Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni

Mbowe ni mwuungwana sana kwani pamoja na kujua ujinga wa watu bado alipendekeza chanjo kuwa lazima kwa ajili ya uhai wao. Hii ikiwa bila kujali maslahi yake yoyote kisiasa. Angeweza hata kunyamaza tu:

IMG_20210720_094159_438.jpg


Kwenye nchi zilizodhamiria kuyalinda maisha ya watu wao hata Uganda na Rwanda tu, Askofu Rashid bakora zilikuwa zinamhusu sana!
 
Back
Top Bottom