Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Basi tumpongeze kwa kupambania mali za ndugu yake ambazo zilitaka kuporwa na wazambia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga anaelimishwa na sio kutishwa, ilikuwa inasemwa kwamba akifa Magufuli ndio wataelewa haya Magu kafa ila bado hao watu wapo. Tuelimishane tusitishane wala kutumia hisia mfano kusema subiri mpaka ufiwe ndio utajua corona ipo.
Tueleze unataka kutueleza nini maana mpaka unamalizia urafiki wa Gwajima na Mfugali kwenda kwa Magufuli umecheza nje ya key sana!!Kuna jamaa mmoja amewahi kunisimulia kisa cha Askofu Gwajima na kaka yake jamaa. Alisema Gwajima aliletwa na kaka ake hapa mjini wakiwa watatu, kisha kasema kaka yake alikuwa mfanyabiashara mkubwa tu nchini Zambia, akimiliki hotels na biashara asizozijua. Akasema kaka yake huyo hakutaka kabisa kuwashirikisha ndugu zake kwenye biashara yake ili na wao wajikwamue kiuchumi.
Akazidi kusimulia kuwa wakati kaka ake akiumwa, alirudi hapa na kuuguziwa Tanzania na Askofu Gwajima mpaka mauti ilipomkuta. mali alizoziacha kaka yake ni pamoja na Gari mpya aina ya Hummer ambayo anadai ndio iliyobeba mwili wa marehemu kaka yake kuupeleka mazikoni Koromije. Anadai ASKOFU amepiga mali nyingi za kaka yake ikiwa ni pamoja na lile li Hummer.
Anasema kaka yake aliacha mtoto wa kiume ambapo Askofu Gwajima, mbele ya familia aliomba kumlea yule mtoto ambacho jamaa anadai Askofu alikuwa anahalalisha mipango yako kupitia ulezi huo.
Mwisho wa siku ni kuwa, mmoja wa marafiki wa kaka yao ndio alimtobolea siri hiyo kuwa kaka yao ana mali nyingi ambazo wao hawazijui na kuna mtu ana-plan kuzipiga. Jamaa anadai alifika mpaka Zambia kufatilia, akafikishwa mpaka kwenye moja ya Hotel alizomiliki kaka yake. Huko ndipo alipoenda kutobolewa Siri kaka yake ni mmoja wa genge la wauza unga (Dawa za kulevya) Zambia chini ya Mwiya Bale Malumo.
Mwaka 2015 Gwajima alikuwa anahaha kwenye uchaguzi sababu alikuwa hamjui yoyote kwenye system baaada ya kutoswa kwa Lowassa CCM.
Ndipo alipo asisi Nsumba Ntale (Sukuma Gang). Na Magufuli alimpokea Gwajima kutoka kwa Marehemu Mfugale wa Tanroad ambaye alikuwa rafiki Na Gwajima kipindi kile.
Kwahiyo Sasa hapa umetumia akili kushindwa kujibu na kutetea hoja na umeamua kutumia akili kumsingizia yesu kuwa yeye ndiye atakayekusaidia kutumia akili zake kwa wewe uliyeshindwa kutumia zako. Huoni kuwa wewe ni mzigo tu usiyobebeka mbele ya yesu Kama umepewa kichwa.macho na masikioHayo sasa ni mawazo yako!! Wewe kachome sindano na familia yako, sisi wengine tunaendelea kudunda ndani ya Yesu!! Wala hatufikiri hayo machanjo yenu wala mabarakoa yenu hayo
Una kiwango gani cha elimuwajinga wengi mno kuelewa vitu kama hivi..kila kitu wanachoambiwa na mzungu kwao sawa.
Sio kwamba sikuona comment yako huko nyuma kuhusu mchango wangu na elimu yangu, nilikupuuza cause your IQ is so revealing. Anyways sababu unarudia kuuliza uliza na kufuatilia comments zangu let me tell you this...huwa sihangaiki kujibu watu wajinga...you have been told una hiari ya kuchanja...nenda ka chanje wewe, mkeo, watoto na ukoo wako hamna anaekuzuia...as the rest of us we'll keep watching and learning from stupid people like you.Una kiwango gani cha elimu
Mbona una panic?.Sio kwamba sikuona comment yako huko nyuma kuhusu mchango wangu na elimu yangu, nilikupuuza cause your IQ is so revealing. Anyways sababu unarudia kuuliza uliza na kufuatilia comments zangu let me tell you this...huwa sihangaiki kujibu watu wajinga...you have been told una hiari ya kuchanja...nenda ka chanje wewe, mkeo, watoto na ukoo wako hamna anaekuzuia...as the rest of us we'll keep watching and learning from stupid people like you.
Nimekuelewa bwashee!Hakuna kuchanjwa na hatuitaji hiyo chanjo huyo aliyeikubali achanjwe yeye.
Baba Askofu Gwajima upo sahihi kabisa na sisi tunakusaport mzee Baba
Ww ni pungu kweli kuamini upuuzi huo uliouleta kana kwamba unefanya chemical analysis mwenyewe 🤔! Sina haja ya kuendelea kujadiri na ww! Pungu1!Kuna kuongea na facts, na kuongea na mihemko...kila unachorudia kuuliza nimeshakijibu mwenye post yangu uliyoiquote na kusema tu "toa ujinga wako" kama nilichoandika ni "ujinga" basi wewe majibu yako yana "ujinga" wakipekee ni "ujinga" uliokithiri na usio na kikomo !
Mbowe amechanjia Dubai ile Astra zeneka original, natamani angetuletea na hapa Ufipa!Huyu jamaa ni mpumbavu sana ná Serikali inamuacha tu asambaze ujinga wake.
Mbunge wa Kawe!Huyo gwajima anaongea kama nani kwenye hii Nchi?
Ndio hivyo mkuu yani kuna watu wao wameamua kusikiliza yale tu yanayosemwa kwa watu waliyowachagua kuwasikiliza na ndio huona ujanja kinyume na hivyo wanaona ujinga.wajinga wengi mno kuelewa vitu kama hivi..kila kitu wanachoambiwa na mzungu kwao sawa.
Hebu nendeni mkachanje kwA amani,uzima wenu nyie baada ya kuchanjwa ndio utawapa watu imani ya kuchanjwa, fanyeni kama Kigwangalla..
Ndugu, mwenye dhamana ya maisha yako ni wewe mwenyewe si serikali.Tatizo si kwenda au kutokwenda kuchanjwa. Tatizo ni kupotosha wengine ambao wangaliweza kupewa maelekezo sahihi.
Mwenye dhamana na maisha ya watu ni serikali inayowajibika, si gwajima.
Viongozi wa Tz ni WANAFIKI kuanzia kijijini mpaka ofisi kuuMm kwenye swala la chanjo, namwamini, serikali wanatudanganya kwa hili, huyohuyo waziri wa afya gwajima alikuepo kipindi cha mwendazake na alituhimiza kutokuchanjwa leo ndo anahamasisha baada ya mwendazake kufariki, hawana msimamo ni unafiki tu!!
Sayansi inapoingizwa SIASA huwa ni MAJANGA......
Mh.Mbowe alitahadharisha VYEMA TU halafu anatokea ndg.yetu askofu Gwajima anaongea mambo ya "kushangaza mno".....hayaishii tu kushangaza bali KUSIKITISHA MNO.....
Gwajima ameendelea kushangaza UMMA.....
ILA....
Mwisho wa siku DHAMANA YA TAIFA...TAIFA...TAIFA....iko katika DOLA na haipo kwa waheshimiwa viongozi wetu wa DINI......
Ni imani yetu kuwa SERIKALI yetu adhimu chini ya mh.Rais SSH itayachukua mawazo chanya na mema kutoka kila UPANDE ili kuendelea kulilinda TAIFA dhidi ya UGONJWA HUU....
#NchiKwanza
#KaziIendelee