#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Unajina zuri lakini huna akili Cannabis sativa haijakusaidia?
 
Gwajima ni mpumbavu tu na wanayemuunga mkononi wapuuzi vilevile.Hoja ni chanjo au chanjo ya
mmarekani? kama hoja ni chanjo ya
mmarekani kwanini iwe ya corona pekeyake na si chanjo zingine ambazo watoaji ni wale wale.Chanjo za watoto
chini ya miaka 5 zinatolewa na hao hao bure ,kwanini nazo tusizikate, maana kama lengo ni kutuuua
watatumia hata
hizo za watoto za surua,ndu,kifua kikuu,tetekuwanga,polio ,pepopunda(tetenus) za wajawazito.Hakuna
dawa hospitalini zilizotengenezwa na waafrica,zote zinatoka kwa hao hao.Dawa za Ukimwi,kifua kikuu,
Presha ,kisukali,madawa ya operation,Cancer kwa Ujumla dawa zote zinatoka kwa hao watu weupe,
hivyo awaambie sereikali wapige marufuku dawa zote za wazungu zisitumike nchini,vinginevyo kama nia ni
kutuuua watatumia haya madawa na chanjo kutekeleza azma yao.
Kama issue ni mmarekani tuagize chanjo ya Urusi au China au Cuba au Iran maana naye nasikia anatengeneza yake.
Ni Mpumbavu pekee anayetaka Tanzania ijitenge na dunia kwenye chanjo wakati hatuna uwezo wa kutengeneza kidonge
.Mtu yeyote humu ataje kidonge kilichowahi kutengenezwa Tanzania na kutumika humu nchini.Ni wendawazimu kudhani nchi ambazo haina urafiki wowote kama Marekani na Urusi au na China au na Cuba au na Irani eti ziungane kwenye suala la chanjo ili kuwaua Watanzania
Huyu bwege Gwajima anachanganya tu habari mara analeta mambo ya dini eti chapa 666 sijui chanjo ni
mpinga kristo , kama ni hivyo basi tulishapigwa chapa ya ndui
mara bado ipo kwenye majaribio,mara zimetengenezwa kwa muda mfupi,anajaribu kulinganisha
chanjo zilizotengenezwa miaka ya 1950s wakati teknoloji ikiwa duni
na miaka hii ambapo dunia ipo mbali kiteknolojia .Anataka kutuambia hizo nchi ambazo zimetengeneza chanjo
ambazo ambazo kwanza zina sera na mitazamo tofauti, zote zina lengo la kuwaua watanzania?Kwa kipi kilichopoTanzania hadi wapange njama za kuua watanzania? na kwa faida ipi kwao?
Bongo kweli vilaza wanazidi kuongezeka
 
Mwenzenu nilishagamfuta kwenye oroza ya viongozi wa dini namfananisha au namuona sawa na Bashilu au chakubanga tu zuzu kama mazuzu mengine ya ccm
 
Dini na Sayance ni kitu kimoja zote ni mind control tools.
Serikali ni Babylon system, hazipo kwa ajili ya kumpa uhuru binadamu, hivyo basi serikali na vyombo vyake vyote sio salama pamoja na hizo shule wewe unaziona njema.
Angalia tena tafsiri ya neno Government, afu uje ubishane nami
 
Bila shaka Samia atakuwa timu ya kikwete.mzee bora samia kuliko magufuli yule mzee hapana aiseeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Reactions: BAK
Wewe ni mtu wa ajabu sana, Mimi nataka taifa lenye vichwa kama vya kina Gwajima, wanaojua kuhoji na kuzisumbua wizara husika ili kuja na majibu yanayoridhisha

Mf, Serikali yako wewe haina uhakika na chanjo hadi imeweka kipengele cha mtu yeyote akipata madhara kutokana na chanjo, hapaswi kuomba fidia wala kuilalamikia serikali,

Pili, hata hiyo chanjo, bado inautata mkubwa, Serikali ya Marekani, inaziiga matufuku cganjo zibazotegenezwa na kampuni ya J&J na pia bado kuna wale waliochanja wanaambukizwa tena

Wewe unataka tuwe na taifa lenye watu wakiambiwa kulia geuka mnageuka bila kuuliza kwa nini isiwe kulia isiwe kushoto?

Wewe ni miongoni mwa Watanzania wajinga wajinga msio elewa ni kwa nini umesoma na kwa nini upo ktk dunia ya leo yenye changamoto kana hizi

Kaa kimya, waachie kina Gwajima
 
Mkuu mimi nimeshakata tamaa ná huyo mama. Asipofanya mabadiliko ya nguvu ya Baraza la Mawaziri kuwatema Majaliwa, Mwigulu, Gwajima, Ndugulile, Ummy na labda wachache wengine wa timu mwendazake basi dharau yao kwake itakuwa kubwa sana.
Bila shaka Samia atakuwa timu ya kikwete.mzee bora samia kuliko magufuli yule mzee hapana aiseeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha zako fanya mambo yako. Kwani wewe ndiye uliyempa huo ubunge. Kama alipewa ubunge na mtu mwingine mwache afanye anavyotaka yeye.
Punguza jazba , leo GWAJIMA ,anaponda chanjo KWA hoja nyepesi Sana kana vile wazungu hawatupendi , hivi GWAJIMA si anawatoto, na je hawakuwai kuchanjwa chanjo , ukiachana na Yeye mwenyewe kwamba Hana kovu la BCG kwenye bega lake la kulia,? Na Kama ndivyo izo chanjo zilitengenezwa na nani? Leo ndo anaona chanjo Zina madhala


GWAJIMA ANASEMA madactari wanao shabikia chanjo ya Cov 19 watakufa, hakuna Mungu wa ivyo, naungana na mtoa mada, GWAJIMA ni MNAFIKI, leo anajiona ni mtakatifu mbele za bwana, wakati ubunge kapata KWA njia ya dhuluma, Mungu wake ni yupi anaependa dhuluma?

Kama ni mtumishi wa Mungu Alie hai ,ajiuzuru ubunge,na akatubu


Watz fulsa ya chanjo Kama ipo tukachanje, GWAJIMA na waumini wake hawalazimishwi , ila asipotoshe watanzania,
 
Mleta hoja sijaona hoja yako inalenga nini uko kwenye hoja ya ubunge kaupataje au uko kwenye hoja ya chanjo. Ubunge kachaguliwa na wananchi wa kawe. Kuhusu chanjo mpaka sasa haieleweki kuwa ni salama. Maana Kuna vitu vingi nyuma ya chanjo. Na wanaotetea chanjo wake na hoja kabambe kutetea hiyo chanjo siyo tu kusema tuchanje bila kuelimisha watu uzuri au Ubaya wa hiyo chanjo

 
We mama hebu tulia,Mtu anakua machafu akitoka kwenu(gwajima,silinde,badae,waitara n.k)na anakua msafi akiingia kwenu(Lowasa,Sumaye,NYALANDU,masha).
Mnapenda siasa sana badala ya uhalisia,sisi wananchi tungekua na uwezo Tungewafanya kitu mbaya sana nyinyi na ndugu zenu CCM na ACT ni wahuni nyote nyinyi.

Sa hivi wananchi tunaumizwa na hakuna Kati yenu anayeweza kutusemea Zaid ya kutugeuza fursa na kujipatia mtaji wa kisiasa kupitia misaada ya NGOS TOKA nje
 
Tatizo kubwa liko kwa waumini/ wafuasi wake. Haya madhehebu ya KIPENTEKOSTE yanawa indoctrinate watu wanakuwa kama MATEJA wa unga.

Na siku zote huwapata watu ambao wako FRUSTRATED au wamekata tamaa ya maisha. Wengi wao ni wanawake ambao aidha wanatafuta waume wa kuwaoa, wajane waliodhulumiwa, wenye maradhi yasiyopona nk.

Lakini yote anayohubiri anacheza tu na saikolojia zao
 
Wewe ni mtu wa ajabu sana, Mimi nataka taifa lenye vichwa kama vya kina Gwajima, wanaojua kuhoji na kuzisumbua wizara husika ili kuja na majibu yanayoridhisha

Mf, Serikali yako wewe haina uhakika na chanjo hadi imeweka kipengele cha mtu yeyote akipata madhara kutokana na chanjo, hapaswi kuomba fidia wala kuilalamikia serikali,

Pili, hata hiyo chanjo, bado inautata mkubwa, Serikali ya Marekani, inazipiga marufuku chanjo zinazotegenezwa na kampuni ya J&J na pia, kuna watu ambao wamechanjwa na bado wameambukizwa, halafu unambeza anayeutafuta ukweli

Elimu yako haikusaidii wewe na kwa taifa, maana yake wewe ni mtu hasara juu ya kizazi hiki

Wenzako wanahoji kutaka kupata majibu sahihi, halafu wewe mtu bubu ukiambia kulia geuka unageuka tu na usihoji kwa nini ni kulia tu na sio kushoto?

Acha ujinga wewe
 
Wazungu huwa wana plan A,B,C... kunakitu kinaitwa change plan btn the Game, na ndicho kinachofanyika.. stay tuned..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…