Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajina zuri lakini huna akili Cannabis sativa haijakusaidia?Kuna chanjo inayotoa "sterilizing immunity" hiyo inazuia kabisa mwili kupata maambukizi ya ugonjwa, ni chanjo chache sana zenye uwezo huo hata kwa magonjwa tuliyoyazoea kama kifua kikuu ndio maana hata watu waliopata chanjo zamani ya kifua kikuu wanaweza kupata maambukizi mapya , kuumwa na kuambukiza wengine.
Chanjo yoyote ikiwemo hata hii ya corona inategemea na mwili wa mtu, wapo ambao itawalinda kabisa wasipate maambukizi, wapo ambao watapata maambukizi lakini hautokuwa ugonjwa mkali unaohitaji mtu apelekwe hospitali, unakuwa tu kama mafua ya kawaida tu, ama uchovu (chanjo zilizopitishwa na WHO zinafanya hili kwa ufanisi mkubwa) hivyo dhumuni la chanjo ni kuongeza kinga ya mwili kuuwezesha upambane na hivyo virusi huku kukiwa na uhakika wa asilimia kubwa (kama sio 100%) kwamba mtu hatofariki kutokana na maambukizi hayo.
Tatizo la kutokufuata miongozo ya wataalamu kwa ugonjwa kama COVID-19 baada ya kupata chanjo ni kwamba unaweza ukapata virusi wala usijue wakati mwili wako unapambana kwa ufanisi wa juu lakini ukawa unaambukiza wale ambao bado hawajapata chanjo. Pale ambapo asilimia kubwa ya wananchi hasa wale waliopo kwenye makundi hatarishi wakiwa wamepatiwa chanjo ni rahisi kuachana na hayo masharti ya kujilinda na corona.
Dini na Sayance ni kitu kimoja zote ni mind control tools.Maandiko ya kisayansi yapo yanayoelezea jinsi chanjo inavyofanya kazi na composition yake na hata majaribio yaliyofanyika kuweza kujiridhisha ufanisi wake....serikali kupitia vyombo vyake husika ndio ina uwezo wa kuhakiki kilichomo...wewe unafahamu chemical composition ya coca cola ?
Unafahamu hasa kiasi cha electromagnetic waves zinazotoka kwenye simu yako kama ni salama ?
Serikali ndio inayofanya kazi ya kujua kipi ni salama kwa wananchi wake, kama serikali na vyombo husika vikisema kitu ni salama, serikali za nchi nyingine zikasema ni salama, taasisi nyingine za kimataifa zikasema ni salama then who are you kupinga bila evidence ? Kama ukisema kisitumike basi weka ushahidi katika mfumo wa andiko la kisayansi ambapo wanasayansi wengine watajifunza kutoka kwako ama kukukosoa.
Unasema sorry! Hayo majinga ni kuyapa shit tu moja kwa mojaUnauliza swali shallow sana hata mtoto mwenye akili aliye darasa la tano hawezi kuuliza hivi. Sorry
Bila shaka Samia atakuwa timu ya kikwete.mzee bora samia kuliko magufuli yule mzee hapana aiseeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Samia naye ndiye wale wale. Karibu wiki sasa hajasikika sijui naye COVID-19 imeshamsarandia? Alifanya kosa kubwa kuwaacha Mawaziri wote wa dhalimu mwendazake. Sasa dharau zao kwake nje nje. Akiona yamenshinda abwage manyanga. Kwani hii vuta nikuvute ya timu Kikwete na timu mwendazake siyo kabisa.
Wewe ni mtu wa ajabu sana, Mimi nataka taifa lenye vichwa kama vya kina Gwajima, wanaojua kuhoji na kuzisumbua wizara husika ili kuja na majibu yanayoridhishaNjia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki
Amekywepo kwenye utawala wa awamu iliyopita ambapo tulishuhudia na kusikia watu wakipoteza uhai na kutekwa na watu wasiojulikana, tulishudia risasi adharani lakini hakuna siku amewahi kutoka adharani kukemea uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi
Alikuwepo BUNGENI juzi wakati tozo kandamizi zinapitishwa hakuna siku tulimsikia akipinga na kura alipiga ya ndiyo. Hata hao waoumini wake hajawahi kuwaonea huruma, mshahara wake alipi Kodi na hatumsikii akikemea.
Leo anaibuka anaanza kumjadili JPM kwamba wakati wake hakuna aliyeleta chanjo. Je wakati wa JPM wakati watu wanabambikiwa kesi yeye hakuwepo? Alitusemea? Wakati watu wanakufa kwa corona alisema? Wakati tunaficha data alisema? Leo ametoa wapi ujasiri wakutumia nyumba za ibada kutaka kujifanya yeye ni daktari?
Tunaporuhusu watu wa aina ya Gwajima waongoze jamii ndipo tunapozalisha mawazo mgando. Yeye anaamini JPM alikuwa Mungu na kwamba maarifa ya JPM lazima yaheshimiwe hata Kama yalikuwa hayafai, kwamba Leo badala atueleze Mungu anasemaje anatulazimisha tufuate nyayo za binadamu ambaye ana mapungufu mengi ya wazi. Hii dini gani yakuelekeza watu wamwabudu mtu?
Leo ndipo amekuwa na msimamo, mbona huo msimamo upo kwa mambo ya mwendazake haupo kwa wengine?
Huyu mtu apuuzwe, siyo kiingozi wa dini Bali ni Kiongozi wa walafi wa madaraka. Kwenye siasa anataka, kwenye dini anataka na kwenye ushirikina anataka. Yeye Nani wakuombea watu wafe kisa awakubaliani naye? Unasiamama madhabauni unabiri kuua watu unadhani waumini wako wanajitunza Nini? Kwamba wanaokwenda kinyume na mtizamo wako na JPM wafe? Nani kakwambia ninyi ni miungu? Kwamba wewe utokufa?
Nadhani huyu mtu kwa kuwa tu Ni mwana ccm anayo haki yakutumia kanisa anavyojisikia yeye Tena kwa mambo ya hovyo kinyume kabisa na imani yake. Ila ipo siku ataadhibiwa
Acha zako fanya mambo yako. Kwani wewe ndiye uliyempa huo ubunge. Kama alipewa ubunge na mtu mwingine mwache afanye anavyotaka yeye.
Bila shaka Samia atakuwa timu ya kikwete.mzee bora samia kuliko magufuli yule mzee hapana aiseeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilivo msikiliza nadhani na yeye ni mjingaGwajima anajuwa kucheza na akili za wajinga sana.
Punguza jazba , leo GWAJIMA ,anaponda chanjo KWA hoja nyepesi Sana kana vile wazungu hawatupendi , hivi GWAJIMA si anawatoto, na je hawakuwai kuchanjwa chanjo , ukiachana na Yeye mwenyewe kwamba Hana kovu la BCG kwenye bega lake la kulia,? Na Kama ndivyo izo chanjo zilitengenezwa na nani? Leo ndo anaona chanjo Zina madhalaAcha zako fanya mambo yako. Kwani wewe ndiye uliyempa huo ubunge. Kama alipewa ubunge na mtu mwingine mwache afanye anavyotaka yeye.
Mleta hoja sijaona hoja yako inalenga nini uko kwenye hoja ya ubunge kaupataje au uko kwenye hoja ya chanjo. Ubunge kachaguliwa na wananchi wa kawe. Kuhusu chanjo mpaka sasa haieleweki kuwa ni salama. Maana Kuna vitu vingi nyuma ya chanjo. Na wanaotetea chanjo wake na hoja kabambe kutetea hiyo chanjo siyo tu kusema tuchanje bila kuelimisha watu uzuri au Ubaya wa hiyo chanjoNjia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki
Amekywepo kwenye utawala wa awamu iliyopita ambapo tulishuhudia na kusikia watu wakipoteza uhai na kutekwa na watu wasiojulikana, tulishudia risasi adharani lakini hakuna siku amewahi kutoka adharani kukemea uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi
Alikuwepo BUNGENI juzi wakati tozo kandamizi zinapitishwa hakuna siku tulimsikia akipinga na kura alipiga ya ndiyo. Hata hao waoumini wake hajawahi kuwaonea huruma, mshahara wake alipi Kodi na hatumsikii akikemea.
Leo anaibuka anaanza kumjadili JPM kwamba wakati wake hakuna aliyeleta chanjo. Je wakati wa JPM wakati watu wanabambikiwa kesi yeye hakuwepo? Alitusemea? Wakati watu wanakufa kwa corona alisema? Wakati tunaficha data alisema? Leo ametoa wapi ujasiri wakutumia nyumba za ibada kutaka kujifanya yeye ni daktari?
Tunaporuhusu watu wa aina ya Gwajima waongoze jamii ndipo tunapozalisha mawazo mgando. Yeye anaamini JPM alikuwa Mungu na kwamba maarifa ya JPM lazima yaheshimiwe hata Kama yalikuwa hayafai, kwamba Leo badala atueleze Mungu anasemaje anatulazimisha tufuate nyayo za binadamu ambaye ana mapungufu mengi ya wazi. Hii dini gani yakuelekeza watu wamwabudu mtu?
Leo ndipo amekuwa na msimamo, mbona huo msimamo upo kwa mambo ya mwendazake haupo kwa wengine?
Huyu mtu apuuzwe, siyo kiingozi wa dini Bali ni Kiongozi wa walafi wa madaraka. Kwenye siasa anataka, kwenye dini anataka na kwenye ushirikina anataka. Yeye Nani wakuombea watu wafe kisa awakubaliani naye? Unasiamama madhabauni unabiri kuua watu unadhani waumini wako wanajitunza Nini? Kwamba wanaokwenda kinyume na mtizamo wako na JPM wafe? Nani kakwambia ninyi ni miungu? Kwamba wewe utokufa?
Nadhani huyu mtu kwa kuwa tu Ni mwana ccm anayo haki yakutumia kanisa anavyojisikia yeye Tena kwa mambo ya hovyo kinyume kabisa na imani yake. Ila ipo siku ataadhibiwa
We mama hebu tulia,Mtu anakua machafu akitoka kwenu(gwajima,silinde,badae,waitara n.k)na anakua msafi akiingia kwenu(Lowasa,Sumaye,NYALANDU,masha).Njia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki
Amekywepo kwenye utawala wa awamu iliyopita ambapo tulishuhudia na kusikia watu wakipoteza uhai na kutekwa na watu wasiojulikana, tulishudia risasi adharani lakini hakuna siku amewahi kutoka adharani kukemea uvunjivu wa sheria na katiba ya nchi
Alikuwepo BUNGENI juzi wakati tozo kandamizi zinapitishwa hakuna siku tulimsikia akipinga na kura alipiga ya ndiyo. Hata hao waoumini wake hajawahi kuwaonea huruma, mshahara wake alipi Kodi na hatumsikii akikemea.
Leo anaibuka anaanza kumjadili JPM kwamba wakati wake hakuna aliyeleta chanjo. Je wakati wa JPM wakati watu wanabambikiwa kesi yeye hakuwepo? Alitusemea? Wakati watu wanakufa kwa corona alisema? Wakati tunaficha data alisema? Leo ametoa wapi ujasiri wakutumia nyumba za ibada kutaka kujifanya yeye ni daktari?
Tunaporuhusu watu wa aina ya Gwajima waongoze jamii ndipo tunapozalisha mawazo mgando. Yeye anaamini JPM alikuwa Mungu na kwamba maarifa ya JPM lazima yaheshimiwe hata Kama yalikuwa hayafai, kwamba Leo badala atueleze Mungu anasemaje anatulazimisha tufuate nyayo za binadamu ambaye ana mapungufu mengi ya wazi. Hii dini gani yakuelekeza watu wamwabudu mtu?
Leo ndipo amekuwa na msimamo, mbona huo msimamo upo kwa mambo ya mwendazake haupo kwa wengine?
Huyu mtu apuuzwe, siyo kiingozi wa dini Bali ni Kiongozi wa walafi wa madaraka. Kwenye siasa anataka, kwenye dini anataka na kwenye ushirikina anataka. Yeye Nani wakuombea watu wafe kisa awakubaliani naye? Unasiamama madhabauni unabiri kuua watu unadhani waumini wako wanajitunza Nini? Kwamba wanaokwenda kinyume na mtizamo wako na JPM wafe? Nani kakwambia ninyi ni miungu? Kwamba wewe utokufa?
Nadhani huyu mtu kwa kuwa tu Ni mwana ccm anayo haki yakutumia kanisa anavyojisikia yeye Tena kwa mambo ya hovyo kinyume kabisa na imani yake. Ila ipo siku ataadhibiwa
Tatizo kubwa liko kwa waumini/ wafuasi wake. Haya madhehebu ya KIPENTEKOSTE yanawa indoctrinate watu wanakuwa kama MATEJA wa unga.Njia zilizotumika kumpatia Ubunge anajua hazikuwa sahihi na haki haikutendeka lakini Leo hii hajawahi popote kuukataa ubunge wake Wala japo kuukubali lakini kutumia kanisa kukemea pale ambapo hakukuwa na haki

Wazungu huwa wana plan A,B,C... kunakitu kinaitwa change plan btn the Game, na ndicho kinachofanyika.. stay tuned..Akina kibwetere hawatakuja kuisha hapa Duniani!!! Gwajima pia anaweza kujaribiwa na Shetani,... kama Mtume wote kina Daudi, Petro, Paulo alijaribiwa na Ba yesu mchawi tena wazi wazi kwani yeye gwajima ni nani asijaribiwe??...
hata km Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli hawezi kuzidi utumishi wa mtume Paulo ... Jamani wa TZ kwa nini hamuelewi? mmeruhusiwa kuwajaribu hawa wachungaji wenu wano jiita watumishi!!
km haitoshi Yesu Mwana wa Mungu hasaa!! alijaribiwa na shetani tena mara kibao tu! eti '' ageuze mikate ale''!! Gwajima yeye nani asijaribiwe kwa hili ili kupoteza umati wa TZ?? eti awe sahihi tuuu! wkt woote?? mweee!! akome tena
ningekuwa Rais ningeanza nae ili aka ombewe vizuri hukohuko kizuizini akili imkae sawa!! KM kweli unamuabudu Mungu wa kweli Basi atakuwa wa wote tulioumbwa nae!! siyo yeye tu!! hata kipindi cha Yesu kulikuwa na Manabii wa uongo weeengi!!
Na ilitabiliwa zamani sana kuwa siku za Mwisho kutakuwa na Manabii wa uongo!! watafanya maajabu ''wajaribuni!!! yamkini watashusha Moto kutoka Mbinguni. hayo ya miujiza kuokoa misukule!! kweli utaokoa sana lkn sisi kamwe Gwajima haya tutishi!!! elewa hivo...
Mungu ni wa wote Gwajima anapaswa kujua hili si wa Gwajima peke yake!! kiasi kwamba tumsikilize yeye tuuu!! Tujisaidie kwa kumuweka Mungu wetu mbele! wkt tukichukua tahadhari !! sisi km taifa hatuta kaa kusubili mungu wa Gwajima atende!!
Mungu wa Sabato, Islam, Rc, Budha nk ndiyo Mungu wa Gwajima au... hata hao waumini wake ni kuwachapa viboko tu mpaka watie akili, huyo mungu wako anaruhusu Bendera ya sinagogi la shetani tena kwenye Mimbali ya kanisani kwako!! wengine wanaona si kweli!
Km kweli Wazungu wanataka tufe!! ,... mbona wao wanakufa sasa?? km haitoshi wana wa israel waliuawa huko Misri lkn bado wakawa wengi tu? Ukimwi tumeletewa Mbona tunakula bata sambamba kwa mtiti wa watu kuliko hata hao waletaji??
hata wakileta hiyo covid acha ije hatuogopi tutachukua tahadhari km kawaida lkn Mungu ana jambo na sisi!!! huwezi zuia kauli ya Mungu kwa kuweka tahadhari ambazo Mungu hakusema, Imani yako ndo itakuokoa siyo imani ya gwajima!!
alisema siku za mwisho yatakuja Magonjwa hatari yasiyo kuwa na Dawa!! sasa si ndo safi unabii unatimia? omba kwa bidii ukijua mwisho sas unatimia!!! kuyakwepa hayo ni kupinga unabii wa Mungu usitimie yawache yaje!! unabii utimie!!
Kuto chukua tahadhari Maksudi eti gwajima mtumishi amesema ni kumjaribu Mungu!! utakufa wewe gwajima kwanza! kmkibwetere alivo potea usicheze wewe...Unisikie!! najua unapita pita humu na walee wachungaji wako! watakwambia!
Atatuvusha salama tu km alivo vusha wana wa Israel! lkn siyo wewe gwajima utuvushe !! mtu km wewe pia unae weza rubuniwa na shetani huyo huyo! ili kupoteza umati!! haya yalimpata mtume paul pia!!! ebu tupe nafasi tuabudu kwa uhuru bana......