#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Wewe unaona kichekesho mwenzako yuko serious.
Sompigii kampeni na wala siko upande wa Gwajima.
I really don't love this person
Mwenzangu? Nani kakupa hayo mamlaka ya kuniamulia?

Wewe ndio upo serious kuliko hata huyo Gwajima mwenyewe,

Ila kwa akili ya kawaida tu hakuna ukweli wowote hapo bali wewe mdio umeamua tu kuanzisha thd inayomuhusu Gwajima coz now anatrend kwenye issue ya covid-19 vaccine.
 
Mods naomba msiunganishe hii thread naomba ibaki hapa hapa...tuanze sasa...

Nipo nadrive ila nimepaki kwanza pembeni niandike captions kidogo tu

Kwanza kabisa kuna mtu atauliza mbona tulichanjwa toka utotoni sasa kwanini tupinge hii Nikuelemishe kidogo tu
Umechanjwa chanjo utotoni sawa hata mm pia ...hivi unajua kwamba chanjo za covid za pfzer,modena na j&j zimetengenezwa tofauti na chanjo nyingine zitengenezwavyo hizo tatu zimetengenezwa na mrna technology ambayo inaingizwa kwenye cell,vinasaba dna pamoja na genetics ambavyo ni hatari ndo maana watu wanapinga......

Gwajima yupo sahihi kwa asilimia 100%

Gwajima kaongea fact tupu nakubaliana nae kabisa

Chanjo za MRNA kama pfzer,moderna na JJ hazifai ni hatari tupu

Chanjo zote ni emergency authorization na hazijathibitishwa

Zote zinahesabiwa kama majaribio tu na madhara ni juu yako wewe mtumiaji

Chanjo hizi za mrna ni uongo mwingi mnooo na hata uwezo wake wa kuzuia version mpya ya virus ni mdogo unazuia mno ile ya wimbi la mwanzo tu

Wanaokufa wamechoma mrna vaccine ni maelfu huko marekani lakini media za mabeberu hawatangazi japo kwa uchache mnooo

Gwajima kaongea fact kabisa hata hao wanaojimwambafy wamechoma na wamegeuka pro chanjo kama yule wa ndege za tanapa kukodi yule tunamjua anavyoweza kutumika kwa vipande vya fedha.....

Gwajima nakuunga mkono sikatai chanjo ila hizi za mrna hapana aisee bora hata zile za wachina na wacuba ila sio huo utupolo wa mrna vaccines wa kuchoma mkachome ila mjue mrna zinagusa mpaka cell, dna,aka vinasaba na genetics hapo ndo noma

Halaf hawatengenezi kwa njia kama zilivyo za surua,polio etc....wao wanatengeneza kwa liteknolojia la mrna ambalo halijawahi kutengeza chanjo yoyote ile hiyo kitu ni hatari mno nenda hata google mkasome....

Mwishoni big up gwajima........umejitahidi sana broo....umeukataa huu ushetani

Ngoja niendelee na safari....tukutane baadae
 
Hahahaaaaq nchi nzima wameshindwa kupangua hoja za gwaji zaidi ya matusi na kejeli
 
Nikuelemishe kidogo tu
Umechanjwa chanjo sawa...hivi unajua kwamba chanjo za covid za pfzer,modena na j&j zimetengenezwa tofauti na chanjo nyingine zitengenezwavyo hizo tatu zimetengenezwa na mrna technology ambayo inaingizwa kwenye cell,vinasaba dna pamoja na genetics ambavyo ni hatari ndo maana watu wanapinga......
 
Labda urais wa kanisa lake.
 
Ukachanjwe wewe aisee
 
Good, hii ndio ccm niijuayo, mijadala inaruhusiwa

Kuna kukubali kutokubaliana pia.
 
Mimi na ukoo wangu hatuchanjwi ng'ooo, period.
 
Hatutaki wote mchanjwe, kwanza hazitoshi.
Tunachotaka ni muache upotoshaji mkiongozwa na askofu wenu uchwara gwajifix
Mitazamo yote ya corona iliyotofauti na nyie mnaita upotoshaji, huko Yotube video za wataalamu mbalimbali zinafutwa Facebook pia post zao zinafutwa. Kwahivyo sishangai huku Tanzania Kumshambulia Gwajima kuwa ni mptoshaji.
 
Mbona hamuiti maghorofa yakachipuka kama uyoga?

Ulichoandika pale hata dogo anayejitambua wa darasa la 2 atakupiga chini tu.
Ita kufa kama baada ya muda hujapotea kweli.
 
It is a pity unaongea kama lumpen
 
Ulichoandika hapa ni UONGO MTUPU! 99% ya wanaokufa ni wale ambao hawajapata chanjo ná 97% ya wanaolazwa ni wale ambao pia hawajapata chanjo.

Wanaokufa wamechoma mrna vaccine ni maelfu huko marekani lakini media za mabeberu hawatangazi japo kwa uchache mnooo

 
Ajabu zaidi kulikuwa na tume ya Corona iliyoteuliwa na Mwendazake wakiwa na Samia,mbona iliwekwa pembeni kabla ya kuleta riport? Badala yake ikateuliwa tume ya waganga njaa waliocopy na kupaste riport za nchi zingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…