#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Just use your common sense. If 97% of those who are admitted in the hospital and 99% of those who are dying are from unvaccinated fellas. Why then the delta variant is affecting a very small percentage of those who are vaccinated!?

ACHA UPOTOSHAJI WAKO!

 
Unafikiri ukiandika hicho kizungu koko ndo unatutisha?

Ona dalali uchwara hili!
 
Wapotelee mbali hao vigangwala. Tunachojua kwenye huo ugonjwa kuna hila nyingi za kibeberu kuhujumu nchi changa kimapato na kimaendeleo
 
Acha UPOTOSHAJI wewe unataka kumpinga mtu anayekusanya takwimu za wanaolazwa ná kufa kwa COVID-19!? Watu kama wewe ni hatari sana ni hasara kubwa Kwa Taifa. Ulichoandika ni UONGO MTUPU!!!
Ni kwasababu mimi siwezi kugeuzwa majaribio!!!!!!

Hizo chanjo till today zinatumika kama an emergency authorization!!!!!!na madhara ni juu ya mtumiaji halafu wewe unataka nchi yote igeuzwe majaribio za haya machanjo yao!!!!!!sikatai chanjo but usalama wa hizo chanjo haupo!!!!!!wanajitahidi sana kutumia media kupika data kwamba chanjo ni salama!!!!!! Wakat kuna maelfu ya watu wanakufa kwa hizi cha chanjo za MRNA na viral vector kama Astrazeneca!!!!mimi siongei kwa kuwaza propaganda au stori za vijiweni naongea fact!!!!!,)ni kipi unaweza kunishawishi nacho kuhusu hizo chanjo zenu za mrna??
 
Nobody will force you to take vaccination but coming here and writing LIES after LIES that is UNACCEPATABLE. Hakuna fact za kudai kuwa maelfu waliopata chanjo wanakufa huo NI UONGO wa hali ya juu. Wewe una facts kuliki Dr Fauci ambaye anakusanya takwinu za wagonjwa kila siku?

 
Wacha propaganda!!!!!kama unachoma and you are still wear mask, unachoma bado unaugua refer case ya waziri wa afya wa uingereza, unachoma unapata side effects kibao....wapo waliochoma hizo mrna vaccine wanapata hadi magnetic problem....Waliochoma astrazeneca wakapata blood clot.......unayajua madhara ya milele ya hizo mrna vaccines?Hivi unajua mrna vaccines zinaweza kuvuruga hadi ule utu wa mtu na akawa kitu cha ajabu na ikabadilisha mfumo wote wa mwili maana Genetics,dna na cell ndo kila kitu kwa mtu?
 
Pumbavu zakoKigwangala na udaktari wako una msaada gani kwa Watanzania kuhusu Corona? Wewe ni mtu wa kukopi na kupest tu huna capacity ya kufanya tafiti na kuleta majibu chanya, ulikopi na kupest hadi hotuma ya Joe Biden kwenye kuomba ridhaa ya urais 2015, hiyo inadhihirisha kichwa box unaishia kutupia picha kwenye mitandao tu. Huyo Makamba ndo anyamaze kabisa hajui lolote kuhusu chanjo ya Covid badala yake anajipendekeza tu kwa mama kutafuta uteuzi
 
Hakuna anayepinga chanjo brother...but a safe vaccine sio hayo machanjo yenu ya mrna yanayobadili mfumo nzima wa mwili wa binadamu na kuingilia hadi DNA za watu wewe kama umechoma choma ila sisi hatutochoma MRNA vaccines kamwe tunataka chanjo zilizotengenezwa kwa njia za kawaida kama zinavyotengenezwa za polio,surua, hepatitis etccc na sio hizo zenu za MRNA na mwendokasi na za miezi tu

Chanjo zenyewe washasema hazijawa approved ni emergency authorization kama majaribio tu halafu mnataka watu wapate hizo Big No!
 
PURE LIES! sasa kama wataalamu wanakwambia hata kama umechanja bado ni muhimu kuvaa masks unataka kuwapinga? Kwa utaalamu upi uliokuwa katika PANDEMIC diseases hadi upinge? Usivae mask wala usipate chanjo soon utamfuata mwendazake. Kifo unakijua na makaburi pia unayajua lakini USIPOTOSHE kwa kuandika uongo humu.

 
Gwajima ni mfadhili wa Sukuma Gang,genge hili limejipa jukumu la kumhujumu Rais,na huyu andunje ana ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania,asipuuzwe ana agenda chafu na ana 'watu'.
 
Pesa pesaaa pesaaaaaaaaa pesaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…