johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Tanzania siyo Marekani!Kuna jamaa anaitwaStephen harmonwa huko LA marekani na yeye alikuwa kama huyo mchungaji na mwishoweCorona + pneumonia, havikumuacha salama
Wewe unaweza kutoka ukatoa ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi kupingana na amri halali zilizotolewa na mamlaka?wewe nae
sasa yeye azuie ana mamlaka gani
Yeye ametoa ushauri km mwananchi mzalendo anetoa maoni yake kwa mujibu wa katiba
au kuna sheria aliyovunja ?!!
Kweli mkuu ulikosa majina mwaka 2013 hadi ujitukane na kujiita nguruwe!Leo nimemsikia Gwajima akisema hataruhusu vyombo vya ulinzi, madaktari, manesi na viongozi wa dini wachanjwe! Nimepatwa na mshangao mkubwa na mshituko nilikuuliza mtu huyu katoa wapi ujasiri wa kuamuru vyombo vyetu cya ulinzi nini wafanye na nini wasifanye!
Gwajima kasahau kwamba nchi hii ina Amiri jeshi mkuu ambaye pia ni Rais wa nchi ambaye aliunda jopo la wataalam wakaja na mapendekezo ya kitaalam..Yaani Gwajima anataka vyombo vyetu vya ulinzi wapinge amri halali ya Amiri jeshi mkuu!? Kwa lugha nyepesi Gwajima anafundisha uasi jeshini?
Hajui kama anachokifanya ni uhaini tena mchana kweupe? Huyu Gwajima hajui adhabu ya uhaini? Kama ana mawazo yake na mapendekezo yake hajui namna ya kuwasilisha mpaka kuanza kuwahimiza wanajeshi wetu wagome !
Huyu Gwajima amejisahau kiasi hiki au ni laana ya kumtukana Pengo? Nitashangaa huyu Gwajima asiposhughulikiwa kwa kuhimiza uasi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na madaktari wetu!
Ya Mbowe iishe kwanza..mmoja mmoja ndio mpangoAfunguliwe ya ugaidi
Umekula hela za wenye chanjo wewe sio bure maana unaandika kwa ghadhabu na wewe unaweza toa ushauri wako kuwa wachanjwe achana na GwajimaLeo nimemsikia Gwajima akisema hataruhusu vyombo vya ulinzi, madaktari, manesi na viongozi wa dini wachanjwe! Nimepatwa na mshangao mkubwa na mshituko nikajiuliza mtu huyu katoa wapi ujasiri wa kuamuru au kutoa ushsuri kwa vyombo vyetu vya ulinzi nini wafanye na nini wasifanye! Hajui kama jeshini kuna chain of command? Au siku hizi kapewa cheo cha msemaji wa jeshi letu na madaktari wetu?
Gwajima kasahau kwamba nchi hii ina Amiri jeshi mkuu ambaye pia ni Rais wa nchi ambaye aliunda jopo la wataalam wakaja na mapendekezo ya kitaalam..Yaani Gwajima anataka vyombo vyetu vya ulinzi wapinge amri halali ya Amiri jeshi mkuu!? Kwa lugha nyepesi Gwajima anafundisha uasi jeshini?
Hajui kama anachokifanya ni uhaini tena mchana kweupe? Huyu Gwajima hajui adhabu ya uhaini? Kama ana mawazo yake na mapendekezo yake hajui namna ya kuwasilisha mpaka kuanza kuwahimiza wanajeshi wetu wagome !
Huyu Gwajima amejisahau kiasi hiki au ni laana ya kumtukana Pengo? Nitashangaa huyu Gwajima asiposhughulikiwa kwa kuhimiza uasi kwa vyombo vyetu vya ulinzi na madaktari wetu!
Kwa sababu wao corona inawaogopa?Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo.
Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo.
Askofu Gwajima amewataka wafuasi wake na wapiga kura wa jimbo la Kawe wakatae kabisa kuchanja kwa sababu watapata hasara kubwa sana maishani.
" Naikataa kabisa chanjo ya Corona " amesisitiza baba askofu.
Source: Mtandao wa You tube!