#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Wewe na huyo Gwajima wenu hamko serious, kuna tofauti baina ya kupata corona ukafa na kupata lakini ukarecover na kuendelea na maisha. Kumbukeni lengo ni kuokoa maisha.

Takwimu zinasema mtu mwenye afya yake na kijana mbichi (no medical conditions kama diabeters etc) ni 1 / 10 anashindwa kurecover au anakuwa na dificulties katika kurecover.

Takwimu hii ndio ilionifanya nikubali kupiga vacine, sijawahi kupata corona wala sina complications zozote za kiafya. Lakini kama kila kwenye vijana 10 mmoja anashindwa kurecover, I simply wont take the chance!

Upande wa shilingi waliochoma vacine na kupata corona wakapoteza maisha, ni mdogo. Nashauri wengi wakatafakari kwa kutumia takwimu. Duniani ni watu wengi washachoma dozi zote mbili personally pia nishamaliza dozi zote 2. Takwimu hazidanganyi acheni ujuaji usio na kichwa wala miguu.
 
SUA.

UDSM

MZUMBE

UDOM

IFM

TIA

CBE

TIA

NIT
 
MrFrosty i salute your common sense,you are gentleman and a scholar!.
Mwanachanjo mwenzako hapa,nilidungwa Astrazenica dozi mbili napenda kuongezea pia kuwa corona ipo na inaua! Na sababu haina dawa uwezekano wa variants nyingine kuja upo! Ivo kwa wasiotaka chanjo inabidi waje na mbinu mbadala za kujikinga.
 
Huyo jamaa alifaulu mno kuicheza ile filamu ya ngono kudadadeq! Alikata uno huku anatukania
Na kaamua kutumia mbinu mbalimbali ili tusi-concentrate kuhusu filamu yake ila kiasi fulani kafanikiwa,mambo ya MUNGU na ngono wapi na wapi.
 
Sijui kwa sasa ni nani anaweza kusimama na kukemea jambo na taifa likaheshimu. Nyerere aliweza japo kama angeweza kuwa na makosa.
Kupoteana ni hatari sana. Dola ndilo linakemea sasa duh!
 
Sijui kwa sasa ni nani anaweza kusimama na kukemea jambo na taifa likaheshimu. Nyerere aliweza japo kama angeweza kuwa na makosa.
Kupoteana ni hatari sana. Dola ndilo linakemea sasa duh!

Tunaongozwa na watu waovu na washamba. Ndiyo maana wamejiwekea kuta wasipate kushitakiwa.

Matokeo yake hawana uadilifu wakiwa madarakani au nje ya madaraka. Ni wachafu, waovu na wauwaji. Wako mkao wa kukimbia mambo yakibadilika.

Haki kwao si msamiati rafiki kwao.

Ilifika wakati yakawakuta kina Nicolae Ceausescu.

Acha tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…