Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Kibwetere wa Tanzania .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali ya muhimu sana hayo.Point. Kuna hoja muhimu zinazohitaji majibu na ufafanuzi
1. Chemical content zilizomo ni zipi?
2. Effects zake ni nini? (Long term na short term)...
Tatizo lililopo ni kuwa siasa ndo inaamua majibu ya kila kitu... Kuna vitu matabibu walipaswa kuvifanyia kazi badala yake wanasiasa kwa maslahi ya gizani... Narudia, kwa maslahi ya gizani ndo kwanza wapo bize kupigia chapuo Western methods za ku-deal na corona...Maswali ya muhimu sana hayo.
Madaktari wetu wapime contents za hiyo chanjo kwa umakini mkubwa ili watupe jibu moja linaloeleweka kuwa hiyo chanjo inafaa au haifai. BASI
Kwanza mpaka muda huu tulipaswa tuwe tumepata majibu kutoka kwa madaktari wa hapa nchini kwetu. Sijui wanasubiri nini au uzembe tu wa kawaida wa kibongo.
Haya mengine hayana umuhimu ni maneno tu
huwajui ccm Gwajima ni mtu mdogo sanaCCM hawamuwezi, Gwajima ana'watu'.
Wakimgusa anakinukisha,ana watu.huwajui ccm Gwajima ni mtu mdogo sana
Niguse Ninuke ApproachWakimgusa anakinukisha,ana watu.
Ukishachanjwa unaingizwa kwenye database ya watu waliochanjwa duniani, hivyo ni rahisi tu kuangalia jina kwenye passport yako au kitambulisho chako chochote na kuingiza kwenye system kuangalia kama upo.Ili uonekane umechanjwa unapita kwenye scanner maalum /entrance zote Duniani zitawekwa kifaa hicho,hivyo kutakuwa na ditector /screan somewhere ya kubaini.
Ili mfumo huo ufanye kazi ni lazima pawepo na very safe connection within vaccine.
Mfano 1/08/2021 utaratibu unaanza Ufaransa.
Mapendekezo.ya kamati ni wachanjwe wa kimapumbele,Afya,Jeshi,polic,magerezaChanjo inaitwa "experimental vaccine" Ingawa sasa hivi kuna confusion kidogo kwa sababu imeanza kuitwa " 'emergency authorized vaccine'. Chanjo hii ni ya hiari,isipokuwa tu hakuna sababu ya kuwatisha watu kupita kiasi.
Serikali ya Tunisia,Waziri Mkuu amejiuzulu,serikali imeanguka kwa saba bu watu hawataki chanjo na lockdown.
Strictly speaking,rais wetu hapaswi kutumia chanjo ya majaribio. Ni raia tu ndio wanapaswa kuambiwa watumie chanjo kwa hiari yao.
Kwa mtu ambaye umri wake ni chini ya miaka 65,chanjo haipaswi kuwa ya lazima kwa sababu covid-19 siyo tishio kubwa kwake.
Haya ndiyo mambo inasemekana yalimuua Julius. Alisema"Huyu Jimmy Carter ni rafiki yangu,lakini haina maana hawezi kufanya uhuni. Hii chanjo iliyopendekezwa,nipe kwanza mimi halafu ndio uwape Watanzania."
Mimi nina mawazo gani kuhusu chanjo? Watanzania wachanjwe tu kama wanataka.
kwa dunia yetu ya sasa ilivyo,siamini kama kweli sindano itazama ndani ya mishipa yao ya damu,na hata kama kweli itazama,sidhani kama kimiminika kitakachoingia ni sawa na kile ambacho wananchi wengine wanakwenda kudungwa...Mapendekezo.ya kamati ni wachanjwe wa kimapumbele,Afya,Jeshi,polic,magereza
Leo wakuu wa hizo sehemu wameonyesha mfano kwa kuchanjwa hadharani.
[emoji848][emoji848]View attachment 1872659UFUNUO WA YOHANA 13
1 Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru.
2 Na yule mnyama niliyemwona alikuwa mfano wa chui, na miguu yake ilikuwa kama miguu ya dubu, na kinywa chake kama kinywa cha simba, yule joka akampa nguvu zake na kiti chake cha enzi na uwezo mwingi.
3 Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule.
4 Wakamsujudu yule joka kwa sababu alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsujudu yule mnyama, wakisema, Ni nani afananaye na mnyama huyu? Tena ni nani awezaye kufanya vita naye?
5 Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili.
6 Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake, na maskani yake, nao wakaao mbinguni.
7 Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa.
8 Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
9 Mtu akiwa na sikio na asikie.
10 Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu.
11 Kisha nikaona mnyama mwingine, akipanda juu kutoka katika nchi; naye alikuwa na pembe mbili mfano wa Mwana-Kondoo, akanena kama joka.
12 Naye atumia uwezo wote wa mnyama yule wa kwanza mbele yake. Naye aifanya dunia na wote wakaao ndani yake wamsujudie mnyama wa kwanza, ambaye jeraha lake la mauti lilipona.
13 Naye afanya ishara kubwa, hata kufanya moto kushuka kutoka mbinguni uje juu ya nchi mbele ya wanadamu.
14 Naye awakosesha wale wakaao juu ya nchi, kwa ishara zile alizopewa kuzifanya mbele ya huyo mnyama, akiwaambia wakaao juu ya nchi kumfanyia sanamu yule mnyama, aliyekuwa na jeraha la upanga naye akaishi.
15 Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Ana kofia mbili..sasa hivi Gwajima ni mbunge hivyo hana sababu au kisingizio cha kufanya siasa kanisani.
[emoji848][emoji848]View attachment 1872659View attachment 1872660
Mungu atusaidie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji120][emoji120]
Mgonjwa eeeh weweAmeshakuletea chanjo