bado hujui mambo mengi sana ndugu yangu....nacheka lakini huzuni sana kwa jinsi ulivyo mtupu kichwani kwenye mambo haya...Unaandika bila kuweka ushahidi wa kuthibitisha ulichoandika. Fauci alidanganya nini ná hao Waafrika walikufa katika nchi zipi na nini kiliwaua?
fauci angekuwa hana CREDIBILITY NÁ REPUTATION Biden asingethubutu kumuweka kama Advisor wake katika COVID-19.
Wapumbavu kama wewe hamjui chochote vyanzo vyenu vya habari they are not credible mnaokota okota udaku kila mnauona mtandaoni na kuamini kama ni kweli.
Eti FAUCI kaua Waafrika wengi ná bado Biden amuone anastahili kuwa advisor wake kuliko mmarekani mwingine yoyote yule kwenye ugonjwa wa COVID-19.
😂😂😂😂😂😂
Weka ushahidi hapa au ujinga ná uzushi wako peleka kwingine siyo humu.
Kama hadi leo bado kuna watu kama wewe ambao wanaamini kila anachosema Antonio Faucci,basi hao ni walking dead bodies.
Hujui from the roots historia ya western medicine imeanzia wapi na kwa lengo gani hasa....hujui kina nani walioanzisha mfumo huu wa tiba na mpaka sasa ni kina nani ndio offspring wao wanaoendeleza urithi huu....ukijua haya mambo itakua rahisi sana kwako kujua mambo mengi sana likiwemo hili la covid19...
Mimi nilijua right from the time walipoanza kutangaza kwamba covid19 imeibuka kule Wuhan China,nilijua where are we heading right from that time,and there we are....waiting to be vaccinated and it should be mandatory.....
Viwanda vya chanjo vitaanza kujengwa hapa nchini sasa...jiulize kwanini hili linatokea baada ya kuibuka huu upuuzi wa covid19?.....
Tony Blair amekuja kwa ajili ya hilo......Je,unajua Tony Blair ni adviser wa kampuni gani kubwa duniani? Je,unajua historia ya hiyo kampuni?
Yaani sijui hata nianzie wapi...maana kama huna hata basics itakua ni kazi nzito sana kwako kuelewa....kwanini alikuja Bill Gates mwanzo,sasa kaja Blair.....does it mean wanatupenda sana eenh?
Wazungu sio wajomba zako,and we differ ina many cases ndugu yangu ......unakalia rasimali za hatari ambazo you are not worthy kuzimiliki,wanazitaka hizo rasimali and the best start is to make you weak or dead....