#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi.

Kutokana na ufinyu wa maarifa wa hao wanaoitwa madaktari na wanasayansi wa Tanzania; mpaka sasa hawajaweza kutoa taarifa kamili ya kisayansi kuhusu madhara marefu na mafupi ya chanjo hizo.

Madaktari wetu wanategemea maarifa kutoka ulaya na nchi zingine za magharibi. HAWAJIWEZI.

Ndio maana kabla ya kudungwa chanjo, unapewa fomu ujaze ambayo inasema kwamba SERIKALI HAITAWAJIBIKA KWA MADHARA YOYOTE YATAKAYOKUPATA BAADA YA WEWE KUDUNGWA CHANJO.

Kwa vyovyote vile, chanjo hii haina ithibati ya usalama.

Ni gunia lililotoka ulaya wakalibwaga nchini halafu tunaambiwa tulifakamie.

Kuwadunga chanjo wanajeshi na vyombo vingine vya usalama bila kujiridhisha usalama wake ni jambo ambalo hata fyatu hawezi kulielewa.

Ni vyema serikali iachane na haya machanjo ya ajabu ajabu ya mwendokasi hayafai yataliangamiza taifa.
Wanajeshi wa Tanzania hawatakuwa wa kwanza kudungwa chanjo. Nchi nyingi tu tu tayari wanajeshi wameshadungwa ...!!

Anyway, wanajeshi wao kama walinzi wetu ndiyo lazima wawe wa kwanza kuhakikisha usalama wetu .... hivyo chanjo kuanza na wao inamake a lot of sense.
 
Inamaana Hatuna watu ambao wanaweza kujibu hoja za Gwajima?
Maswali yake ni rahisi ila magumu kuyajibu. Kauliza swali dogo tu: ni daktari yupi Tanzania amefanya analysis ya kilichomo ndani ya ile chanjo na atuambie the chemical composition? Kauliza tena, ile chanjo tuliyopewa msaada sisi nchi tajiri kwa msaasa wa watu wa Marekani ndiyo hiyohiyo wanayochoma akina Biden na madam Harris?

Akina Dr. Gwajima na msaidizi wake wapo wanabwabwaja tu. Tumejaza wachumia tumbo pale Muhimbili ambao wanasway kwa matakwa na mitazamo ya Rais aliyepo kwenye kiti. Mabingwa wa kukariri. Clueless!
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi...
Dikteta Mwendazake ndio amesababisha Nchi imekuwa na watu wapuuzi na wahuni kama Gwajima Ku address Taifa
 
Ni wazo baya sana kuwachanja chanjo ya Corona askari wa majeshi yetu kwa sababu hatujui usalama wa hizo chanjo.

Baba Gwajima amesema anapinga kwa 100% vyombo vya dola kuchanjwa kwa sababu tunaweza kupoteza taifa. Askofu Gwajima amesema haya Kanisani kwake leo...
Dikteta Mwendazake ndio amesababisha Nchi imekuwa na watu wapuuzi na wahuni kama Gwajima Ku address Taifa
 
Habari za majukumu ya kujenga taifa.!

Watu wote wanaoonekana kumpinga, hawaji na majibu mahususi ya hoja za maana za kupinga msimamo wake. Zaidi wanashambulia personality yake badala ya hoja alizotoa...
Dikteta Mwendazake ndio amesababisha Nchi imekuwa na watu wapuuzi na wahuni kama Gwajima Ku address Taifa
 
Wataalamu wetu toeni majibu ya Mtanzania mwenzetu ndg Gwajima

Kumshambulia bila kutolea majibu ya maswali yake, kwa haraka haraka, nyinyi ndio vilaza...
Kuna mtu mwenye akili zake atakaepoteza muda kumjibu mtu anayekula kondoo wake huku akijirekodi alafu anajiita Askofu??

Misukule kweli nyie
 
Habari za majukumu ya kujenga taifa.!

Watu wote wanaoonekana kumpinga, hawaji na majibu mahususi ya hoja za maana za kupinga msimamo wake. Zaidi wanashambulia personality yake badala ya hoja alizotoa...
Muulize kama ana uwezo wa kufufua watu Kwa nini hakumfufua mpuuzi mwenzake Magufuli?
 
Wanajeshi toka mwaka 1978 miaka 40 iliyopita wanalipwa mishahara ..bure
Wanasubiri vita na haiji..
Bora watangulie chanjo..kama ina madhara tupate majibu
Dah..kwa niaba yangu mimi mwenyewe...binafsi....ingekuwa vizuri tuanze na wanasiasa...hawazalishi chochote....na wamekuwa wengi siku hizi.. 🤣 🤣🤣🤣
 
Ngumu kuamini

Ila kitrndo cha kukubali hizi changing kuruhusu vifo vya korona.

Kipekee wenye mtaji mda sasa kutengenrza.Majeneza ya kutoshaa na wale wenye magari ya msiba ongezeni magari.

Bila kusahau wachaga wale wenye matarumbeta najua mko booked kabla ya marehemu ajafa nawashauri muongeze ya kutoshaa.

Gwajima askofu msipomwelewa leo mtamweleewa mkiwa mnazika.

Vaa bkoa
 
hizi chanjo zipo dunia nzima jamani. Kampuni zinazotoa chanjo zinajulikana zote j&j, feizer, moderna n.k. Ni mambo ya kugoogle tuu kidogo kujua ni watu wangapi washachanja na wamepata madhara gani.

Takriban nchi zote walioko mstari wa mbele ndio wanaonza, kutokana na wao kuwa more exposed. Utaratibu huu umetumika nchi zote, TZ sio ya kwanza.
Acha kufoka hovyo, badala yake ujikite katika KUELEZA KUHUSU USALAMA WA CHANJO
 
Kuna kile kijikamati kiliundwa hivi majuzi, kikaja na mapendekezo kwamba wanajeshi wote wadungwe chanjo kwa sababu ati wako kwenye mstari wa mbele wa maambukizi...
Israel waliochanja karibu nchi nzima na wanajeshi wote Mbona hawajaangamia?
 
Wataalamu wetu toeni majibu ya Mtanzania mwenzetu ndg Gwajima

Kumshambulia bila kutolea majibu ya maswali yake, kwa haraka haraka, nyinyi ndio vilaza...
SUKUMA-GANG wanaongoza 6 mpaka sasa, mama amefanya kosa sana kuendelea na timu iliyosajiliwa na JIWE.
 
Wataalamu wetu toeni majibu ya Mtanzania mwenzetu ndg Gwajima

Kumshambulia bila kutolea majibu ya maswali yake, kwa haraka haraka, nyinyi ndio vilaza....
Kwani bado Dakika ngapi Uzinduzi Ufanyike?
 
Sasa kazi ya hii chanjo ni nini haswa?

Kama ukichanjwa bado unaweza kuambukiza na kuambukizwa?????
Dah....Mkuu...wanasema ukichanjwa hata ukipata uviko....haitakuwa kali kivilee....na labda hautahitaji msaaada wa oksijen..🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom