Kama hadi leo bado kuna watu kama wewe ambao wanaamini kila anachosema Antonio Faucci,basi hao ni walking dead bodies.Acha UPOTOSHAJI wa kile usichokijua.
![]()
Fauci: 99 percent of Americans who died of COVID-19 last month were unvaccinated
Vaccinations save lives, experts say.thehill.com
Faucci huyuhuyu aliyedanganya kwenye mambo mengi sana ambayo hadi sasa yanadhuru na kuua watu wengi hasa waafrika bado unamwamini kwenye suala hili tena....
Tatizo ni kwamba,watu wengi wanajiona wanajua sana kumbe wanachokijua ni upuuzi tu....
Narudia:Kazi ya propaganda ni kumfanya mtu mwenye akili timamu aamini kile anachoambiwa na mwingine zaidi ya kile anachokiona yeye mwenyewe.
Aliyedanganya kwenye HIV/AIDS bado anaendelea kuaminiwa kwenye hili la corona!!! bado watu wako nyuma sana kiuelewa ingawa wao wanajiona wanajua.....
Swali:Taja dalili MOJA tu ya covid19 ambayo ipo kwenye covid19 pekee na hauwezi kuikuta kwenye Seasonal Influenza.Ukishindwa kujibu nakuruhusu ukaulize hata kwa daktari yeyote unayemwamini.