#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

hivi watalaamu wetu wa ndani wana capacity ya kujua ubora, udhaifu, madhara, faida ya cnanjo zilizopo kwa sasa na years to come?
Nakwambia akili zetu watu weusi za ajabu sana...anyways ukikusanya data tu za kawaida hizi chanjo zinaonyesha kuwa na shida, ndio maana baadhi ya nchi za kizungu wamepiga stop kwanza. Umeuliza maswali ya msingi sana unfortunately mtu mweusi hawezi kukujibu unapoteza muda tu. Kikubwa jiokoe wewe na familia yako. Waafrika tunauzana kama watumwa.
 
Sasa unaanza kuhangaika na maneno ambayo sio chanzo cha tofauti kwenye hizo processes. Chanzo cha tofauti ni Emergency Use!
Taarifa kutoka Website rasmi inasema Emergency Authorization inakuja baada ya kuverify TOTALITY ya SCIENTIFIC EVIDENCE!!

Sasa kama umeleta document zote na sample za kuprove chanjo yako iko safe wao si wanafanya kuconfirm tu findings zako na sio kwamba wanaanza process ya reverse engineering!! Ya step by step working out the contents!!

Na ndio maana WHO iliweza verify chanjo ya Ebola ndani ya masaa tu maana wao wanapitia tu summary then wanaleta wataalam wao kupitia sampuli na kuconfirm findings ambazo tayari umesha decode. Sasa hiyo process ndio inakuwa EMERGENCY.

Key word is SPEED not CONTENT!! Usifungamanishe hayo mambo ni mawili tofauti. yaani kama ilipaswa ipite ofisi kma 10.... Ikiwa emergency then hao 10 wana integrate kazi zao zifanyike ndani ya siku 2 etc ila it has nothing to do na content kuharakishwa maana pale ni confirmation tu no new experiments.
 
Nakwambia akili zetu watu weusi za ajabu sana...anyways ukikusanya data tu za kawaida hizi chanjo zinaonyesha kuwa na shida, ndio maana baadhi ya nchi za kizungu wamepiga stop kwanza. Umeuliza maswali ya msingi sana unfortunately mtu mweusi hawezi kukujibu unapoteza muda tu. Kikubwa jiokoe wewe na familia yako. Waafrika tunauzana kama watumwa.
Hakuna nchi za wazungu imepiga stop chanjo acheni kupotosha. Uingereza tu hapo wanakaribia kuchanja raia wote in fact waliiburuza AstraZeneca mahakamani kwa kuchelewesha order za chanjo!!

Kinachotokea kuna chanjo zinapigwa marufuku kwa watu chini ya umri fulani na kma chanjo ikizuiwa then inatumika nyingine ila sio kwamba zote zinakataliwa kwa mpigo.... Sio kweli.

Then kuliko kulaumu wazungu kila siku, sisi kama watanzania tumefanya efforts gani kuwa na chanjo yetu?? Mbona china au Russia hawalalamikii wazungu?
 
Taarifa kutoka Website rasmi inasema Emergency Authorization inakuja baada ya kuverify TOTALITY ya SCIENTIFIC EVIDENCE!!

Sasa kama umeleta document zote na sample za kuprove chanjo yako iko safe wao si wanafanya kuconfirm tu findings zako na sio kwamba wanaanza process ya reverse engineering!! Ya step by step working out the contents!!

Na ndio maana WHO iliweza verify chanjo ya Ebola ndani ya masaa tu maana wao wanapitia tu summary then wanaleta wataalam wao kupitia sampuli na kuconfirm findings ambazo tayari umesha decode. Sasa hiyo process ndio inakuwa EMERGENCY.

Key word is SPEED not CONTENT!! Usifungamanishe hayo mambo ni mawili tofauti. yaani kama ilipaswa ipite ofisi kma 10.... Ikiwa emergency then hao 10 wana integrate kazi zao zifanyike ndani ya siku 2 etc ila it has nothing to do na content kuharakishwa maana pale ni confirmation tu no new experiments.

Hivi wewe umeshindwa kabisa hata kujiuliza tu kwanini wametumia phrase “Emergency Use Authorization”? Au unadhani wamekosea kufanya hivyo?
 
Emergency zipo kwenye kila kitu hta Mpira kuna timu zikipata injuries wanaruhusiwa emergency transfer ambayo kibali kinatolewa siku hyo hyo na medical inafanyika rapidly..... Haichukui hta siku 1 kukamilisha usajili.

Emergency maana yake bureaucratic procedures zinarukwa ili kuipa kipaumbele tatizo linalohitaji uharaka.

Mfano enzi nasoma, usajili wa form 6 ulichukua muda mrefu hadi kukamilishwa. Kwa sababu kadhaa sikuweza sajiliwa nikaenda baraza la mtihani, signatories wote na wahakiki wote wakaletwa pamoja. So nilijisajili na wenzangu tuliochelewa nchi nzima kwa dakika chache na tukawa official candidates.

So Emergency ni uharaka wa procedures sio uharaka wa ile content!! Yaani ukipelekwa EMERGENCY Room pale Aga Khan hvi huduma huwa inakua kiwango cha chini?? Au issue huwa ni uharaka wa kutoa huduma??

Tuanzie hapo
 
Unachanganya sana mambo wewe. Kuna tofauti kubwa kati ya waiver of standard procedures (kwa sababu ya dharura) na prioritization of a project.

With a waiver, baadhi ya clinical procedures (technical steps) zinakuwa scaled down or skipped altogether. Hapa, EUA inaweza kuwa granted.

Prioritization of a project, on the other hand, means you mobilize and devote more resources to the project ili project ikamilike mapema zaidi. No clinical procedure (technical step) is skipped. Hapa, standard (or regular) approval inaweza kuwa granted.

Kilichokuwa waived sio “bureaucratic procedures”, kama unavyojaribu kutuaminisha, bali ni completion of certain clinical procedures!
 
Mkuu ww ndio unajichanganya.... FDA sio kazi yake kufanya tafiti au experiment!!... chanjo imeshatengenezwa let's say na NIMR ww unapeleka hapo methodology na findings za experiment zote na clinical trials pamoja na cost-benefit analysis ya chanjo.

Kazi ya hao FDA kupitia mchakato wa EUA ni kuverify tu methodology yako kuona kma ulikuwa sahihi sasa hilo linahitaji miaka mingapi??

Tatizo wewe unadhani chanjo ndio imetengenezwa kwa emergency!! Hapana kila kitu kikishakuwa exhausted ww unahitaji tu GREEN LIGHT ya kuuza ndio hao jamaa wanakuja "Kuonja" na kukuthibitisha na ndio maana wamesema TOTALITY na SCIENTIFIC EVIDENCE!! Meaning hakuna kinachorukwa.
 
Under normal circumstances, kuna standard set of experiments and clinical studies ambayo inapaswa kufuatwa na drug developers na data zake kuwa verified na mamlaka inayohusika. The EUA process involves a scaled down set of experiments and clinical studies!
 
90% ya vitu unavyotumia hapo ni vya huyo unayemkejeli. Inashangaza sana kukejeli innovation za watu hku sisi hakuna tulilobuni zaidi tunategemea imports kutoka kwao.
Sasa kila mtu akibuni kutakuwa na biashara hapo tena?
 
Corona inakuja kwa waves. Unakumbuka hata mwaka jana ililipuka halafu ikapoa? Ilikuwa tu coincidence yeye alikufa wakati wave imefikia ukingoni. Na inaweza kurudi tena kwa ukali zaidi. Chunga.
Kwahiyo hivi tulivyojiachia hakuna athari tatizo ni waves tu?
 
Tuanze na wabunge kama wawakilishi wetu majimboni
 
Under normal circumstances, kuna standard set of experiments and clinical studies ambayo inapaswa kufuatwa na drug developers na data zake kuwa verified na mamlaka inayohusika. The EUA process involves a scaled down set of experiments and clinical studies!
Scaled down? That's an understatement to say the least. EUA is concerned with timely verification of developer's research and experiment findings.

Speed of delivering a Pizza should not be transliterated with the speed of cooking the same. Your trying to intergrate two processes which are completely independent and do not affect each other.

Verification process is not influenced by the rapid development ofCovis vaccines. What matters is TOTALITY of SCIENTIFIC EVIDENCE then surely it's accredited within shortest time possible.

We should separate the two processes
 
Nashauri Chanjo ya Corona ingeanza na wabunhe wetu wapendwa kabla ya sis wananchi wakitoka hapo madiwani.yaani kwa ujumla Tungeanza na wanasiasa.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima ametaka kuwepo umakini wa kuchagua Chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID-19. Amesema hayo akiwa Bungeni Dodoma leo wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Afya iliyowasilishwa na Waziri Dorothy Gwajima.

Amefafanua, "Mimi sipo kinyume na Chanjo za Corona wala chanjo yoyote. Mtu asininukuu napinga chanjo, hapana. Tanzania tulishachanjwa Chanjo ya Kifua Kikuu, Surua, Kifaduro na Polio''.

Amesema ni kweli Tanzania ikikataa Chanjo inaweza kuwekewa zuio la kwenda Ulaya. Ameeleza, "Tunakabiliwa na uchaguzi mbaya sana, tuchanjwe kitu tusichokijua sawa sawa au tusichanjwe tuzuiwe kwenda Ulaya".

Ameiomba Wizara ya Afya kuangalia suala la Chanjo kwa umakini, akisema waangalie madhara ya sasa, ya siku zijazo na ya Taifa. Ameongeza kuwa, tatizo lililopo ni kufikiri kila kinachotoka Ulaya kinafaa.

Amesema, "Before we venture into what kind of vaccine we should take, tunatakiwa tuwe na wataalamu wetu wa hapa".
Naungana na Mchungaji Gwajima kwa hoja yake ingawa amehitimisha kwa suruhisho vugu vugu. Hapa ndipo tunapo mkumbuka John Pombe Magufuli. Jibu liko wazi ingawa ni Doroth Gwajima mwenye uthubutu wa kutaja kisu kwa jina la kisu. Waliobaki ni ndumilakuwili tu.

Ifahamike tu kuwa ni salama zaidi kwa watu wenye afya njema kuruhusu miili yao kutengeneza kinga yenyewe, COVID 19 ikiwemo kwenye orodha. Mwili una uwezo mkubwa wa kufanya kazi zake kwa uasilia... Ni kwa nini tunalazimisha kufanya maigizo kwenye kazi za mwili?.

Jibu ni moja tu, kupiga chini chanjo zote tunazolazimishwa kutumia, tuimarishe afya zetu kwa lishe bora yenye virutubisho asilia na inapobidi tutumie miti shamba!.Pamoja na usafi wa mwili. Kama tunatishiwa kutoruhusiwa kwenda ulaya basi tuitengeneze ulaya hapa hapa kwetu, hivi kwani ulaya ni mbinguni?. Aidha utumie chanjo au usitumie, kifo ni mchakato usiokwepeka kwa asilimia mia.
 
Hongera sana zitto junior, umejitahidi kutoa somo ingawa unaowapa somo ndio hawa hawa Watanzania wenzetu wanaoamini vitu hivi...

dawa ya corona2.jpg
kikombechababu.jpg
Babuloliondo1.jpg

Sijui hizi zilifanyiwa tafiti za miaka mingapi hadi kujiaminisha hazikuwa na madhara!​
 
Scaled down? That's an understatement to say the least. EUA is concerned with timely verification of developer's research and experiment findings.

Speed of delivering a Pizza should not be transliterated with the speed of cooking the same. Your trying to intergrate two processes which are completely independent and do not affect each other.

Verification process is not influenced by the rapid development ofCovis vaccines. What matters is TOTALITY of SCIENTIFIC EVIDENCE then surely it's accredited within shortest time possible.

We should separate the two processes

I don’t think you really know what you’re talking about. An Emergency Use Authorization (EUA) isn’t (and has never been) all about timely verification of developer's research and experiment findings!

In the United States, an EUA is an authorization granted under specific sections of the Federal Food, Drug, and Cosmetic Act as added to and amended by various Acts of Congress, including by the Pandemic and All-Hazards Preparedness Reauthorization Act of 2013 (PAHPRA), as codified by 21 U.S.C. § 360bbb-3, to allow the use of a drug prior to approval. It does not constitute approval of the drug in the full statutory meaning of the term, but instead authorizes FDA to facilitate availability of an unapproved product, or an unapproved use of an approved product, during a declared state of emergency from one of several agencies or of a "material threat" by the Secretary of Homeland Security.

By the way, arguing for the sake of it is a wastage of people’s time. This is the last time I am responding to your out-of-whack arguments!
 
Yeah argument ya ssi laymen kwa kitu ambacho kimeshakubalika na maprofessor wa Epidemiologist duniani ni kupoteza muda tu.

Cha msingi tujiandae na chanjo tu kulalamika hakutosaidia kitu afterall tumeshindwa tengeneza za kwetu so tupunguze ujuaji
 
Back
Top Bottom