#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

#COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

wa

wacha zije sababu kuna watu humu wanashadadia sana hizo kinga.tunataka kuwaona wawe wa kwanza kudungwa.wasishadadie tu ili watoto wa wakulima wadungwe hapana na hakuna mtoto wa mkulima anayetaka hizo chanjo.tunataka experiment ifanyike kwa watoto wa viongozi kwanza sababu wanaopendekeza wameanza na agenda za kuwadunga wazee,wenye pressure,wafanyakazi wa mahospitali,lkn watoto wao nihiari hakuna waanze wakubwa na watoto wao kwanza.
Ujinga ni bei ghali! Pole katitu

Ingekuwa kuwa na wewe chanjo zote ulizochomwa tangu utotoni zinatoka kwenye makampuni hayo hayo ya Ulaya na America usingeandika utumbo huo!
 
Back
Top Bottom