wa
wacha zije sababu kuna watu humu wanashadadia sana hizo kinga.tunataka kuwaona wawe wa kwanza kudungwa.wasishadadie tu ili watoto wa wakulima wadungwe hapana na hakuna mtoto wa mkulima anayetaka hizo chanjo.tunataka experiment ifanyike kwa watoto wa viongozi kwanza sababu wanaopendekeza wameanza na agenda za kuwadunga wazee,wenye pressure,wafanyakazi wa mahospitali,lkn watoto wao nihiari hakuna waanze wakubwa na watoto wao kwanza.