Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

imani, dini na siasa kamwe haviwezi kuwa pamoja
 
Baba Askofu Dkt. Sheikh Rashid Halima Josephat Gwajima anatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisha. Sikuwahi kufikiria hata Baba Askofu njaa inaweza kumpanda hadi kichwani 🙄
Nimependa ulivoyapatia Majina yake
 
 
Kama alituaminisha analeta treni ndani ya wiki mbili akasahau
Akatuaminisha anakuwa atajenga kanisa kubwa akashindwa sasa unazani anaukweli wowote?
na akaaminisha watu kuwa hakuwa kwenye ile video ya ngumi za wawili. ila wanawake wanamoyo sana yani yule mama wa watu ka moyo wake umekunnjuka baada ya kuiona ile video. jamaa ana maneno yakushawishiiiiiiiii
 
na akaaminisha watu kuwa hakuwa kwenye ile video ya ngumi za wawili. ila wanawake wanamoyo sana yani yule mama wa watu ka moyo wake umekunnjuka baada ya kuiona ile video. jamaa ana maneno yakushawishiiiiiiiii
Wanawake wakisukuma hawana wivu,hata yule wa bwana yule ni mweusi tii ila kila siku mume wake anasema anapenda wanawake weupe
 
unajua kigogo anakula ifo kutoka kwa watu ambao wanatuma taarifa ka vile mange alivyokuwa anapewa zile zake za hide my id
wanaompa taarifa wanamdemesha,anaonekana muongo wakati mwingieni kwa kupost vitu fyongo.
 
Ili ugeuze misikiti yao kuwa sunday schools!
 
Kura za maoni zinaonyesha atashinda kwa 97%
Sisi waislamu hatuwezi kuwa makhanisi wa kugeuza misikiti yetu kuwa sunday schools.
Labda kwa vile mmeanza figisu za kuwakata mawakala, short of that Rashid Gwajiboy akabinue wanakondoo mazuzuz wake
 
Mume wa bulaya hana chake kawe [emoji16][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…