Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nimewasaidia waislamu nikiwa siyo mwanasiasa nimewajengea visima msikiti wa Salasala na Makuti

Sisi waislamu hatuwezi kuwa makhanisi wa kugeuza misikiti yetu kuwa sunday schools.
Labda kwa vile mmeanza figisu za kuwakata mawakala, short of that Rashid Gwajiboy akabinue wanakondoo mazuzuz wake
Wu huna uislamu wa kumzidi Rashid Gwajima!
 
Vipi alisemaje kuhusu ule mpango wake wa kuzigeuza madrasa kuwa sunday schools?
 
Waislamu wa Kawe wangeweza kumsikiliza Gwajima kile anachokisema ikiwa atafanya mambo haya mawili tu.

1. Atangaze kuachana kabisa na dini yake ya kikristo ili kuwa muislamu.
2. Awaombe radhi waislamu hadharani kwa maneno aliyoyatoa dhidi yao.

Kama anataka kura za waislamu, hilo halikwepeki. Tofauti na hivyo hakuna muislamu mshika dini atakayempa kura. WanaCCM waislamu wa Kawe wanasema wazi haya, uislamu kwanza, CCM baadaye.
 
Gwajima unawadhalilisha waislamu.kwani hawana uwezo kujiletea majiyao?huko kwa walokolewako hakuna wahitaji?
 
Back
Top Bottom