#COVID19 Askofu Gwajima: Nitabaki risasi ya mwisho kwenye uwanja wa vita, kuchanjwa wengine tumekataa


Hahaahaaa si alisema hivi:


Kasahau? Wote baba mmoja mama mmoja. Si katelefoni, si Jaffo, mimacho, si Dkt. Gwajima nk

Kazi ipo.
 
Duuuh kweli kazi wanayo na huyo ndugu yake. Unaendeleaje lakini mke wangu?
Nipo poa kabisa mme wangu. Ninamsikiliza Gwajiboy hapa. Anauma huku anapuliza. Anaogopa kufukuzwa ndani ya chama. Maana anamsifia sana Samia.
 
Nipo poa kabisa mme wangu. Ninamsikiliza Gwajiboy hapa. Anauma huku anapuliza. Anaogopa kufukuzwa ndani ya chama. Maana anamsifia sana Samia.

Anajua akisimamia msimamo wake wake atabambikiwa kesi ya ugaidi au madawa ya kulevya.
 
Natabiri Askofu Rashidi Covid-19 itasema nae na Kumalizana nae kama ilivyofanya Kwa Marehemu Dikteta Mwendazake
 
Ipo siku CHIFU MANGUNGO ataonekana shujaa kwa kuuza watu wake kuliko kizazi hiki kinachokubali kupigwa SUMU kwa hiyari yao
Hapo unapoandika una bonge la ndui begani, chanjo sijui za pepopunda, kifua kikuu mwilini halafu unaleta za kuleta!
 
Siyo kwamba kazi ya urais imekuwa ngumu ghafla rais Samia alipoingia madarakani isipokuwa hii feverish political climate inatokea kwa sababu rais ni reckless and incompetent.
 
Hakuna sarakasi, chanjo haizuii Corona tumeishaambiwa hivyo. What it does is kupunguza athari ambazo ungepata iwapo utaambukizwa Corona tofauti na mtu ambaye hajachanjwa. Ndio maana wanasema ni hiari wewe mwenyewe utaona, na Serikali imetoa kipaumbele kwa wazee, na wenye magonjwa sugu coz haya makundi ndio wakipaga Corona inawasumbu sana to death.
 
Sasa kama haizuii corona unachanja ili iweje?

Nimechaja homa ya ini, I am done with that once and forever, siwezi kuambukizwa homa ya ini wala kuathirika na homa ya inni hadi nakufa.

Sasa hii ya kuambiwa utajikwa lakini hata ukianguka hutaumia ni usanii mtupu. Unajua nitaangukia nini?

Huko ulaya cases za walio chanjwa kuugua n kufariki kwa covid zinaongezeka kila siku.

Hapo wanasema December kutakua na wave 4, inaweza kua dangerous kuliko hii Delta, je hizi chanjo zitaweza? Tusubiri tuone.
 
Bwana John akikupigia simu ilikuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…