Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza TV
 
Katika Nchi hii, inawezekana kabisa Gwajima akawa kwenye Top Ten ya Watu wanao ongoza kwa Unafiki na U-opportunist!!

UKAWA na Chadema ✌️ hawana hamu nae kabisa huyu mzee wa mission town!!
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza tv
Huyu tapeli msinzi amehamisha magoli tayari. Juzi juzi alikuwa anasema Tanzania itakuwa nchi ya kuvutia kuliko zote kwa sababu ya Magufuli na suala la corona. Baada ya korona kutinga ikulu anabadilisha msimamo. Kweli hii nchi ina wajinga. Na watu wanamsikiliza?
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza tv
Hivi Rashid bado tu anapata air time .... Au amesikia wapi kuwa Samia haungwi mkono 10 %!! Corona imemshinda na Ufufuaji umemshinda, Awaache Watanzania waomboleze kwa amani
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza tv
Mama ajihadhari na wanafiki kama Gwajima , kiongozi wa Genge baya ambalo lilikuwa limepanga kuunda jeshi la kikabila 'interahamwe' La kutaka Magufuli awe rais wa maisha ......walisahau kuomba Mungu amjalie amalize kipindi chake salama ...wakaomba awe wa maisha na kweli kawa "Rais wa Maisha" ...asitake kuanza kujipendekeza kwa mama samia .
 
Askofu Rashid tulitegemea utaonyesha uwezo wako wa kufufua pale uwanja wa Uhuru.
Ana roho mbaya sana huyu rAshid mcheza pono, yani kamuacha boss wake afukiwe hivi hivi akati huwa anafufua watu??? Kwann asimfufue bwana meko lakini?
Tutampiga spana nani sasa kama meko akifukiwa? Plz Gwajiboy fanya kama yule bint aliyefia shuleni alipoulizwa swali akalala juu ya dawati akafa
 
Back
Top Bottom