Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

Mama ajihadhari na wanafiki kama Gwajima , kiongozi wa Genge baya ambalo lilikuwa limepanga kuunda jeshi la kikabila 'interahamwe' La kutaka Magufuli awe rais wa maisha ......walisahau kuomba Mungu amjalie amalize kipindi chake salama ...wakaomba awe wa maisha na kweli kawa "Rais wa Maisha" ...asitake kuanza kujipendekeza kwa mama samia .
Askofu Gwajima ametokea Chadema!
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza tv


Huyu askofu fake mbona hafufui viongozi wetu kama anavyotapeli kuwa anafufua watu!
 
😂😂😂😂🤣🤣
Jamaa huyu msanii sana, anangalia upepo unapovumia na yeye kujifanya ni part and parcel ya upepo au kujifanya yeye ndiye chanzo cha upepo - kama hujamsoma vizuri kisaikilojia unaweza kufikiri ana busara kuliko Mfalme Suleiman kwenye simulizi za agano la kale - binafsi namushauri Rais S.S. Hassan awe makini na binadamu wa design za jamaa kama hawa ambao ni seasoned orators, msikilize alright lakini mwisho wa siku wewe uongozwe na your inbuilt instict aligorithms za kukusaidia to separate the wheat from the chaff. Siwasemi vibaya lakini ni vizuri ukiwa makini nao,watakusifia,watakupamba pamba na wakati mwingine ku-manufacture sifa za ziada ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya kujipendekeza tu - typical Homo Sapeins Sapeins.
 
Ile system ya kupayuka "Nileteeni gwajima" akaja imepitwa na wakati sasa kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza TV
Mnafiq na mzandiki mkubwa, intarehamwe wa kisukuma hafai kabisa huyu mbilikimo
 
Nileteeeni Gwajima nileteeeeeeni gwajima
IMG-20210323-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom