Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

Sijui kwa usanii wake huyu Raisi atakuwa na muda naye!
Mara anafufua!!
Mara ankemea,
Mara anatokea kwa clip mbofu mbofu!
Mara aseme kifo cha Maalim ni kawaida!!
Hapitwi na kitu
Mara amfifiro,
Mara hakuna Corona
Mara chanjo!!
Msukuma huyu?
 
Uzuri bimkubwa keshatambua tofauti ya kelele za kuzomea na kelele za kushangilia.
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza TV
Nashauri Mama Samia amfukuze huyu taperi Gwajiboy mpuuzi kabisa alimdanganya Marehemu aipuuze Corona na Marehemu akamsikiliza now kadedi amemvamia Mama Samia amefikia kumuita Joshua Gwajiboy ni lipumbavu furani lipuuzwe ikiwezekana kamati ya Nec imvue uanachama achague Siasa au Kanisa fisi mwenye Tamaa hupasuka Msamba.
 
Hivi waumini wa Gwajima wote ni ccm? Inawezekana kuna wapinzani ambao hata kura walimnyima?
 
Sijui kwa usanii wake huyu Raisi atakuwa na muda naye!
Mara anafufua!!
Mara ankemea,
Mara anatokea kwa clip mbofu mbofu!
Mara aseme kifo cha Maalim ni kawaida!!
Hapitwi na kitu
Mara amfifiro,
Mara hakuna Corona
Mara chanjo!!
Msukuma huyu?
Msukuma gani mfupi hivyo,huyu atakuwa Mhutu
 
Hili ndiyo godown lake anapohifadhia misukule yake
IMG_20201103_153332.jpg
 
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.

Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani version nyingine ya John Magufuli.

Chanzo: Chomoza TV
Askofu wa wajinga amepata pigo nzito.
 
Yale yale kila mtu ni joshua alikuwa slaa akawa lowassa akawa magu sasa ni samia
 
Ina maana ameshindwa kumfufua JPJM? Tutamwamini vipi sasa kuwa huwa anafufua watu kama siyo utapeli?
 
Back
Top Bottom