johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu ndiye alikua mshenga wa kuhakikisha Ngoyai anakua mgombea wa Ukawa.Katika Nchi hii, inawezekana kabisa Gwajima akawa kwenye Top Ten ya Watu wanao ongoza kwa Unafiki na U-opportunist!!
UKAWA na Chadema βοΈ hawana hamu nae kabisa huyu mzee wa mission town!!
Huyu kiumbe ni zaidi ya Mafia! Waumini wake wana vipaji vya kipekee kuyaamini mafundisho yake.Huyu ndiye alikua mshenga wa kuhakikisha Ngoyai anakua mgombea wa Ukawa.
Huyu tapeli msinzi amehamisha magoli tayari. Juzi juzi alikuwa anasema Tanzania itakuwa nchi ya kuvutia kuliko zote kwa sababu ya Magufuli na suala la corona. Baada ya korona kutinga ikulu anabadilisha msimamo. Kweli hii nchi ina wajinga. Na watu wanamsikiliza?Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.
Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.
Chanzo: Chomoza tv
Hivi Rashid bado tu anapata air time .... Au amesikia wapi kuwa Samia haungwi mkono 10 %!! Corona imemshinda na Ufufuaji umemshinda, Awaache Watanzania waomboleze kwa amaniAskofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.
Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.
Chanzo: Chomoza tv
πππππ€£π€£Huyu si ndio alisema eti bila barakoa wala social distance tumeshashinda,matokeo yake akamwingiza Chaka Boss wake,na kumfufua akashindwa
Mama ajihadhari na wanafiki kama Gwajima , kiongozi wa Genge baya ambalo lilikuwa limepanga kuunda jeshi la kikabila 'interahamwe' La kutaka Magufuli awe rais wa maisha ......walisahau kuomba Mungu amjalie amalize kipindi chake salama ...wakaomba awe wa maisha na kweli kawa "Rais wa Maisha" ...asitake kuanza kujipendekeza kwa mama samia .Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.
Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.
Chanzo: Chomoza tv
Ana roho mbaya sana huyu rAshid mcheza pono, yani kamuacha boss wake afukiwe hivi hivi akati huwa anafufua watu??? Kwann asimfufue bwana meko lakini?Askofu Rashid tulitegemea utaonyesha uwezo wako wa kufufua pale uwanja wa Uhuru.
Ni Rashid Josephat Gwajima!Huyu akisikia maslahi ni kuwa Muislamu anajiita Rashid, akisikia maslahi ni kuwa mwanamke anajiita Neema.