johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Askofu Gwajima ametokea Chadema!Mama ajihadhari na wanafiki kama Gwajima , kiongozi wa Genge baya ambalo lilikuwa limepanga kuunda jeshi la kikabila 'interahamwe' La kutaka Magufuli awe rais wa maisha ......walisahau kuomba Mungu amjalie amalize kipindi chake salama ...wakaomba awe wa maisha na kweli kawa "Rais wa Maisha" ...asitake kuanza kujipendekeza kwa mama samia .
Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.
Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua yaani version nyingine ya John Magufuli.
Chanzo: Chomoza tv
😂😂😂😂😂😂Huyu akisikia maslahi ni kuwa Muislamu anajiita Rashid, akisikia maslahi ni kuwa mwanamke anajiita Neema.
Jamaa huyu msanii sana, anangalia upepo unapovumia na yeye kujifanya ni part and parcel ya upepo au kujifanya yeye ndiye chanzo cha upepo - kama hujamsoma vizuri kisaikilojia unaweza kufikiri ana busara kuliko Mfalme Suleiman kwenye simulizi za agano la kale - binafsi namushauri Rais S.S. Hassan awe makini na binadamu wa design za jamaa kama hawa ambao ni seasoned orators, msikilize alright lakini mwisho wa siku wewe uongozwe na your inbuilt instict aligorithms za kukusaidia to separate the wheat from the chaff. Siwasemi vibaya lakini ni vizuri ukiwa makini nao,watakusifia,watakupamba pamba na wakati mwingine ku-manufacture sifa za ziada ambazo hazina ukweli wowote zaidi ya kujipendekeza tu - typical Homo Sapeins Sapeins.😂😂😂😂🤣🤣
Mnafiq na mzandiki mkubwa, intarehamwe wa kisukuma hafai kabisa huyu mbilikimoAskofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari.
Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani version nyingine ya John Magufuli.
Chanzo: Chomoza TV
Mpigaji fulani hivi anayetumia kivuli cha Kanisa kufanya mazingaombwe yake.
Kufa wewe akufufue!Huyu askofu fake mbona hafufui viongozi wetu kama anavyotapeli kuwa anafufua watu!
Huyu ni Kibwetere kuna siku atawatia kiberiti wale waumini wake,ni mtu hatari sanaHuyu kiumbe ni zaidi ya Mafia! Waumini wake wana vipaji vya kipekee kuyaamini mafundisho yake.
Kufa wewe akufufue!
Ni ChidboyNi Rashid Josephat Gwajima!
Usipoitaja Chadema mshono unahama?Askofu Gwajima ametokea Chadema!
sawa ndio inabdi mama ajihadhari na hawa wanafikiAskofu Gwajima ametokea Chadema!
Hahahaaaa..........!Nileteeeni Gwajima nileteeeeeeni gwajimaView attachment 1732925
Nimekuelewa bwashee!sawa ndio inabdi mama ajihadhari na hawa wanafiki