Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

Sijui kwa usanii wake huyu Raisi atakuwa na muda naye!
Mara anafufua!!
Mara ankemea,
Mara anatokea kwa clip mbofu mbofu!
Mara aseme kifo cha Maalim ni kawaida!!
Hapitwi na kitu
Mara amfifiro,
Mara hakuna Corona
Mara chanjo!!
Msukuma huyu?
 
Uzuri bimkubwa keshatambua tofauti ya kelele za kuzomea na kelele za kushangilia.
 
Nashauri Mama Samia amfukuze huyu taperi Gwajiboy mpuuzi kabisa alimdanganya Marehemu aipuuze Corona na Marehemu akamsikiliza now kadedi amemvamia Mama Samia amefikia kumuita Joshua Gwajiboy ni lipumbavu furani lipuuzwe ikiwezekana kamati ya Nec imvue uanachama achague Siasa au Kanisa fisi mwenye Tamaa hupasuka Msamba.
 
Hivi waumini wa Gwajima wote ni ccm? Inawezekana kuna wapinzani ambao hata kura walimnyima?
 
Huyu akisikia maslahi ni kuwa Muislamu anajiita Rashid, akisikia maslahi ni kuwa mwanamke anajiita Neema.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
 
Sijui kwa usanii wake huyu Raisi atakuwa na muda naye!
Mara anafufua!!
Mara ankemea,
Mara anatokea kwa clip mbofu mbofu!
Mara aseme kifo cha Maalim ni kawaida!!
Hapitwi na kitu
Mara amfifiro,
Mara hakuna Corona
Mara chanjo!!
Msukuma huyu?
Msukuma gani mfupi hivyo,huyu atakuwa Mhutu
 
Askofu wa wajinga amepata pigo nzito.
 
Yale yale kila mtu ni joshua alikuwa slaa akawa lowassa akawa magu sasa ni samia
 
Ina maana ameshindwa kumfufua JPJM? Tutamwamini vipi sasa kuwa huwa anafufua watu kama siyo utapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…