Askofu Gwajima: Siasa ni kipaji siyo akili za darasani. Ya siasani hayapelekwi kwenye dini ila kinyume chake ni sahihi

Huyu Rashid si alidai RC maarufu wa Dar hana vyeti na alivyonavyo ni batili?
Ilikuaje alete mambo ya elimu kwenye siasa wakati ule?
 
Siasa sio talanta bali ni elimu, kwa kuthibitisha hilo ccm wana chuo kinachotoa mafunzo ya kisiasa pale kivukoni acha kudanganya watu, nenda kawadanganye wasukuma
 
Siasa sio talanta bali ni elimu, kwa kuthibitisha hilo ccm wana chuo pale kivukoni acheni kudanganya watu
Kibajaji na Musukuma wamesoma wapi siasa?

Na hao ndio wabunge maarufu kuliko wote kwenye bunge la Ndugai!
 
Ni ajabu kwamba Gwajima anataka kuwa mbunge....sijui nani atamchagua mtu kama huyu.
 
Nenda msikiti wa Salasala ukashuhudie bwashee!
Baswheee misikiti mingi ina maji kwa hapa dar na nje ya dar maana kuna waislam kutoka nchi za uarabuni wamesupport ,kama unajua weka bango la kisima kilichochimbwa kwa msaada wa gwjima tuone.
 
Rashid acha hizo porojo, huwezi kufanya siasa zenye mantinki bila kukanyaga darasani labda unaongelea siasa za kipindi cha ujima
 
Yuko kifalsafa zaidi!
Hakuna falsafa hapo maana yake.

Ameshaona kashindwa so anajirudi kanisa kwake kiaina so anawahasa waumini wake (mazombi) kuwa yote yaliyofunuliwa kwenye siasa wayaache.

Kumbuka alishawakana kuwa yeye ni shehe Rashidi gwajima.

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote - time will tell.

By the way Joh karibu tumoe kura Mwamba Lisu he is a victor.


Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…