Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Gwajima andunje mwili na akili piaAskofu Rashid Gwajima utamjua vizuri October 28 bwashee!
Halima nimemkuta polisi Wazo anaandika maelezo, nahisi kaporwa pochi na vibaka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima andunje mwili na akili piaAskofu Rashid Gwajima utamjua vizuri October 28 bwashee!
Halima nimemkuta polisi Wazo anaandika maelezo, nahisi kaporwa pochi na vibaka!
Amechimba visima kwenye hotuba na sio kwenye misikiti.Askofu Gwajima amechimba visima misikitini wewe unataka kumzushia nini?
Ile misukule kashai brain wash na uchawi.Na sijui ile misukule yake pale ubungo ataibebea mbeleko gani maana ameshaikana imani aliyokuwa anaitumia kuwachukulia hela kiboya.
Gwajima andunje mwili na akili piaAskofu Rashid Gwajima utamjua vizuri October 28 bwashee!
Halima nimemkuta polisi Wazo anaandika maelezo, nahisi kaporwa pochi na vibaka!
Nenda msikiti wa Salasala ukashuhudie bwashee!Amechimba visima kwenye hotuba na sio kwenye misikiti.
Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta"
Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza.
Askofu Gwajima pia amesema kuna tofauti kati ya majukwaa ya kidini na majukwaa ya kisiasa na kwamba mambo ya kisiasa huwezi kuyapeleka kwenye imani za watu ( dini) lakini mafundisho ya dini unaweza kuyapeleka kwenye siasa ili watu wawe na amani na upendo utamalaki.
Source Channel ten!
Maendeleo hayana vyama!
Kibajaji na Musukuma wamesoma wapi siasa?Siasa sio talanta bali ni elimu, kwa kuthibitisha hilo ccm wana chuo pale kivukoni acheni kudanganya watu
Nani achague hilo bazazi chezaji LA filamu za ngono tapeli kabisa.Askofu Gwajima amechimba visima misikitini wewe unataka kumzushia nini?
Ni ajabu kwamba Gwajima anataka kuwa mbunge....sijui nani atamchagua mtu kama huyu.Askofu Gwajima amesema mtu kuwa mwanasiasa mahiri hakuhitaji kwenda darasani kwani uanasiasa ni kipaji " taranta" Siasa ni swala zima la kuwaletea watu maendeleo ikiwemo maji, umeme, elimu na Huduma za afya na kuyaweza hayo siyo lazima uwende darasani, amesisitiza.
Askofu Gwajima pia amesema kuna tofauti kati ya majukwaa ya kidini na majukwaa ya kisiasa na kwamba mambo ya kisiasa huwezi kuyapeleka kwenye imani za watu ( dini) lakini mafundisho ya dini unaweza kuyapeleka kwenye siasa ili watu wawe na amani na upendo utamalaki.
Chanzo: Channel ten!
Maendeleo hayana vyama!
Wana kawe watamchagua!Ni ajabu kwamba Gwajima anataka kuwa mbunge....sijui nani atamchagua mtu kama huyu.
Baswheee misikiti mingi ina maji kwa hapa dar na nje ya dar maana kuna waislam kutoka nchi za uarabuni wamesupport ,kama unajua weka bango la kisima kilichochimbwa kwa msaada wa gwjima tuone.Nenda msikiti wa Salasala ukashuhudie bwashee!
Ameihasi akili, masikini anawachukulia hela kila JumapiliIle misukule kashai brain wash na uchawi.
Yaani hawa wachungaji design ya kina gwajima na masanja ni fake pastors!Ameihasi akili, masikini anawachukulia hela kila Jumapili
Hakuna falsafa hapo maana yake.Yuko kifalsafa zaidi!