bisangatiti
Member
- Nov 21, 2023
- 10
- 15
Unaweza kuangalia Live kwenye Youtube yake muda huu link hyo hapo
View: https://www.youtube.com/live/NhpB9Zh2_6Y?si=uZS3utczNbmB1b1A
Tuko likve

View: https://www.youtube.com/watch?v=NhpB9Zh2_6Y
Askofu Gwajima ameanza kwa kuwaambia waumini wasimame na kuimba wimbo wa 'Tanzania Tanzania', na kuongeza japokuwa tuna makabila tofauti tofauti lakini Tanzania ni yetu sote.
--
Gwajima anawaelezea waumini kuhusu mkutano wa waandishi wa habari aliofanya kuhusu suala la utekaji nchini lakini pamoja na mapendekezo aliyotoa kuhusu uteuzi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Anasema baada ya kuongea, Sheikh Jabiri huko Zanzibar alitekwa juzi tarehe 28 na mwili wake kupatikana ukiwa umetelekezwa. Watekaji wanateka MwanaCCM na watu wengine.
Chama cha Mapinduzi hakikubali utekaji, na mimi ni mwanachama wa CCM, hivyo naungana na waasisi na waliowahi kutangulia uongozi kuwa hatukubaliani na hili. Anayeteka watu ni kwa malengo yake mwenyewe. Yeyote anayepingana na mimi wenyewe mtajua mtamuitaje.
Gwajima ameongezea mifano ya watoto wa viongozi ikiwa watatekwa na kuuawa wazazi wao watajisikiaje?
Baada ya kukemea mauaji na utekaji, imezaliwa terminology ya Gwajimanization.
Kwenye hili suala sitayumba, nitahakikisha kila aliyetekwa yuko wapi na anafanya nini. Vaeni silaha kamili za Bwana ili kushindana na pepo wabaya na tutashinda.
Jamaa karusha jiwe gizani😀Huyu kajipanga aisee sio kama ndugai