Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

vipi kuhusu ANC pale South Africa nao walikuwa wanatumia silaha na tuliwaita freedom fighter sasa na wao walikuwa magaidi, vipi kuhusu FRELIMO hapo angola?

Guys vita ya mashariki ni ngumu sana ile tuwaachie wenyewe sisi tupiganie mkate wetu, wenzetu wamekufa walikuwa wameenda kutafuta kama watanzania wengine huko nje imetokea basi ni hivyo

lakini pia mm najiuliza mfano wahusika wangekuwa wanajitete kuwa wao ni watanzania na watanzania ni marafiki wa palestine maana kuna balozi huku bado wangeuliwa?
Magaidi huwa hawana rafiki. Huwa wanaua mpaka Waarabu wenzao.
 
Mossad walichukizwa sana na hiki kitendo, na inasemakana kama hiyo clip waliikamata kwa magaidi wenyewe walikuiwa wanaichukua wakati wakiua, na mossad wanasema hao wote mnaowaona hapo wamekuwa eliminated.

Asante Mossad kwa kulipiza kisasi dhidi ya mashetani magaidi ya Hamas. Mashariki ya kati, na hasa jamii ya waarabu, ndiyo inayozalisha magaidi wengi Duniani kuliko sehemu nyingine yoyote Duniani. Na ndiyo jamii inayoongoza kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe.
 
Huna Rafiki mwingine zaidi ya Watanzania na ndugu zao waliopoteza vijana wawili Kwa kuuwawa na Magaidi ya Hamas.

Kama hushikamani na Watanzania, nawe ni Gaidi, tutakufikia tu.
Bado haujakielewa ulichokiandika.
 
Bado haujakielewa ulichokiandika.
Wewe umeelewa nilichokiandika ikiwa unadai Mimi sijaelewa nilichoandika?

Narudia, Waliouwawa ni Watanzania wenzetu,

Na wameuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.

Hamas walaaniwe na kufutwa, maana wanajua yeyote bila kuangalia dini, RANGI au kabila.
 
Umekiandika kitu usichokielewa baada ya kusoma na kutoelewa nilichokusudia awali.Ni muda sasa urudie kusoma na kuelewa.
 
Huyu Gwajiboy kwanza alitudanganya vijana wa kawe kuhusu connection ya kwenda kujifunza uvuvi mbelezz. SIO WA KUMUAMINI
Nje ya mada.

MADA inatutaka kusimama na Clemence na Joshua waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas!!

Gwajima, ameendelea kuwa mbunge wa kitaifa, Kwa kusaidia kuonyesha Dira ya nchi katika Issues muhimu.

Abarikiwe.
 
Salaam, Shalom!

Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.

Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.

Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.

Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.

Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).

Tumepoteza ndugu zetu wawili waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.

Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.

Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.

Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.

ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.

Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.

Amen
nimekosa tusi la kumtukana .Alikuwa ameanza vizuri kuwa tujitahidi tofauti zetu juu ya jambo la palestine na israel juu ya mitazamo yetu lisituharibie amani yetu.
Akaanza kukosea kwa kuongelea mtizamo wake kama mtizamo sahihi .yeye anaamini biblia je anajua 60 per yaani waliowengi hawaamini ukristo wala biblia hao ni waislamu wasabato na wasionaiman .kwa hiyo ukizungumza kwa niaba ya watanzania wote quran na biblia sio vitabu vya kutolea mfano.

Mfano anaamini Na anasema hamas ni kundi la kigaidi je anaamini huo ni msimamo wa watanzania wote au wake na wakristo walokole?
Mimi ni mkristo mkatoliki lakini sikatai kuwa naunga mkono hamas na palestine na nakataa walowezi ya ardhi .ila pia kwa ajili ya amani naweka nyuma maoni na misimamo yangu nashauri tujikite kwenye amani kwa wote na mijadala baina yao ya wazi .

Gwajima ukimsikiliza na zipo hotuba za nyuma ambazo ana islamphobia .aliwahi onesha hofu ya waislamu kuwa wengi ulaya .aliwahi kuwa na mashindano na mashehe wachawi kama yahya na kumtabilia kifo.

Aliwahi yaomba majini yatoke kwa waumini yaende kwa bashite ambayo haipo kikristo.
Aliwahi kuwa anajibizana mpaka na nyimbo za msanii diamond .mtu wa mungu unaskizaje nyimbo hizo.
Kibiblia nabii akisema jambo lisipotokea anapaswa auawe alisema atamfufua amina chifupa why asijiuzuru unabii

NINI KINAFANYA AJIFANYE ANAHEKIMA?
Ni kwamba yeye na kakobe waliwahi kuwa wanasimamia misimamo mikali dhidi ya serikali .enzi za kikwete aliwavumilia kidemokrasia .ghafla kichaa wa chato akapewa rungu alimbana mpaka akajua dola akishika muhuni piga magoti.
Tangu haapo gwajima akajiapiza kuwa chawa wa serikali akapewa na ubunge wa kuiba kura kinyume na ukristo akadanganya ahadi wananchi .
Baada ya hapo kawa msanii wa kula sadaka na kujikomba serikalin tatizo mama kampuuzia na ubunge harudi maana wana ccm wa kawe wanamtambua kama mpinzani .mama kashikana na jakaya .ili umfurahishe magu ulipaswa umtukane jakaya naye gwajima aalijiingiza mkumbo leo watu wanamvozia 2025 harudi.
Na awe makini sana na hiZo moves za wasukuma waliokuwa wanapendelewa na magu sasa. Wanagoma kutawaliwa na mama samia wakichukuliwa kama watanzania sawa na wengine .mama mnamuona mpole kwa muonekano atamshushia kitu kizito hata amini.
 
Mfano anaamini Na anasema hamas ni kundi la kigaidi je anaamini huo ni msimamo wa watanzania wote au wake na wakristo walokole?
.
Askofu Gwajima hajasema kuwa Hamas ni kikundi Cha kigaidi.

Pitia Source na isikize alichokisema.

Rabbon ndiye anayeamini Hamas ni kikundi Cha Magaidi.

Na kawe Ishukuru kumpata Gwajima, mbunge wa kitaifa.

Abarikiwe kwakweli.
 
Kawe ilimpa ubunge mkuu kwani umelewa ?ok ni msimu wa sherehe.
Mwaka 2020 hakukua na uchaguzi hata kura za maoni gwajima alilitwa zaidi ya mara mbili na dogo mmoja .ila magu kwa usukuma akarudisha jina la huyu mzinzi .
 
Mbona unajichanganya,

Unadai ubunge wa Gwajima ni BATILI ila Urais wa Samia ni halali?

TUMIA Akili zote, Si nusu!!
 
Mbona unajichanganya,

Unadai ubunge wa Gwajima ni BATILI ila Urais wa Samia ni halali?

TUMIA Akili zote, Si nusu!!
Kaka ni tunafanya yanayowezekana ni kama dada yako azae bila ndoa utakemea tendo hilo ila itabidi umwite mjomba .urais wa samia mbele yangu na nafsi yako tukishuhudiwa na muumba wako SIO HALALI NI HARAMU.Ila yy hakuhusika ila 2025 tutamjua.
Ubunge haram wa yule msukuma mwanzza siowez hoji jitu lenyewe chawi .mm nahoji huyu tapelinwa kiroho ili atutokee mijadala ya kitaifa yy na chidi benzi wana hadhi moja wakae kimya
 
Yaani sisi ni chawa wa kila mmoja , muhimu maslai yetu[emoji848]
 
Yaani sisi ni chawa wa kila mmoja , muhimu maslai yetu[emoji848]
Kutofungamana na upande wowote ni hulka njema.

Maana Si vyema kupangiwa marafiki na maadui.

TANZANIA ni Nchi huru.
 
Salaam, Shalom!

Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.

Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.

Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.

Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.

Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).

Mwisho wa kunukuu.
,................................................................

Tumepoteza ndugu zetu wawili , Joshua na Clemence waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.

Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha na kutumia Raia kama Kinga Yao kibita.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.

Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.

Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.

ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.

Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.

Amen
Mjinga huyu. Hivi anajua maana ya siasa za kutofungana na upande wowote? Anajua chanzo chake na zilikuwa na malengo gani? Anadhani zinakuwa applicable kwa migogoro yote ya dunia? Mwambieni huyu mcheza porn asome hapa ajue maana yake ni nini
 
Kutofungamana na upande wowote ni hulka njema.

Maana Si vyema kupangiwa marafiki na maadui.

TANZANIA ni Nchi huru.
Sera ninayoikubali ni ya marekani , hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu ila kuna maslai ya kudumu.
 
Back
Top Bottom