Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

Askofu Gwajima: Tanzania hatufungamani na upande wowote

Unajua hamas iliundwaje ?unajua mandela nyerere pia kama leo bbc ilikuwa inawaita magaidi
Harakati za kudai Uhuru za Nyerere ,Mandela, usifananishe na Ugaidi wa kikundi Cha Hamas.

Usichanganye mambo, Palestine wenyewe hawaipendi Hamas ,ni vile tu hawawezi kuwafuta.

Hamas wakomeshwe, wasiwepo tena.
 
Wapalestina Si Hamas!!

Hamas ni magaidi.

Bado msimamo wa Gwajima ni mzuri kuliko wa Lissu kutambua Hamas kama freedom fighters ilhali ni kikundi Cha ugaidi.
Hujui historia ya wapalestina ndiyo maana unasema hivyo. Lissu yuko sawa kabisa. Hivi unamjua Yasser Arafat ni nani? Hivi unajua waisarael walikuwa wanasema Arafat ni nani?
 
Lissu Huwa ni wakukurupuka pale CHADEMA mtu makini amebakia Mnyika tu, naona nayeye kashawachoka
 
Hujui historia ya wapalestina ndiyo maana unasema hivyo. Lissu yuko sawa kabisa. Hivi unamjua Yasser Arafat ni nani? Hivi unajua waisarael walikuwa wanasema Arafat ni nani?
Harakati za Palestina Si harakati za Hamas.

Hamas ni magaidi, hivyo Lisu amepuyanga kusema Hamas ni Freedom fighters ilhali wanaua Hadi Wapalestina wenzao.
 
Lissu Huwa ni wakukurupuka pale CHADEMA mtu makini amebakia Mnyika tu, naona nayeye kashawachoka
Mwanasiasa ni muhimu kuwa na break.

Yaani Lissu ni WA kutwambia kabla ya 1948 hapakuwa na Israel?
 
Mwanasiasa ni muhimu kuwa na break.

Yaani Lissu ni WA kutwambia kabla ya 1948 hapakuwa na Israel?
Wewe umepofushwa na chuki zako kwa Lissu hivyo ni vigumu kuona mambo pande zote. Ukiondoa hizo chuki utakuwa na maoni tofauti. Kama Hamas ni magaidi na hao waisrael walioua watu zaidi ya 20,000 ni nani?
 
Lissu ni Mwanasheria, anajua kumuua aliyekuvamia nyumbani kwako ni kujilinda.

Lissu ni mzalendo kwenye mengi, namuunga mkono.

Lakini katika hili, nampa Big NO!!
 
Lissu ni Mwanasheria, anajua kumuua aliyekuvamia nyumbani kwako ni kujilinda.

Lissu ni mzalendo kwenye mengi, namuunga mkono.

Lakini katika hili, nampa Big NO!!
Ndiyo maana nakuambia wewe umepofushwa na chuki. Unaua aliyevamia nyumbani kwako kwa kwenda kwake na kuua karibu ukoo wake wote, wakiwamo watoto? Hivi kama mtaani kwenu wakitokea majambazi na kwenda kuvamia kituo cha polisi, polisi wana haki ya kuja mtaani kwenu na kuua kila wanayekutana naye wakiwepo watoto?
 
Ikiwa adui anaambiwa atoke kwenda uwanja wa mapambano hataki, anajificha nyuma ya watoto,

Utafanya nini?

Utambembeleza na unajua ana silaha?

Vita Ina macho?

Hamas ni kikundi Cha ugaidi, kifutwe
 
Yale maroketi wanayorusha kwenda Israel, Huwa yanabagua raia na asiye raia?
 
Ikiwa adui anaambiwa atoke kwenda uwanja wa mapambano hataki, anajificha nyuma ya watoto,

Utafanya nini?

Utambembeleza na unajua ana silaha?

Vita Ina macho?

Hamas ni kikundi Cha ugaidi, kifutwe
Nimeelewa busara zako sasa. Ndiyo maana hatutaelewana. Watu kama wewe mpaka mfikwe na jambo ndiyo mnaelewa madhara yake. This is animal type of learning....
 
Salaam, Shalom!

Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.

Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.

Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.

Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.

Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).

Mwisho wa kunukuu.
,................................................................

Tumepoteza ndugu zetu wawili , Joshua na Clemence waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.

Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha na kutumia Raia kama Kinga Yao kibita.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.

Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.

Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.

ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.

Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.

Amen
Dawa ni kuacha kupora ardhi ya watu
 
Nimeelewa busara zako sasa. Ndiyo maana hatutaelewana. Watu kama wewe mpaka mfikwe na jambo ndiyo mnaelewa madhara yake. This is animal type of learning....
Idd Amin alipotuvamia,

Wanajeshi walipoipiga Uganda, hapakuwa na watoto waliokufa?

Anyway elewa utakavyoelewa.

Hamas ni magaidi.
 
Idd Amin alipotuvamia,

Wanajeshi walipoipiga Uganda, hapakuwa na watoto waliokufa?

Anyway elewa utakavyoelewa.

Hamas ni magaidi.
Haya unayofananisha ni mambo mawili tofauti. Na pengine kutojua kwako kusoma kiingereza kunakufanya ubaki kutegemea sources za local media kupata habari jambo ambalo linakufanya uwe shallow kwenye knowledge.
 
Back
Top Bottom