dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Safi gwajima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All in all,Mjinga huyu. Hivi anajua maana ya siasa za kutofungana na upande wowote? Anajua chanzo chake na zilikuwa na malengo gani? Anadhani zinakuwa applicable kwa migogoro yote ya dunia? Mwambieni huyu mcheza porn asome hapa ajue maana yake ni nini
![]()
Non-Aligned Movement - Wikipedia
en.wikipedia.org
Nyie mambumbumbu wala hamjui maana ya siasa za kutofungana na upande wowote. Nyerere alikuwa anawa-support wapalestina wakati nchi yetu ilikuwa kwenye non-aligned movement.Katika hili, Lissu hakuonyesha Uzalendo Kwa Ndugu zetu waliouwawa Watanzania wenzetu.
Hujui kitu wewe. Msimamo wa Lissu ndiyo msimamo wa nchi yetu tangu enzi za Nyerere. Nyie mliosomea shule za kata haya mambo hamuwezi kuyajua.All in all,
Msimamo wa Askofu Gwajima uko kitaifa na kizalendo zaidi kuliko msimamo wa Tundu Lissu.
Sera za Upepari haziangalii UTU, ndomana wanatengeza magonjwa na kuyaeneza duniani Kisha watakuja mlango ungine kutukopesha chanjo na madawa!!Sera ninayoikubali ni ya marekani , hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu ila kuna maslai ya kudumu.
Wapalestina Si Hamas!!Nyie mambumbumbu wala hamjui maana ya siasa za kutofungana na upande wowote. Nyerere alikuwa anawa-support wapalestina wakati nchi yetu ilikuwa kwenye non-aligned movement.
Viva hamas keep on fightingkwa mtu aliyeona clip ya Joshua, ameteseka sana kabla ya kifo, na ameuawa vibaya sana. tuwashukuru Israel kwa kuua yale magaidi yote yaliyomuua Joshua.
Hauwezi kuwa taifa lenye nguvu bila sera za kipepari hii ipo ata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka kufanikiwa lazima uwe bepari haswa.Sera za Upepari hauangalii UTU, ndomana wanatengeza magonjwa na kuyaeneza duniani Kisha watakuja mlango ungine kutukopesha chanjo na madawa!!
Tanzania tupo katika msimamo mzuri nionavyo.
Hata Hilo Jina la kikundi Cha ugaidi, baada ya muda litafutika.Viva hamas keep on fighting
Hamasi wanaweza kuwa wapalestina, Lebanon na hata iran .Wapalestina Si Hamas!!
Hamas ni magaidi.
Mungu hapendi hayo.Hauwezi kuwa taifa lenye nguvu bila sera za kipepari hii ipo ata kwenye maisha ya kawaida, ukitaka kufanikiwa lazima uwe bepari haswa.
Nimependa umesema tuweke pembeni unafiki.ccm cheo cha umakamu huwa ni takataka tu.hawakuwah jua rais atafariki ccm haijawahi muwazs mama samia kuwa rais haikujiandaa.na hata kukaa pale walijitahidi sana kuzuia hope unajua jeshi liliingilia.kwenye duru za siasa za cc mama samia hajawahi kuwa na nguvu ni kwamba alikota dodo chini ya mnazi.Fafanua, kivipi hakuhusika, weka pembeni unafiki!!
Kumbe unaongelea huko basi asante 👐Mungu hapendi hayo.
Upendo ni muhimu.
Hata yale majini aliyokuwa akikemea (sii kwa sasa hivi) mbona nayo mungu hajayanyima pumzi?Salaam, Shalom!
Askofu Gwajima ambaye pia ni Askofu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani kote, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la kawe, amerejea msimamo wa Tanzania tangu uhuru wa kutofungamana na upande wowote katika siasa za Dunia.
Ameeleza hayo akiwa ibadani wiki kadhaa zilizopita kuwa, vita hii ya Israel na Palestina kamwe sisi Watanzania tusiichukue kidini. Mungu ni MMOJA wa wote, wakristo, waislamu, wapagani nk nk.
Mungu angekuwa wa waislamu pekee, angewanyima Pumzi Wakristo, kadharika, angekuwa wa Wakristo pekee, au Wayahudi pekee, angewanyima Pumzi wengine,lakini Mungu hafungamani na upande wowote ndo sababu anatupenda wote.
Hivyo, Nchi yetu, kamwe tusiingie mtego wa kusimama na upande mmoja kuchukua upande katika vita hii, tuendelee kuunga mkono Amani na utulivu Mashariki ya kati.
Hatufungamani na siasa za Kimagharibi(West) Wala Mashariki (East).
Mwisho wa kunukuu.
,................................................................
Tumepoteza ndugu zetu wawili , Joshua na Clemence waliouwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas.
Narudia, Hamas ni kikundi Cha magaidi, Si chama Cha siasa, maana kamwe, chama Cha siasa hakitumii silaha na kutumia Raia kama Kinga Yao kibita.Ndugu zetu wawili wameuwawa na Magaidi.
Wizara ya Mambo ya nje chini ya ndugu Makamba, itoke waziwazi kulaani kitendo Cha magaidi wa kikundi Cha Hamas kuua Watanzania wenzetu bila huruma, ikumbukwe kuwa Watanzania wenzetu hawakuwa askari, Bali raia, na SHERIA za kivita zote zinakataza kuua raia.
Ndugu Tundu Lissu aonyeshe Uzalendo Kwa Watanzania waliopoteza maisha Kwa kuuwawa na Magaidi wa kikundi Cha Hamas. Hamas wameua Watanzania wenzetu hivyo ni magaidi, na kamwe hawawezi kuwekwa kundi moja la wapigania uhuru kama Tundu Lisu alivyonukuliwa Juzi akitetea Hamas.
ANGALIZO: AMEBARIKIWA AIBARIKIYE ISRAEL, NA AMELAANIWA AILAANIYE ISRAEL.
Tanzania ni Mbarikiwa sana, shikamana na Israel uepuke LAANA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Mungu Mbariki Askofu Gwajima, mbunge wa kitaifa, Ameonyesha Dira ya nchi yetu tangu Uhuru.
Source: Josephat Gwajima, Rudisha TV.
Amen
Upi msimamo Bora kati ya:Hata yale majini aliyokuwa akikemea (sii kwa sasa hivi) mbona nayo mungu hajayanyima pumzi?
Hapaswi kuchukua upande na ndivyo ilivyo kwa coward wote hawanaga upande.
Ila watu integrity wana upande na siku zote husimama upande wa haki bila kupepesa au kumungunya maneno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu anachojua ni kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote ile hata mfe wote. Lissu hana uzalendo wowote, ni mchumia tumbo, yuko tayari kuona nchi inaangamia kwa maslahi yake. Cha kushangaza kuna mazuzu yanamsapoti. Sishangai km mwanamke anaweza kujiita mfalme(Zumaridi) na akapata wafuasi?Lissu hata hajui history, anadai Israel imejulikana 1948,
Akumbushwe kuwa, CHADEMA hawajawahi KURUDIA mgombea Urais, usisahau Hilo.
Kutambua hamas ni freedom fighters na israel ni wavamizi ardhi.ila haipo namna lazima waishi pamoja .hivo tuende tukiwatakia wakae wayamalize ila ni ushoga kutosema israel ni wabayaUpi msimamo Bora kati ya:
1. Kutaka mazungumzo ya kuhakikisha inapatikana Amani Mashariki ya kati.kwa kuzileta mezani pande zote wakati Nchi yetu ikiwa Haina upande-Gwajima.
2. Kuwatambua Hamas kama Freedom fighters - Lissu
Lissu kudai Hamas ni Freedom fighters, napingana naye hadharani.Lissu anachojua ni kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote ile hata mfe wote. Lissu hana uzalendo wowote, ni mchumia tumbo, yuko tayari kuona nchi inaangamia kwa maslahi yake. Cha kushangaza kuna mazuzu yanamsapoti. Sishangai km mwanamke anaweza kujiita mfalme(Zumaridi) na akapata wafuasi?
Katika hili, Lissu ameyumba!!Kutambua hamas ni freedom fighters na israel ni wavamizi ardhi.ila haipo namna lazima waishi pamoja .hivo tuende tukiwatakia wakae wayamalize ila ni ushoga kutosema israel ni wabaya
ANC walikua wanaua watanzania au walifokas na makaburu ?vipi kuhusu ANC pale South Africa nao walikuwa wanatumia silaha na tuliwaita freedom fighter sasa na wao walikuwa magaidi, vipi kuhusu FRELIMO hapo angola?
Guys vita ya mashariki ni ngumu sana ile tuwaachie wenyewe sisi tupiganie mkate wetu, wenzetu wamekufa walikuwa wameenda kutafuta kama watanzania wengine huko nje imetokea basi ni hivyo
lakini pia mm najiuliza mfano wahusika wangekuwa wanajitete kuwa wao ni watanzania na watanzania ni marafiki wa palestine maana kuna balozi huku bado wangeuliwa?